Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umefanikiwa kuzindua kituo cha kupoza umeme cha Mtera kinachotarajiwa kuwanufaisha wakazi wa Iringa na maeneo ya jirani.
Sambamba na hilo serikali imewahimiza wananchi kulinda miundombinu ya umeme nchini.
Joyce Mwakalinga ameandaa taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi