#HABARI: Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) limetangaza kurejea kwa safari za treni za abiria kutoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi nchini Zambia kuanzia Februari 10, mwaka huu.

Hatua hiyo imekuja baada ya kukamilika kwa maboresho na marekebisho mbalimbali ya kiufundi na kiutendaji yaliyolenga kuboresha huduma za treni za abiria zinazovuka mipaka kati ya Tanzania na Zambia.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *