Hali ya Rohingya nchini Myanmar, ‘mtihani kwa ubinadamu’
“Nyumba zimechomwa. Majirani wameuawa. Tumaini linapotea.” Kwa maneno hayo makali, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amefungua mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa…