ACT: INEC haina mamlaka ya kuingilia mchakato wa Urais
Katika barua ambayo INEC imeiandikia ACT-Wazalendo, tume hiyo ya uchaguzi imerejea uamuzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa uliotolewa jioni ya jana, ambao umesema mgombea urais wa chama…
Katika barua ambayo INEC imeiandikia ACT-Wazalendo, tume hiyo ya uchaguzi imerejea uamuzi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa uliotolewa jioni ya jana, ambao umesema mgombea urais wa chama…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Flatei Gregory, amerejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, huku akieleza…
🔴MEZAHURU: TIBA YA MWAFRIKA….AGOSTI 27, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Kejeli za matusi ya ubaguzi wa rangi kutoka kwa mjumbe wa kikanda wa Marekani dhidi ya waandishi wa habari wa Lebanon zimezusha wimbi la ukosoaji miongoni mwa watu wengi wanaotembelea…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Bw.Gilbert Kalima, ameisihi jamii kushirikiana na Serikali, kuhakikisha jitihada za pamoja zinafanyika ili kudhibiti na kupambana na uingizaji wa dawa za kulevya nchini, kutoka…
Polisi ya Iran imetoa kipigo kikubwa kwa magaidi wanaoungwa mkono na nchi ajinabi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan, kusini-mashariki mwa Iran, kwa kuwaangamiza magaidi 8 waliohusika na shambulio baya…
#HABARI: Raia wa kigeni waliopo hapa nchini wamesifu umahiri wa Jeshi la Magereza Tanzania katika kuhudumia jamii, ikiwemo kusaidia watoto yatima kwenye maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi hilo nchini.…
Katika hotuba yake aliyoitoa kwa njia ya vidio, Zelensky alisema mazungumzo na wawakilishi wa mataifa hayo yatafanyika baadaye wiki hii. Rais huyo wa Ukraine pia ametoa wito wa Urusikuwekewa shinikizo…
Hapo jana, kundi linalojumuisha wanafamilia wa mateka hao pamoja na wafuasi wao, liliandaa maandamano makubwa mjini Tel Aviv, jiji kubwa la kibiashara la Israel. Kulingana na vyombo vya habari vya…
Trump amekuwa akishinikiza mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Putin na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky lakini akisisitiza kuwa Zelensky si mtakatifu pia katika mzozo huo. Trump asema atakutana…
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Iran, Ismail Baghaei, ameliambia shirika la habari la nchini humo kwamba, wahusika walibadilishana maoni katika mkutano huo wa Geneva. Lakini bila ya…
Mabingwa watetezi, Senegal, walitangulia kufunga kupitia kwa mchezaji Joseph Layousse, lakini dakika saba baadaye Moroko walijibu kupitia Sabir Bougrine. Kwa kuwa mechi ilibaki sare ya 1-1 hadi mwisho wa muda…
#HABARI: Bwana Omary Marcus Msigwa maarufu kwa jina la Super Feo, amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi huku…
#MEZAHURU: Je, tiba za asili kwa sasa zinasaidia Ukilinganisha na ukuaji wa sayansi na teknolojia?
#HABARI: Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hicho walipofika Ofisi ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC,…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Baraza la Mawaziri la Sudan ya Sudan lilifanya mkutano wake wa kwanza katika mji mkuu, Khartoum, jana Jumanne tangu kuzuka kwa vita vya ndani nchini humo katikati ya Aprili, 2023.…
Licha ya mashambulizi makali ya Israel kwenye maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi nchini Yemen siku ya Jumapili yaliyosababisha vifo vya watu 10, wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wameendelea Jumatano kuvurumisha…
#HABARI: Bw.Baraka Mwamengo aliyeteuliwa na Chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya chama hicho kuomba ridhaa kwa wananchi ya ubunge jimbo la kyela Mkoa wa Mbeya ,amefika ofisi za msimamizi mkuu…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani uamuzi wa Australia wa kumfukuza balozi wa Tehran nchini humo kutokana na madai eti ya mashambulizi kwenye vituo vya Kiyahudi, na kueleza…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
#HABARI: Jeshi la Polisi nchini, limetoa tamko kuelekea uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazotarajiwa kuzinduliwa kuanzia kesho Agosti 28, 2025. Jeshi hilo limewaambia wananchi na wadau wote kuwa, lipo…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itamkabidhi kila mgombea atakayetimiza vigezo na kutangazwa kuwa mgombea Urais wa chama cha siasa kitakachoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025, gari hili aina ya…
Chama tawala nchini Uganda cha NRM kinafanya Kongamano la wajumbe wake katika ngazi ya taifa leo Jumatano, Agosti 27 na Alhamisi, Agosti 28, mjini Kampala. Tukio hilo kwa mara nyingine…
Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran karibuni hivi alifika mjini Jeddah, Saudia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha dharura cha Mawaziri…
#HABARI: Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, ameambatana na mgombea mwenza wake, Dkt. Emanuel Nchimbi, kurejesha fomu za kugombea nafasi ya urais katika ofisi za…
Operesheni hiyo ya siku 15 imefanyika katika Bonde la Baallad, ambapo ndege za Marekani zimefanya mashambulizi mengi huku wanajeshi wa Puntland wakisonga mbele. Kama Africom, Kamandi ya Marekani Afrika, na…
🔴CHAN 2024: NANI KUIBUKA MSHINDI FAINALI CHAN, MADAGASCAR KUVAANA NA MOROCCO …. AGOSTI 27, 2025
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, ameripotiwa kupuuza majaribio kadhaa ya Donald Trump ya kumtafuta kwa simu huku vita vya kibiashara kati ya nchi hizo vikipamba moto, ambavyo vimechochewa na…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Mgombea yeyote ambaye atakosa kufuata miongozo ya uchaguzi atakamatwa, vikosi vya usalama vimetangaza siku ya Jumanne, Agosti 26. Onyo hili limesababisha mara moja baadhi ya watu kushutumu kuwa ni matumizi…
Mamlaka za Afrika Kusini zinawaonya vijana wa Afrika Kusini kuhusu ofa za kazi bandia nje ya nchi. Onyo hili linakuja baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii: mshawishi alikuwa…
Ufaransa jana Jumanne ilirejesha mafuvu matatu nchini Madagascar, likiwemo moja linaloaminika kuwa la mfalme aliyekatwa kichwa na wanajeshi wa Ufaransa kufuatia mauaji ya Agosti 1897. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham, amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Alexander Isak Saa 3 zilizopita Mshambuliaji wa Sweden Alexander Isak, mwenye umri wa miaka 25, ameiambia Newcastle kwamba bado anataka kuondoka na…
Jeshi la DRC, FARC linaendelea kusakamwa na wasaizi wake kutoka kutoka makundi ya Wazalendo. Makabiliano yametokea tena siku ya Jumanne, Agosti 26, huko Uvira, Kivu Kusini. Imechapishwa: 27/08/2025 – 08:50…
Mrengo uliojitenga na muungano mkuu wa upinzani nchini Somalia wa Salvation Forum umetia saini makubaliano ya uchaguzi na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, na hivyo kutoa pigo kubwa kwa…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atampokea mwenzake wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, katika Ikulu ya Élysée leo Jumatano, Agosti 27. Ziara hii ya kiserikali inatarajiwa kufunguwa ukurasa mpya ya uhusiano…
Nchini Colombia, mapigano na mivutano na makundi yaliyojitenga ya FARC yanaendelea. Siku ya Jumanne, Agosti 26, Waziri wa Ulinzi amethibitisha kwamba wanajeshi 34 wamechukuliwa mateka katika eneo la Guaviare, kusini…
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Rais wa mpito wa Syria, Ahmed al-Sharaa Saa 2 zilizopita Huku kukiwa na misukosuko ya kisiasa nchini Syria, waandishi katika magazeti ya kimataifa…
Mkuu wa Shirikisho la Soka la Palestina amekosoa uzembe wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA na taasisi za kimataifa na kutaka kuchukuliwa hatua za haraka dhidi ya hujuma za utawala…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: BONGO FLEVA NJE YA MIPAKA…AGOSTI 27, 2025
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inatarajiwa leo, Jumatano Agosti 27, 2025, kufanya zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri…
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 27, 2025
Wakati bado kuna mkanganyiko kuhusu mazungumzo kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23, ambayo yalianza tena mjini Doha mnamo Agosti 20, diplomasia ya Qatar imevunja ukimya wake siku…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Madaktari bingwa wa upasuaji nchini China wamefanya upandikizaji wa kwanza kabisa wa pafu la nguruwe lililobadilishwa vinasaba ndani ya mtu ambaye ubongo wake umepoteza uwezo wa kufanya kazi. Imechapishwa: 27/08/2025…