Shuhudia namna ndege za kivita za Urusi aina ya Tu-95MS zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na za masafa marefu zikizunguka juu ya anga la Japani, huku zikiwa zimeambatana na ndege za kivita aina ya SU-35 wakati wote wa operesheni.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema operesheni hiyo ilikuwa ni “ziara ya kawaida” juu ya maji ya kimataifa, ikisisitiza kuwa ni sehemu ya shughuli za kawaida za kijeshi.
Ziara hiyo inaweka mkazo na kuonesha uwezo wa Urusi katika kudumisha utayari wake wa kijeshi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)