Serikali imezindua rasmi kituo cha kupooza umeme cha Mtera ambacho kinatarajiwa kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mikoa ya Dodoma na Iringa, hatua inayotekeleza sera ya Taifa ya Nishati ya mwaka 2050 ya kuboresha huduma ya umeme nchini.
#kilichobora kabisa