[ad_1]
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina,, Hamas, imelaani vikali shambulio la hivi karibuni la Israel dhidi ya Qatar, ikilitaja kuwa ni tendo la “ waoga,” na kutoa wito kwa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuchukua msimamo wa pamoja dhidi ya hujuma za utawala huo wa kibeberu.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Hamas yatoa wito wa msimamo wa pamoja wa Kiislamu dhidi ya Israel katika Mkutano wa Doha