#HABARI: Rais William Ruto amemkosoa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, kwa kile anasema ni kudhalilisha miradi yake y…#HABARI: Rais William Ruto amemkosoa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, kwa kile anasema ni kudhalilisha miradi yake y…

#HABARI: Rais William Ruto amemkosoa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, kwa kile anasema ni kudhalilisha miradi yake ya maendeleo, hasa mradi wa mtaji wa biashara kwa vijana.

Rais Ruto amemtaka Musyoka kuwaeleza Vijana kile alichowafanyia alipokuwa Makamu wa Rais wa Kenya.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *