Wananchi wa kata ya Nanyala wilayani Mbozi wameiomba serikali kuwasaidia kukamilisha mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 800 ambao ujenzi wake umekuwa ukisuasua tangu mwaka 2024.
Joyce Lyanda amezungumza na wananchi hao.
Mhariri @moseskwindi