NBC Premier League kuendelea Jumanne hii kwa michezo miwili
Saa 10:00 jioni, AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha Fountain Gate.
Saa 1:00 usiku, Singida BS watakuwa dimba la KMC Complex wakikipiga na JKT Tanzania.
Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #SisiNiSoka # Azamtvsports