Juma moja baada ya UTV kurusha taarifa kuhusu vijana watatu wanaounda kundi la Boosta linalojihusisha na muziki wa rap, ambao hupita mitaani na kutoa burudani hiyo kwenye viunga vya Jiji la Mwanza, hatimaye wadau wa muziki huo wameanza kujitokeza na kuwashika mkono, ambapo, Studio ya 747 imeamua kujitolea kurekodi nyimbo za vijana hao.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *