Licha ya jitihada za Jeshi la Polisi mkoani Iringa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto, bado baadhi ya wananchi wameendelea kukaidi sheria na maadili ya jamii, hali inayosababisha watoto wengi kukosa ulinzi wa kifamilia na kujikuta wakikulia mitaani.

Unashauri nini kifanyike? Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *