Dar City kuna kitu inakipika, kocha Mbwana afunguka
BAADA ya Dar City kufuzu kucheza hatua ya pili ya mashindano ya Road to BAL Divisheni ya Mashariki, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amezungumzia mambo kadhaa, lakini akitaja kile…
BAADA ya Dar City kufuzu kucheza hatua ya pili ya mashindano ya Road to BAL Divisheni ya Mashariki, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amezungumzia mambo kadhaa, lakini akitaja kile…
Wakati Trent Alexander-Arnold alipoumia ghafla, ilionekana wazi huu ulikuwa wakati wa Dani...
Huko Gaza, usitishaji mapigano unawawezesha wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa kuwafikia watu wengi zaidi wanaohitaji msaada wa chakula cha kuokoa maisha, lakini ufifiaji mkubwa zaidi unahitajika ili kudhibiti…
Mratibu Mkuu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi wamezindua ombi la pamoja la msaada wa kibinadamu la…
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM imesema kuwa zaidi ya idadi ya watu milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, ndani ya kipindi…
Kasi ya ukataji miti duniani imepungua katika maeneo yote ya dunia ndani ya kipindi cha miaka kumi iliyopita, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Tathmini ya Rasilimali za Misitu…
Mwanzo tulikuwa na kilimo cha mpunga kwa kutumia umwagiliaji wa maji kutoka Ziwa Rukwa. Baadaye maporomoko yakaja ziwa likapanuka na kuharibu mashamba. Mazao yote yakasombwa hadi ziwani. Sasa mafunzo na…
Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa Joyce Msuya ametembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), kujionea kwa macho hali ya kibinadamu iliyozidi kuwa mbaya kutokana na…
Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu ,Bwana Masanja Kadogosa aomba wakazi wa kata ya Sapiwi wampigie kura ili aweze Kupanua chuo cha IFM…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 21, 2025
Sarkozy anatarajiwa kuwekwa selo ya peke yake kwa ajili ya usalama wake, katika chumba cha...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres wamefanya mazungumzo ya simu na kuzungumzia matukio ya kikanda ikiwemo hali ya…
Shambulizi hilo linakuja siku moja kabla ya kufunguliwa tena kwa uwanja huo wa Sudan kwa ajili ya safari za ndege za nyumbani baada ya kufungwa kwa zaidi ya miaka miwili.
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, Mousa Abu Marzouk ametoa wito kwa Israel kufadhili kikamilifu ukarabati na ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza, akitaja uharibifu…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema haitakidi kwamba Ukraine inaweza kuibuka mshinda katika vita vyake na Russia.
Si picha unazoweza kuziona kila wakati. Kwamba mtu aliyepata kuwa rais wa nchi anaondoka uraia na kwenda gerezani. Lakini hilo limetoka leo Jumanne nchini Ufaransa. Nicolas Sarkozy, rais wa zamani…
Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars ambaye pia ni mchambuzi maarufu wa soka hapa nchini, Ally Mayay Tembele, amezipa zaidi ya asilimia 60 timu nne za Tanzania Yanga…
Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vimeripotiwa kushambulia maeneo muhimu katika mji mkuu wa Sudan, ikiwa ni pamoja na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum, kwa mujibu wa vyombo…
Rais mpya wa Madagascar kanali Michael Randrianirina amemtangaza waziri mkuu mpya wa kiraia.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 21, 2025
Viongozi wa Ulaya wakiwemo viongozi wa Ujerumani, Uingereza, Ufaransa na Umoja wa Ulaya wametoa taarifa ya pamoja na Ukraine leo wakiuunga mkono mwito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa…
Kiongozi wa Kihafidhina Sanae Takaichi amechaguliwa leo kuwa waziri mkuu wa kwanza wa kike wa Japan.
Kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ambaye ni mpatanishi mkuu katika mzozo wa Gaza, leo ameituhumu Israel kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
#HABARI:Mgombea Mwenza nafasi ya Makamu wa Rais wa Chama cha Umma (CHAUMMA) Mhe Devotha Minja, ametangaza CHAUMMA Zanzibar Inamuunga mkono Mgombea wa nafasi ya urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo Mhe.…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa taifa la Umoja wa Ulaya kufungwa jela, baada ya kuanza leo kutumikia kifungo chake.
Mikakati ya ushindi wa nafasi ya urais visiwani Zanzibar kwa Chama cha ACT -Wazalendo, inabebwa...
#HABARI: Wadau wa maendeleo ya vijana wameyashauri makundi ya vijana wajasiriamali wadogo, wanaojishughulisha na biashara mbalimbali, kuweka nidhamu kwenye matumizi ya mitaji wanayopatiwa, ili waweze kukuza biashara zao na kumudu…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amewasili kwenye gereza ya La Sante kuanza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa njama za ufadhili wa kampeni kutoka kwa kiongozi wa…
Bosi wa McLaren Andrea Stella amesema ubingwa wa madereva wa mbio za magari ya Langalanga – Formula One bado uko mikononi mwa timu yake.
Rais wa Marekani Donald Trump amelionya kundi la Hamas kwamba "litaangamizwa" ikiwa litavunja makubaliano ya kusitisha vita. Trump hata hivyo amesema atawapa Hamas nafasi ya kuutekeleza mkataba huo wa kusitisha…
Siku moja baada ya kiongozi wa kijeshi nchini Madagascar Kanali Michael Randrianirina kumteua waziri mkuu mpya Herintsalama Rajaonarivelo vijana wa nchi hiyo wametangaza tena nia ya kumpinga waziri mkuu mpya…
Uchambuzi wa Qur'ani kuhusu tabia ya Donald Trump, rais mtata wa Marekani, unamuonyesha kuwa ni mfano wa wazi wa mtu muovu na mwenye kutakabari.
Mwanasiasa mashuhuri, Sanae Takaichi (64) amechaguliwa kuwa waziri mkuu wa Japan; na hivyo kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu katika historia ya taifa hilo, linalotawaliwa kwa wingi…
#HABARI: Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, leo hii inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya rufaa iliyokatwa na Clinton Damas maarufu kama Nyundo na wenzake watatu dhidi ya hukumu ya kifungo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 21, 2025
Mussa ambaye alikuwa mtoto wa mwisho, amefariki usiku wa kuamkia leo Oktoba 2021 katika...
Kabla hujacheza na kikosi cha Diego Simeone, jambo la kwanza unalotakiwa kujua ni kwamba...
Kwa mara ya kwanza, wanafunzi milioni 1.6 wa darasa la nne wanatarajiwa kuanza upimaji wa...
Qatar Airways na Kenya Airways wametia saini makubaliano yatakayowezesha abiria kusafiri katika maeneo mbalimbali duniani.
Hatimaye Nottingham Forest imemtangaza Sean Dyche kuwa kocha mpya wa kikosi hicho, ikiwa ni...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 21, 2025
Msanii wa Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kitu kikubwa kilichopitwa na wakati kwa mastaa ni...
#HABARI: Polisi wa Korea Kusini wamesema wanatafuta kibali cha kumkamata mwanamke aliyesababisha moto katika makazi yake wakati akijaribu kumuua mende. Jirani mmoja wa mwanamke huyo alipoteza maisha baada ya kuanguka…
Kwa miaka yote staa wa BongoFleva, Diamond Platnumz, ameendelea kuthibitisha si msanii wa...
#HABARI: Wahandisi watatu na muongoza watalii mmoja wamesomewa upya mashtaka tisa ya uhujumu uchumi likiwemo la kuongoza genge la uhalifu na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka katika taasisi…
Matukio ya shinikizo la damu yanaongezeka kote barani Afrika na kwingineko, huku ikisababisha vifo vya watu milioni 10 duniani kote kila mwaka na mifumo ya afya ikihangaika kutoa matibabu ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 21, 2025
Serikali ya Mkoa wa Mwanza imesema licha ya juhudi na kampeni mbalimbali, vifo vya mama na mtoto bado vimeongezeka. Ili kukabiliana na changamoto hiyo, madaktari bingwa 58 maarufu kama Madaktari…