Mtaalamu wa Ugonjwa wa Ukoma, Dkt. Deus Kamala amesema ugonjwa huo husababishwa na bakteria ambao huingia mwilini kupitia njia ya hewa na kuanza kushambulia mapafu.
Ameeleza kuwa baada ya kuingia mwilini, bakteria hao huenea hadi kwenye ngozi na baadaye kushambulia mishipa ya fahamu, ambako hukaa na kuzaliana, hali inayosababisha athari mbalimbali za kiafya kwa mgonjwa.
#AzamTVUpdates
✍Ibrahim Kilumbo
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)