Makocha, Wachezaji waukataa mpira mpya Ligi Kuu Bara, Bodi ya Ligi yafunguka
Wamefunguka ,apungufu wanayoyaona kwenye mpira huo, Soma zaidi hapa
Wamefunguka ,apungufu wanayoyaona kwenye mpira huo, Soma zaidi hapa
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Vassily Nebenzia, amewaambia waandishi habari kwamba nchi yake haitambui vikwazo vya Umoja huo vilivyorejeshewa Iran.
Shirika la afya Ulimwenguni limesema mripuko wa Ebola uliotangazwa katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Kongo, mwanzoni mwa mwezi Septemba umesababisha vifo vya watu 42
Karibu viongozi 50 wa Ulaya wamekutana Copenhagen kujadili vita vya Ukraine, usalama wa bara na changamoto za kiuchumi huku Rais Volodymyr Zelensky akitafuta msaada zaidi kufuatia kupungua kwa uungwaji mkono…
Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadhi huanza kuzaa tu baada ya ndoa. Hali hii mara nyingine husababisha…
Msafara wa Sumud Flottilla wa takriban meli na mashua 45 ukielekea Gaza wazuiwa na wanaharakati wakamatwa na jeshi la Israel katika eneo la bahari la Kimataifa
Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi na kijamii. Lakini isivyo bahati, katika baadhi ya familia mafanikio…
Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama…
Kufuatia malalamiko ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu huduma zisizoridhisha za mabasi ya mwendokasi, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mabadiliko katika uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo…
“FU-AES” inawakilisha kikosi kilichounganishwa cha Muungano wa Nchi za Sahel. Hili ndilo lilikuwa lengo la ziara ya Jenerali Abdourahamane Tiani mjini Bamako siku ya Jumanne, Septemba 30. Mkuu wa nchi…
Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea…
Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo. Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa ameeleza aina za ukatili…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kuivamia kijeshi msafara wa kimataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kuivamia kijeshi msafara wa kimataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa…
Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran Hossein Simaee amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Iran Tamaki Tsukada kabla ya kufanya ziara huko Japan kwa lengo…
Mitaa mbali ya Madagascar jana Jumatano ilishuhudia maandamano ya wananchi wanaoshinikiza kujiuzulu raia wa nchi hiyo. Polisi ya nchi hiyo kwa upande wake walichukua hatua za kuzuia kuibuka ghasia katika…
Bunge la Shirikisho la Somalia jana lilipasisha Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto baada ya wabunge kukutana mjini Mogadishu.
Shirika la Afya Duniani( WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa wa ugonjwa wa Ebola kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonyesha "dalili za kupungua kwa maambukizi".
Wananchi wameeleza maoni yao baada ya mabasi mapya ya mwendokasi ya kampuni ya MOFAT kuanza kutoa huduma kwa abiria wanaosafiri kati ya Mbezi na Kimara, hatua iliyolenga kupunguza kero ya…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa rai kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya uharibifu wa miundombinu ya umma licha ya changamoto za usafiri zinazojitokeza,…
Mwanaharakati wa mazingira raia wa Uingereza Jane Goodall, ambaye alikuwa mbobezi katika sayansi ya wanyamapori na hasa uhusiano kati ya sokwemtu na binadamu na kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na…
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, katika ripoti yake inaishtumu serikali ya Tanzania kwa kuminya uhuru wa kisiasa, hatua ambayo inatilia shaka iwapo uchaguzi…
Watu karibu 40 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa, baada ya kuangukiwa na fito na mbao za kushikilia jengo la Kanisa nchini Ethiopia. Imechapishwa: 02/10/2025 – 08:09 Dakika…
Wanaharakati wawili wa nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, wameripotiwa kutekwa nyara nchini Uganda katika mazingira ya kutatanisha. Imechapishwa: 02/10/2025 – 07:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Korea Kusini imekubali kwa mara ya kwanza leo Alhamisi, Oktoba 2, wajibu wake wa kuasili makumi ya maelfu ya watoto waliotumwa nje ya nchi kwa njia mbaya “kupitia” wakati mwingine…
