Sudan yaonya kuhusu hatari ya mafuriko karibu na mto Nile
Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.
Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.
Raia wa Afrika Magharibi waliofukuzwa na Marekani na kupelekwa Ghana sasa wanajisimamia mahitaji yao wenyewe nchini Togo baada ya kuachwa huko bila nyaraka zao.
Mkataba wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za Afrika unafikia ukingoni. Kuna tishio la kupotea kwa ajira, lakini pia kuna fursa kwa bara hili kuimarisha ushirikiano mpya wa kibiashara.
Ukiukaji wa anga ya NATO, mashambulio ya droni na maombi ya Ukraine ya makombora ya Tomahawk vinatishia kupanua mzozo — Ulaya inakabiliwa na chaguo gumu: kuimarisha vizuizi au kuepuka kuingia…
Iran imepinga vikali taarifa ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kwa nchi wanachama kuhusu kutumika tena maazimio yaliyohitimisha muda wake yanayoilenga Jamhuri ya Kiislamu kwa vikwazo.
Siku sita za Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA80) zimetamatika leo Jumatatu Septemba 29 alasiri kwa Rais wa Baraza hilo Annalena Baerbock…
Vaticani ametoa wito mzito wa mshikamano wa kimataifa, amani na haki wakati wa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo Askofu Mkuu Paul…
Malawi katika Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imewakilishwa na Balozi Agnes Mary Chimbiri-Molande ambaye amezungumzia maendeleo ambayo nchi yake imepiga katika kukuza…
Katika hotuba yenye nguvu katika kikao cha 80 cha Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda wa Burundi,…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Zambia, Mheshimiwa Mulambo Haimbe, ambaye amesema Zambia inalaani vikali vita na uvamizi na wanasihi pande zote kwenye mizozo iliyotawala duniani…
Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ekitela Lokaale, amesema kuwa ni wakati muafaka kwa Afrika kupewa nafasi ya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa…
Tukisalia hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kandoni mwa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80, inafanyika mikutano mingine ya pembezoni…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea, Osman Saleh Mohammed, amehutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika Kikao cha 80 au UNGA80, akionya kwamba mfumo wa…
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR, katika eneo linalokaliwa kimabavu la Palestina imetoa onyo kali leo kuhusu kile ilichokiita mashambulizi ya mara kwa mara ya kijeshi…
Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo ni siku ya sita ambapo viongozi wa dunia wanaendelea kutoa hotuba zao kwenye ukumbi wa Baraza…
Simulizi ya Chekeni Salumu ni mfano wa kuigwa wa ujasiri na matumaini. Licha ya kuzaliwa bila mikono, hakukata tamaa. Akiwa bado msichana mdogo, alijifunza kuandika kwa kutumia miguu na sasa…
Guinea imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais Desemba 28, uchaguzi wa kwanza tangu Jenerali Mamadi Doumbouya achukue mamlaka katika mapinduzi ya mwaka 2021. Imechapishwa: 29/09/2025 – 13:52 Dakika 1 Wakati…
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda wapinzani…
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Uganda zimeanza rasmi leo Jumatatu kabla ya uchaguzi huo wa Januari 206 ambao huenda ukawa mpambano kati ya Rais aliyeko madarakani Yoweri Kaguta Museveni na…
Jamaa wa mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Gaza wametuma barua ya dharura kwa Rais wa Marekani Donald Trump kabla ya kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baadaye hii…
Marekani inazingatia ombi la Ukraine la kupata makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk kwa juhudi zake za kukabiliana na wavamizi wa Urusi. Haya yamesemwa jana na naibu rais JD…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango ulioripotiwa kuwa umeandaliwa na Marekani wa kumetua waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair awe liwali wa Ukanda wa…
Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2…
Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema, jeshi la nchi hiyo limefanya operesheni maalumu ya shambulizi kwa kutumia kombora la 'hypersonic' aina ya Palestina 2…
Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.
Umoja wa Ulaya umethibitisha leo kuwa umerejesha vikwazo dhidi ya Iran, kufuatia hatua kama hiyo iliyochukuliwa na Umoja Mataifa.
Umoja wa Ulaya umepongeza matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Moldova na kusema umeonyesha kuwa nchi hiyo ndogo ya mashariki mwa Ulaya iko kwenye njia sahihi ya kujiunga na Umoja…
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa.
Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…
Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…
Umoja wa Ulaya umewapongeza wapigakura wa Moldova kwa ushindi wa chama tawala kinachopendelea Umoja huo, ambapo vyama vinavyoelemea upande wa Urusi vimeangushwa vibaya.
Shirika la utetezi wa haki Human Rights Watch limetoa ripoti ikidai ukandamizaji wa kisiasa Tanzania unaweka hatarini uchaguzi wa Oktoba 29, huku wahanga wakiripoti kutekwa, kushambuliwa na kubanwa kwa vyombo…
Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
Mwanamume aliyepatikana na hatia ya ujasusi na kutajwa na Iran kama “mmoja wa majasusi muhimu” wa Israel, adui mkuu wa Tehran, ameuawa alfajiri ya Jumatatu, kwa mujibu wa mahakama ya…
Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa wito wa kutimuliwa Israel katika soka kutokana na mauaji yake ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
Mkuu wa jeshi la Iran amesema kuwa, tunaendelea kumfuatilia adui na tutakabiliana vikali na makosa yoyote kutoka kwake na kuongeza: "Adui anapaswa kutambua kwamba taifa la Iran litakuwa mshindi kwa…
Uzalishaji wa bidhaa ambazo msingi wake elimu umepiga hatua nyingine nchini Iran kutoka katika bidhaa bunifu za afya hadi kuboresha usahihi wa vifaa vya uchunguzi.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, theluthi moja ya watoto huko Gaza hawapati chakula cha kutosha cha kula kwa siku.
Nchini Uganda, kampeni za urais za Januari 12, 2026, zinaanza leo Jumatatu, Septemba 29. Rais wa sasa Yoweri Museveni, 81, anawania muhula wa saba baada ya takriban miaka arobaini madarakani.…
Miaka minane baada ya kuachiliwa kutoka gerezani na miaka mitatu baada ya kupata talaka yake kutoka kwa Laurent Gbagbo, Simone Ehivet sasa analenga kuchukua wadhifa wa juu zaidi nchini Côte…
Watu 95 wamefariki dunia kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan. Hayo yameelezwa…
Mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa rais, upinzani unashutumu demokrasia ya ngazi mbili. Kikiwa kimekataliwa mara mbili katika kinyang’anyiro cha urais, ACT-Wazalendo, chama cha tatu kwa ukubwa nchini humo, sasa…
Wiki iliyopita, Shirika la Habari za Kifedha la Msumbiji (GIFim) lilitoa ripoti ya inayotaja mitandao ya ufadhili wa kigaidi kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024. Kwa miaka minane, eneo la…
Takriban watu wanne wameuawa siku ya Jumapili, Septemba 28, na mtu aliyefyatua risasi wakati wa ibada katika kanisa la Mormon huko Michigan, kaskazini mwa Marekani, kulingana na idadi mpya ya…
Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita…
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana. Imechapishwa: 29/09/2025 –…
Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan, wafanyakazi wa kujitolea…
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City.
Wizara ya sheria nchini DRC, imetangaza kusitisha kwa muda wa wiki 5, utoaji wa leseni za makanisa, vyeti vya uraia na nyaraka nyingine katika kile imesema ni kujaribu kukabiliana na…