“Nipimie chipsi za kushiba.” Hii ni kauli inayotumika mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye vijiwe vya kuuzia viazi vya kukaanga maarufu kama chips.

Huko mkoani Mbeya, kauli hii imetengeneza imani kwa baadhi ya watu kwamba kwa kuwa viazi vinapatikana kwa wingi mkoani humo, basi hata kipimo cha chipsi huwa kikubwa zaidi. Je, kuna ukweli wowote katika hilo? Fuatilia taarifa hii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *