Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja ya Marekani kutumia nguvu za kijeshi kuitwaa Greenland kijeshi, limeiweka Jumuiya ya Kujihami ya NATO mahala pabaya