Aliyejiuzulu Simba apata shavu Marekani
ALIYEKUWA Skauti Mkuu wa Simba, Mels Daalder, ameteuliwa katika Shirika la R6 International Sports Agency na kwa sasa atajikita katika utambuzi na usajili wa vipaji vya kimataifa kwa niaba ya…
ALIYEKUWA Skauti Mkuu wa Simba, Mels Daalder, ameteuliwa katika Shirika la R6 International Sports Agency na kwa sasa atajikita katika utambuzi na usajili wa vipaji vya kimataifa kwa niaba ya…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema...
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kupanua uhusiano na Uganda katika nyanja za kiuchumi, kilimo na biashara.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mataktifu Leo XIV Alhamis ameikosoa hatua ya dunia kushindwa kuwazuia mamilioni ya watu kukabiliwa na njaa, wakilalamikia hali mbaya ya kiuchumi.
Serikali imetoa zaidi ya Sh5.2 bilioni kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi 58 wa Mtaa wa...
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya mpira wa kikapu ya kimataifa ya Road to Basketball Africa League (BAL), Dar City, wataanza campeni ya kuwania nafasi kufuzu hatua ya 16 dhidi…
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
Akafika Kongowe mkoani Pwani, akaingia katika katika njia ya mchepuko. Baada wa mwendo kama dakika kumi hivi akaliona shamba moja lililokuwa limepaliliwa vizuri hapo ndipo alipoamua kulitelekeza gari hilo.
đź”´MEZA HURU: LIGI KUU SOKA WANAWAKE....OKTOBA 15, 2025
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO linapoadhimisha miaka 80 tangu kuanzishwa kwake, kazi yake nchini Tanzania ni kielelezo dhahiri cha dhamira ya shirika hilo katika kuhakikisha…
Zaidi ya asilimia nane ya idadi ya watu wote duniani, au takriban watu milioni 673, hawapati chakula cha kutosha na wanateseka na njaa, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Mizozo,…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani mabadiliko ya serikali yasiyo ya kikatiba nchini Madagascar na kutoa wito kwa kurejeshwa haraka kwa utawala wa kikatiba na kisheria.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limeadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwake Jumatano hii kwa wito wa dunia kuungana katika mapambano dhidi ya njaa,…
Ukosefu mkubwa wa fedha unatishia kulemaza shughuli za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa duniani kote, huku shirika hilo likionya kuwa litalazimika kupunguza doria, kufunga ofisi za mashinani, na…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeyakataa maombi ya mawakili wa wajibu maombi katika...
Pamba Jiji ipo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi mbili...
Mkazi wa Mbezi Beach kwa Zena na maeneo ya jirani, Balozi wa AzamTV @mkwere_original ana ujumbe mahsusi kwako. #AzamTVBurudaniKwaWote
#HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi…
Hamas iliwaachilia mateka 20 wa mwisho walio hai Oktoba 13, lakini hadi sasa imerejesha tu miili tisa kati ya 28 ya waliofariki huko Gaza. Hii ni idadi ndogo sana kwa…
#MEZAHURU: Wakati Ligi kuu ya wanawake ikianza, ilikuwa halali kuwapima jinsia waliotiliwa mashaka
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, ameahidi...
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambao ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Kampala, mji mkuu wa Uganda kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo…
Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Yasar Guler, amesisitiza nafasi muhimu ya Ankara katika ulinzi wa Ulaya, ushiriki wake katika usalama wa Ukraine, na utayari wake wa kushiriki katika kikosi kazi…
Taasisi ya Israel ya Al-Sam, inayoshughulikia matibabu ya waraibu wa dawa za kulevya, imefichua katika taarifa yake kwamba asilimia 13 ya wanaopata matibabu ya uraibu katika taasisi hiyo ni askari…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye amewataka wananchi wa mji wa Shuka, uliopo jimboni humo kutouza ardhi yao ovyo, akisisitiza kuwa eneo hilo lina thamani kubwa kutokana…
Katika jitihada za kupunguza gharama kwa watumiaji wa nishati na kulinda mazingira kutokana na uzalishaji wa hewa ukaa, Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)…
Ligi ya Mabingwa Afrika. Jumamosi, Yanga SC watakuwa dimba la Bingu nchini Malawi wakicheza na Silver Striker, kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hii itapigwa kuanzia…
#MICHEZO: Msafara wa mashabiki na wanachama wa Yanga kutoka Dar es Salaam ambao unakwenda kuungana na msafara wa mashabiki wengi wa Mbeya umefika Ndiuka majira ya saa 4 asubuhi baada…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuhusu taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote…
Katika kipindi ambacho maji safi yana thamani zaidi kuliko hapo awali, mifumo bora ya kutibu...
“Hakuna mpinzani kutoka vyama vya siasa nchini Kenya anayeweza kufananishwa na Raila Odinga… alikuwa na uwezo mkubwa wa ushawishi licha ya uwepo wa makabila mengi nchini humo,” - Mchambuzi wa…
#HABARI: Mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole na baadhi ya ndugu wakiingia Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya muendelezo wa…
Mamia ya wananchi jijini Nairobi wameungana na jeshi la nchi hiyo kuupokea na kuusindikiza mwili wa Raila Odinga kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kuelekea uwanja wa…
Pamba Jiji ya Mwanza ni miongoni mwa timu tatu ambazo hazijapata ushindi kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu, ambapo kesho Oktoba 17, 2025 itakuwa na kibarua kizito cha kuhakikisha inafuta…
đź”´HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kwa kushirikiana na AGRA na Mathematica...
Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni ya Iran, Kamal Kharrazi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa mazungumzo, lakini katu haitakubali kutwishwa matakwa ya aina yoyote.
Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amesisitiza kujitolea kwa taifa lake kwa amani, uhuru na utu, akizindua mpango mpya wa kuimarisha ulinzi wa ardhi ya nchi hiyo, huku Marekani ikiidhinisha operesheni…
SERIE A Wikiendi hii Big Match ni katika dimba la Olimpico jijini Roma, pale wenyeji AS Roma wakiwakaribisha Inter Milan. Katika msimamo wa Serie A, AS Roma yupo nafasi ya…
Aliyekuwa Mkurugenzi wa michezo wa AS Roma ya Italia, RamĂłn RodrĂguez Monchi, amefichua jinsi...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anaamini Umoja wa Ulaya unastahili kujifunza kutokana na mpango wa amani wa Gaza wa Rais Donald Trump ili kutoyumbishwa katika jukwaa la kimataifa.
Raila Odinga amefariki dunia alipokuwa nchini India ambapo alikuwa anatibiwa.
NAIROBI – Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani nchini Kenya, Raila Odinga, umewasili jijini Nairobi muda mfupi baada ya saa 10Am asubuhi kwa majira ya Afrika Mashariki, siku moja baada…
Wasanii wa Filamu na Muziki wamekuwa wakifuatiliwa na wengi katika mitandao ya kijamii hasa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo kuwa zaidi ya watoto 650,000 Wapalestina wanakosa elimu katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka wa tatu mfululizo.
Jamii mkoani Lindi imehimizwa kulinda afya kwa kunawa mikono mara kwa mara, kutumia vyoo bora, pamoja na kudumisha usafi wa mazingira kwa ujumla, ili kujikinga dhidi ya magonjwa. Unatumia njia…