Rais wa mpito wa Madagascar amemteua waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Uteuzi huo unakuja baada ya siku kadhaa za maandamano ambayo yalimlazimu Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina kutoroka nchi, huku jeshi likichukua mamlaka.
Uteuzi huo unakuja baada ya siku kadhaa za maandamano ambayo yalimlazimu Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina kutoroka nchi, huku jeshi likichukua mamlaka.
#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti ikiwemo mpakani mwa nchi jirani ya Kenya kufuatia jeshi la polisi kubaini kuwepo…
Msemaji wa serikali ya Israel amesema wajumbe wakuu wa Marekani katika mzozo wa Mashariki ya Kati wamekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu kujadili utekelezaji wa makubaliano ya usitishaji…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 20, 2025 - MSHINDI WA URAIS KUTANGAZWA SAA 72
Tehran na Washington zilishiriki katika duru tano za mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja ambayo yalimalizika kufuatia vita vya anga vya siku 12 mnamo Juni ambapo Israel na…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT–Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema silaha...
#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga bombo na kusababisha kuwapunguzia…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amekutana na mwenzake wa Liberia, Sara Beysolow Nyanti kujadili njia za kupanua ushiriki wa Marekani katika sekta muhimu ya madini nchini…
Mgombea urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu amesema endapo atachaguliwa kuongoza...
Mgombea huyo amemtaka Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, kuangalia namna ya kupanua barabara hiyo.
Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Isenegeja iliyopo kata ya Mwisi, Wilaya ya...
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo XIV, alikutana kwa mara ya kwanza na kundi la wahanga wa unyanyasahi wa kingono unaodaiwa kufanywa na makasisi wa kanisa hilo.
Yanga imewatoa wito kwa mashabiki wake kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa...
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu imemhukumu Saimon Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka thelethini na nane kifungo cha miaka thelathini jela kwa kosa la kumbaka mtoto…
Mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff pamoja na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner, wamekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Kiongozi wa chama cha kihafidhina cha CDU, Kansela Friedrich Merz, ameapa kupambana vikali na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia AfD, kuelekea uchaguzi wa majimbo matano mwaka ujao.
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema anatambua changamoto ya msongamano wa magari katika barabara ya Kilwa, hususan kipande cha Kongowe hadi Mbagala Rangitatu, na…
Mawaziri wa nishati wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuachana kabisa na uagizaji wa gesi kutoka Urusi ifikapo mwisho wa mwaka 2027.
Vyama vya ushirika nchini (SACCOS) vimeiomba serikali kuweka mazingira wezeshi ya uendeshaji ili kuruhusu SACCOS hizo kupokea amana kutoka kwa watu ambao si wanachama wa SACCOS hizo. Ombi lililotolewa ni…
Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Leo, amekutana na wahanga wa unyanyasaji wa kingono uliofanywa na makasisi wa kanisa hilo.
Bao la Chama lampa mzuka Gamondi BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ngumu za kuandika…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na askari wa Wanyamapori limefanikiwa kukamata watuhumiwa wanne waliokuwa wakijihusisha na biashara haramu ya nyara za Serikali, ambapo walikutwa na meno…
Hakan Fidan alifanya mazungumzo na maafisa wakuu pembezoni mwa mkutano wa mawaziri kuhusu usalama na uunganisho wa kanda mbalimbali, uliofanyika kama sehemu ya Baraza la Mambo ya Nje la Umoja…
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema kwa mara ya kwanza uwiano wa mapato ya ndani...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA: OKTOBA 20, 2025-
Ziara ya Rais wa Uturuki ya mataifa matatu inakuja wakati Ankara inatafuta ushirikiano wa kina wa kikanda huku kukiwa na mabadiliko ya mienendo ya Mashariki ya Kati.
BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ngumu za kuandika rekodi ya kuipeleka timu hiyo hatua…
Rais William Ruto amewaongoza Wakenya kuadhimisha siku kuu ya Mashujaa huku akimtunuku heshima ya juu Waziri Mkuu wa zamani Raila Amollo Odinga, aliyezikwa Jumapili (19.10.2025), nyumbani kwake jimbo la Siaya.
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, imeonekana kuteseka katika ligi hiyo baada ya kucheza mechi nne bila ya ushindi wala kufunga bao msimu huu wa 2025-2026.
KWA mara ya kwanza katika historia, mechi ya Watani wa Jadi wa Jiji la Mbeya, Mbeya Derby baina ya Mbeya City na Tanzania Prisons inachezwa Dar es Salaam na leo…
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema kuanza kwao vibaya msimu huu haina maana wapo kwa ajili ya kugawa pointi kwa wapinzani, bali kuna mabadiliko makubwa na anaona watakuwa bora…
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 424.6 kwa ajili ya miradi ya maendeleo mkoani Rukwa, ikiwemo ukarabati wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga, ujenzi wa barabara za lami na kazi…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema licha ya mshambuliaji wa timu hiyo, Jephte Kitambala kutajwa kwa ubora kutokana na kufunga mabao na kuisaidia timu hiyo kwenye malengo ya…
#HABARI: Wasomi na wanazuoni kutoka mataifa kumi ya bara la Afrika wanakutana jijini Arusha kujadiliana na kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati ya pamoja ya mbinu sahihi za kukabiliana na changamoto…
https://youtu.be/iAMxVTZkoao?si=k6TkkZ-NJaaDl_Vm Fuatilia mahojiano maalum ya Mwandishi wa Habari wa AzamTV, Ivona Kamuntu aliyofanya na Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mengi kuhusu uhusiano...
Wajumbe wa Bunge la Baraza la Ulaya kwenye tawi linalohusika na kudumisha haki za binadamu, demokrasia na utawala wa sheria wameunga mkono kura ya kuanzishwa jukwaa la mazungumzo na wapinzani…
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame ametoa onyo kali kwa watu wanaodaiwa kupanga njama za...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia...
Uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusitisha uanachama wa Madagascar unazua maswali mengi. Maoni ya wataalamu yamegawanyika juu ya kile AU inachoweza kufanya ili kushughulikia misukosuko ya kisiasa ya nchi…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald wa Marekani kuhusu Iran na eneo la Asia ya Magharibi na na kusema,…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald wa Marekani kuhusu Iran na eneo la Asia ya Magharibi na na kusema,…