Mkuu wa zamani IRGC azitahadharisha Saudia, Uturuki na Iraq, asema; mabomu ya Israel yanawasubiriMkuu wa zamani IRGC azitahadharisha Saudia, Uturuki na Iraq, asema; mabomu ya Israel yanawasubiri

[ad_1]

Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amezitahadharisha nchi za eneo zikiwemo Saudi Arabia, Uturuki na Iraq kwamba ziko katika hatari ya kukabiliwa na uvamizi wa Israel iwapo nchi za kanda hii zitashindwa kuunda “muungano wa kijeshi” dhidi ya utawala wa Kizayuni.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *