
Uganda kuzima mtandao wa intaneti siku ya uchaguzi: Mamlaka ya mawasiliano
Mamlaka ya mawasiliano nchini Uganda imetangaza kuwa itazima mtandao wa intaneti siku ya Jumanne, siku mbili tu kabla ya uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni atagombea dhidi ya Bobi Wine.
