Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg. Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt.…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg. Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt.…
Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI....OKTOBA 16, 2025
#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Kenya, kwa ajili ya Mazishi ya Kitaifa, mwili wa Odinga utapumzishwa Jumapili…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Shirika la kutetea haki za binadamu la Mashad limerekodi vifo vya raia 146, wakiwemo watoto 41 katika siku za hivi karibuni katika mji El-Fasher magharibi mwa Sudan.
Nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka. Wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29, visa vya watu kukamatwa na kutoweka vinaongezeka. Imechapishwa: 16/10/2025 –…
Zaidi ya watalii milioni 3.5 wa kigeni wameitembelea Iran katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, Waziri wa Turathi za Utamaduni, Utalii na Sanaa, Reza Salehi Amiri alisema hayo…
Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel…
Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi…
Kufuatia kutiwa saini siku ya Jumanne, Oktoba 14, huko Doha kwa mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano kati ya serikali ya Kongo na kundi la waasi la AFC/M23, majadiliano yanaendelea katika…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 16,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates
Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....OKTOBA 16, 2025
Nchini Madagascar, jeshi linaimarisha mamlaka yake mpya siku mbili baada ya tangazo lake mbele ya ikulu ya rais huko Ambohitsorohitra. Kanali Randrianirina ataapishwa siku ya Ijumaa Oktoba 17 kuwa rais…
Umoja wa Afrika umechukua hatua haraka kufuatia hatua ya jeshi kuchukuwa madaraka nchini Madagascar. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Oktoba 15, Umoja wa Afrika umeisitisha Madagascar kwenye taasisi zake…
Kila kizazi kina wazo, ndoto na azma yake ya kuweka alama mpya katika ukuaji wa taifa. Miaka...
Mkutano mkubwa wa kisiasa na kijamii juu ya mustakabali wa nchi, ulioitishwa Nairobi, nchini Kenya, na rais wa zamani Joseph Kabila, umezindua jukwaa jipya la kisiasa siku ya Jumatano, Oktoba…
🔴KUMEKUCHA: NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KWENYE UCHAGUZI....OKTOBA 16, 2025
Mwamko mkubwa wa Benki Kuu duniani kununua dhahabu kumeyafanya madini hayo kuwa ya pili...
Fikiria unapanda daladala bila kuhangaika kutafuta chenji, bila wasiwasi kama konda...
Katika mazingira ya sasa yenye hali ya kiuchumi isiyo tulivu, kupanga bajeti na mipango ya...
Safari ya kunadi sera na kuomba ridhaa kwa Watanzania ili watoe nafasi kwa mgombea mmoja kati...
Ni mwisho wa safari ya Luhaga Mpina kusaka urais? Ni swali linalogonga vichwa vya wengi kwa...
Kamati ya kitaifa ya mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga, ikiongozwa na Makamu wa Rais Kithure Kindiki, imebainisha kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani atazikwa Jumapili, Oktoba 19, kulingana na…
#KIPIMAJOTO: Wanaotumia mitandao kusambaza hofu na uchochezi. Je, wanadhibitiwa kwa wakati kuepusha madhara kwa jamii?
🔴MAGAZETI: VIGOGO CHADEMA WANA SIKU 8 KUJITETEA WASIENDE GEREZANI / PANTEV ABANWA....OKTOBA 15, 2025
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia madhara ya mizozo, ugomvi, vita na uadui baina ya nchi za Kiislamu na kusema kuwa, hivyo ndivyo anavyotaka adui bali hayo ndiyo…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 16, 2025
Makundi ya Muqawama ya Palestina yamepongeza operesheni ya kuzisafisha taasisi za usalama katika Ukanda wa Ghaza, na kutangaza kuwa Palestina kamwe haitakuwa kimbilio na ngome ya mamluki wa adui Mzayuni.
Makumi ya miji na mikoa kote Uhispania imeshuhudia maandamano makubwa na migomo ya umma ya mshikamano na watu wa Gaza . Migomo na maandamano hayo makubwa ya nchi nzima yalifanya…
Rais William Ruto ametangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku saba kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amollo Odinga.
Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria sawa na 16 Oktoba 2025 Miladia.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 15, OKTOBA 2025
Kijana mwenye umri wa miaka 17, mwenye asili ya Nyanza, Kaunti ya Siaya, nchini Kenya...
Zaidi ya wanafunzi 2,000 na wakazi wa eneo la Dongobesh wilayani Mbulu, Mkoa wa Manyara...
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali ombi la Bw. Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT- Wazalendo kupinga kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa…
Mahakama imekataa kuridhia kupokea ushahidi wa mdomo wa Christina Polepole, ambaye ni dada wa...
#HABARI:Wanufaika wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) mkoani Tabora wametakiwa kutumia fedha za ruzuku walizopewa kwa kufuata masharti ili kuhakikisha malengo ya kuboresha maisha ya wananchi na kuhifadhi misitu yanafikiwa.…
#HABARI:Aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Kenya Raila Odinga atazikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake katika Kaunti ya Siaya. Taarifa hiyo imetolewa na Kamati ya Maandalizi ya mazishi inayoongozwa na Naibu Rais…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa ufafanuzi kuhusu hatma ya wapigakura zaidi ya 106,00 ambao walijiandikisha kupiga kura kwenye vituo 292 vilivyokuwa kwenye kata 10 zilizofutwa kutokana na…
Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo atafanikiwa kupata ridhaa ya wananchi ya kuwa Rais wa Zanzibar. Rashid…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga kilichotokea nchini India. Mbali ya siku hizo saba pia bendera…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu sambamba na kutoa vifaa visaidizi kwa…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chakula kwa miezi mitatu bure ili kuwasaidia kujenga afya zao. Mluya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi, ataongeza ruzuku kwa wawekezaji wanaosambaza Nishati ya Gesi,…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara ili kuongeza nafasi za ajira kwa wakazi wa mikoa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Salaam yenye gharama ya shilingi Bilioni 224.22 inayotekelezwa na…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi ameahidi...