Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uwenezi na Mafunzo, Ndugu Kenani Labani Kihongosi, kimesema kimefurahishwa na hatua ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan kufanya kikao cha kufungua mwaka na Mabalozi wa Tanzania kutoka nchi mbalimbali, akisema hatua hiyo imeongeza heshima ya Taifa letu kimataifa na kuwapa faraja wanachama wa CCM kote nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *