Iraq: Hatutaruhusu ardhi na anga yetu zitumike kutishia usalama wa Iran, majirani wengine
Iraq iimesisitiza kuwa haitaruhusu ardhi na anga yake zitumike kutishia usalama wa Iran au wa nchi nyingine yoyote jirani.
Iraq iimesisitiza kuwa haitaruhusu ardhi na anga yake zitumike kutishia usalama wa Iran au wa nchi nyingine yoyote jirani.
Rais wa mpito wa Madagascar Kanali Michael Randrianirina amemteua mfanyabiashara Herintsalama Rajaonarivelo kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo na kumuapisha katika hafla rasmi iliyofanyika kwenye Ikulu ya Jimbo la…
Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema, vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza si kitu kingine ila ni mauaji ya kimbari sambamba na…
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amejigamba kuwa jeshi lake lilishambulia Ukanda wa Ghaza siku ya Jumapili kwa tani 153 za mabomu, ambayo ni sawa na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 201, 2025
Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais wa Oktoba…
#HABARI: Ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mambo mengine, simulizi nzuri na zenye…
Zuhura ni kielelezo maelfu ya wanafunzi waliopita njia ya shule za kata hadi vyuo, na hatimaye...
Malezi ya kielimu yanazidi matokeo ya darasani. Yanahusu kujenga utu, kujitegemea, maadili na...
Hongo na dharau kwa NATO: Muungano wa uchunguzi wa Ulaya (Follow The Money, La Lettre, le Soir et Knack nchini Ubelgiji) unafichua kashfa kubwa ambayo inadaiwa kuathiri masoko ya silaha,…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: SANAA YA UBUNIFU NA MITINDO.....OKTOBA 21, 2025
#MEZAHURU: Kwanini watu husema uongo, Je hili ni tatizo la kisaikolojia
#HABARI: Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, leo anaanza rasmi kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kuhukumiwa kwa uhalifu wa kula njama ya kufadhili uchaguzi wa mwaka…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 201, 2025
Kwa wasiosikia, lugha ya alama ndiyo daraja linalounganisha ulimwengu wao na jamii pana...
Wajumbe kutoka DRC na Rwanda wanatarajia kukutana kuanzia leo Oktoba 21 na kesho Jumatano Oktoba 22 mjini Washington kwa kikao cha tatu cha mfumo wa pamoja wa kuratibu usalama. Lengo…
Kwa mara ya kwanza katika historia iliyorekodishwa, mbu wamepatikana Iceland, ambapo viumbe watatu waligunduliwa mwezi huu katika Kjos, eneo la bonde la vijijini karibu na Hvalfjordur.
Hisa za benki hiyo ya Ufaransa zimeshuka kwa karibu 8% kwenye Soko la Hisa la Paris siku ya Jumatatu, Oktoba 20, siku tatu baada ya mahakama ya Marekani kuipata benki…
Chama cha Democratic Alliance, chama cha pili kwa ukubwa katika serikali ya mseto ya Afrika Kusini, kinataka kuweka sheria za kikabila zinazolenga kukuza ajira za watu Weusi katika uchumi ambao…
NBC Premier League leo Jumanne Derby ya Mbeya ndani ya jiji la Dar es Salaam. Saa 10:00 jioni, Mbeya City watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Tanzania Prisons. Mbeya City…
Tangu 2022, kundi la wanajihadi linalodai kutetea Waislamu na Uislamu, Jnim, limeimarisha ushawishi wake wa kiuchumi na utawala wa ndani katika maeneo ambapo inafanya harakati zake, ikizidi kutegemea uchumi haramu.…
Serikali ya Côte d’Ivoire na makao maku ya jeshi wanaripoti kwamba mwathiriwa-afisa ambaye amekuwa akiongoza kikosi cha askari-alifariki mapema asubuhi ya Jumatatu, Oktoba 20, wakati wa operesheni kwenye barabara ya…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ... | OKTOBA 21, 2025
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Vladimir Putin na Donald Trump mjini Budapest iwapo ataalikwa kwenye mkutano kati ya viongozi wa Urusi na Marekani. Mkutano huu,…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 21, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu ameonya kwamba Hamas “itatokomezwa” ikiwa itakiuka makubaliano ya Gaza na Israel, lakini akasema itapewa fursa ya kuheshimu makubaliano hayo. Makamu wa Rais…
🔴KUMEKUCHA: UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA....OKTOBA 21, 2025
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atawekwa rumande leo Jumanne. Ataanza kifungo cha miaka mitano jela kwa kula njama ya kukusanya fedha za kampeni nchini Libya. Ni pigo kubwa…
Wanawake wajawazito nchini huenda wakapata nafasi ya kupata elimu kuhusu afya ya uzazi na ushauri unaohusiana na malezi kwa wepesi zaidi baada ya mtaalamu wa Akili Unde, Elias Patrick kuunda…
🔴#MAGAZETI: JAMHURI YALALAMA, LISSU ANAKWAMISHA KESI KWA MAKUSUDI......OKTOBA 21, 2025
Rais wa Marekani Donald Trump amelionya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas kuwa "litaangamizwa" ikiwa litakiuka mpango wa kusitisha vita huko Gaza.
Wajumbe wawili wa juu wa Marekani kwa Mashariki ya Kati wamekutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, wakijaribu kuunusuru mpango wa kusitisha vita kati ya Israel na Hamas.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema nchi yake inajiandaa kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot.
Shirika la Amnesty International limetoa taarifa likieleza kuwa mamlaka za Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari, asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anatarajiwa Jumanne kwenda jela ya "la Santé" iliyopo katikati mwa mji mkuu Paris kutumikia kifungo cha miaka mitano jela.
Ripoti mpya iliyotolewa na mashirika kadhaa ya wanaharakati imetahadharisha kuwa mapambano dhidi ya malaria yamekwama licha ya miongo miwili ya mafanikio.
Vyombo vya usalama vya Israel vimetangaza kuwa Hamas imekuwa ikiimarisha udhibiti wake katika Ukanda wa Ghaza tangu dakika za mwanzo za kusitishwa mapigano na inaendelea kurejesha utulivu na usalama katika…
#KIPIMAJOTO: Wanaoshawishi watu wasijitokeze kupiga kura. Je, wanaelewa kuwa ni kosa la jinai?
Mufti wa Oman ametangaza himaya na uungaji mkono wake kikamilifu utayarifu wa Wayemen kukabiliana na utawala haramu wa Israel.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 21, 2025
Mashambulizi ya wanamgambo wenye silaha yanaripotiwa kushadidi katika eneo la Sahel Afrika.
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limesema kuwa, serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji kwa wakosoaji wake wa kisiasa, waandishi wa habari, asasi za kiraia, na watetezi wa haki za…
Serikali ya Donald Trump huko Marekani imevunja rekodi kwa kusimamisha shughuli zake kwa muda wa siku 20. Janga hilo lilianza Oktoba 1, 2025, na kulemaza shughuli muhimu za Marekani na…
Trump atishia kuiangamiza Hamas ikiwa itakiuka mpango wa amani huko Gaza. Zelensky amesema analenga kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot. Shirika la Amnesty limesema ukandamizaji umeshamiri Tanzania kabla…
Wajumbe wawili wa juu wa Marekani kwa Mashariki ya Kati wamekutana jana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, wakijaribu kuunusuru mpango wa kusitisha vita kati ya Israel na…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
"Ajira kwenye sekta, kila eneo likikua maana yake linaleta ajira, kwa mfano miaka mi nne iliyopita tulikua na waongoza Utalii takribani 700, leo kuna waongoza Utalii Elfu sita" Dkt.Hassan Abbas…
"Mapato ya sekta ya Utalii yameongezeka kutoka Dola Bilioni 1.3, mwaka 2021 mpaka leo mapato ya sekta ya Utalii yamefika Dola Bilioni 3.9 maana yake yameongezeka kwa asilimia miatatu na…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 20, OKTOBA 2025
"Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni kila kitu kwenye sekta ya Utalii, ameendeleza uhifadhi ambao ndio chanzo kikuu cha uhifadhi wetu" Dkt.Hassan Abbas -Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii. Powered…