Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Ni wakati wa kuchukua hatua; tunahitaji usitishaji mapigano mara moja Gaza
Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuhusiana na tangazo rasmi la mgogoro wa baa la njaa huko Gaza, kwamba anaamini…