Idadi ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 kipimo cha Richter lililopiga katikati mwa Ufilipino siku ya Jumanne jioni imeongezeka hadi 72, kulingana na shirka…
Msafara wa meli, ujulikanao kama Global Sumud Flotilla (GSF), unaobeba misaada kuelekea ukanda wa Gaza ilutangaza mapema leo Alhamisi, Oktoba 2, kwamba unaendelea na safari yake kuelekea eneo lenye vita…
Marekani itapanga kuipatia Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati ya Urusi, maafisa wawili wamesema siku ya Jumatano, wakati nchi…
Vyama vya wafanyakazi vya Italia vimeitisha mgomo wa jumla siku ya Ijumaa kwa mshikamano na shirika la kimataifa la misaada kwa Gaza. Maandamano yalizuka katika miji kadhaa siku ya Jumatano…
Jeshi la wanamaji la Israel limekamata meli zilizokuwa zimebeba misaada kuelekea Gaza na kuwaweka kizuizini wanaharakati waliokuwa ndani, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Sweden Greta Thunberg. Imechapishwa: 02/10/2025…
Vyama vya wafanyakazi nchini Madagascar vinaongeza shinikizo kwa Rais Andry Rajoelina, wiki moja baada ya kuanza kwa vuguvugu la maandamano ambalo halijawahi kushuhudiwa linaloitikisa taifa hivi sasa. Mshikamano wa Vyama…
Mlipuko mpya wa Ebola umekuwa ukiendelea tangu mapema mwezi Septemba nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika Mkoa wa Kasai. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), watu 42 wamefariki kati…
Colombia imewafukuza wanadiplomasia wa utawala wa kizayuni wa Israel kwa uchokozi uliofanywa na utawala huo ghasibu wa kuuvamia kijeshi msafara wa kimaataifa wa meli unaojulikana kama Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda…
NAIROBI – Kadri matumizi ya mitandao yanavyoongezeka barani Afrika, wanawake na wasichana wanazidi kuripoti ukatili kutokana na matumizi hayo ya mitandao. Imechapishwa: 02/10/2025 – 04:56 Dakika 3 Wakati wa kusoma…
Watafiti watano kutoka Taasisi ya Royan nchini Iran wametajwa miongoni mwa asilimia 2 ya wanasayansi wanaonukuliwa zaidi duniani, kwa mujibu wa orodha iliyochapishwa na Chuo Kikuu cha Stanford.
Uchunguzi wa hivi karibuni umebaini kuwa Uingereza iliukabidhi utawala katili wa Israel jumla ya risasi 110,000 katika mwezi Agosti, wakati jeshi la Israel likiendelea na vita ya mauaji ya kimbari…
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa, Vasily Nebenzya, amesema kuwa hatua ya baadhi ya mataifa ya Magharibi kurejesha vikwazo kupitia utaratibu wa “snapback” dhidi ya Iran haina msingi wa…
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ameadhimisha miaka 65 ya uhuru wa taifa lake kwa hotuba iliyojumuisha heshima kwa waasisi wa taifa na tathmini ya mageuzi aliyosema yameinusuru nchi yenye…
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, ameonya kuwa shambulio lolote dhidi ya taifa lake litakabiliwa kwa mshikamano wa mataifa ya ukanda, akisisitiza kuwa nchi hiyo katu haiwezi kuwa koloni wala kutawaliwa…
Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa…
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 10 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba 2025 Miladia.
Hali ya mambo katika maeneo ya Gaza City imechukuwa mwelekeo wa kuzusha wasiwasi mkubwa+++Hadi sasa mamlaka za Uganda zimesita kutoa taarifa kuhusu kukamatwa kwa wanaharakati wawili wa kisiasa raia wa…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Kulingana na Samia, wale wanaoshawishi kuvunja amani wana mahali pa kukimbilia wao na familia zao.
MABAHARIA wa KMKM, wamefanikiwa kuvuna Sh10.5 millioni kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), Azana Hassan Msingiri ikiwa sehemu ya kuipongeza timu hiyo kwa kuingia hatua ya…
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha jumla ya wapiga kura 717,557 watakaoshiriki kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
MECHI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyochezwa leo Oktoba 1, 2025 kati ya JKU na KVZ kwenye Uwanja wa Mao A mjini Unguja, imemalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Kwa mara nyingine Iran inajikuta chini ya vikwazo vikali vya kimataifa kuhusiana na mpango wake wa nyuklia na wa makombora ya masafa marefu. Haya yanajiri baada ya mkwamo wa mazungumzo…