Othman aahidi kuvalia njuga ukatili wanawake, watoto
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ameahidi...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ameahidi...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ameeleza namna...
Abiria zaidi ya 700 wa treni ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati, hatimaye wameendelea tena safari yao baada wahandisi wa TRC kukamilisha…
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi akipewa...
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025 hadi 2030, katika Jimbo la Peramiho kimeahidi kuiunganisha Tanzania na Msumbiji kwa barabara ya kiwango cha lami yenye…
Mgombea urais wa Chama cha Democratic Party, Abdul Mluya leo Jumatano Oktoba 15, 2025...
#HABARI: Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na…
KOCHA wa Chippa United, Luc Eymael amesema itakuwa ni aibu kwa Romain Folz na Dimitar Pantev kama Yanga na Simba zitashindwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
KATIKA benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha mkuu Romain Folz, vichwa vinauma wakati maandalizi kuelekea mechi ya ugenini ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silvers Strikers yakiendelea.…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Oktoba 15, 2025 amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara jijini Dar es Salaam inayojengwa kwa zaidi ya shilingi…
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewaahidi wananchi wa Mkoa wa Singida ujenzi wa kiwanda cha mafuta...
Soma kwa undani hapa
Malori ya misaada yameanza kuingia Gaza na Israel imeanza maandalizi ya kukifungua kivuko cha Rafah baada ya kuzuka mzozo katika kurejesha miili ya mateka hali iliyotishia kuvuruga makubaliano tete ya…
Jarida la L'Express de Madagascar, limeripoti kwamba, kocha Romuald Rakotondrabe maarufu kwa jina la Rôrô, jana Oktoba 14, 2025, ametua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na…
Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwwa kutoka kwa viongozi wa Afrika na duniani kote kufuatia tangazo la kifo la Raida Odinga.
Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi, imepanga Novemba 27, 2025 kutoa hukumu ya kesi ya ardhi...
Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wadau wa maendeleo umefanya mkutano jijini Dar es Salaam kujadili mabadiliko ya mazingira…
#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kizimamoto Temeke, Jijini Dar es Salaam, limefanya zoezi la utayari la kukabiliana na majanga ya mlipuko wa moto katika Soko la Stereo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO: OKTOBA 15, 2025 - WAKULIMA WA MIWA WALALAMIKIA WADUDU WAHARIBIFU
Imeelezwa kuwa, wanawake wanapojitambua, kujiamini, na kuwa tayari kuwaongoza wengine, hufungua...
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Dar es Salaam ipo Salama na kuwataka wananchi wa kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wito wa maandamano, na kueleza…
Kifo cha Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Shinyanga, Asha Mwetindwa, kimesababisha...
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wameuelezea mkutano wa Sharm al-Sheikh kuwa ni onyesho la nguvu na hadaa zenye lengo la kupuuza haki za watu wa Palestina.
Roboti huyo anayejulikana kama IRIS, ana uwezo kufunza kwa kutumia lugha za Afrika Kusini, ikiwemo isiZulu, Afrikaans, Sesotho, na Kiingereza.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameahidi kujenga uwanja mkubwa wa ndege katika eneo la Kyabajwa, Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, endapo atachaguliwa kuunda serikali…
Mwanasiasa huyo mkongwe nchini Kenya amefariki dunia Oktoba 15, 2025 nchini India, alipokuwa akipokea matibabu.
WAKATI Dodoma Jiji ikikaribia kumtambulisha, Amani Josiah, kukiongoza kikosi hicho, kwa sasa uongozi wa timu hiyo uko katika hatua za mwisho za kumpa majukumu mapya, Vincent Mashami raia wa Rwanda,…
#HABARI: Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said…
Unakumbuka nini kuhusu safari ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga Unayakumbuka mapito ya safari yake ya siasa Unaukumbuka vipi urithi wake mwanaharakati huyu wa kisiasa Tazama video…
Serikali imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme jua...
Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia...
Jeshi hilo limewataka wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 bila hofu, likisisitiza...
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja na mshikamano zaidi kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM)…
Sasa ni rasmi kwa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, Luhaga Mpina...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kuleta mageuzi makubwa...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe imesema katika kipindi cha mwaka 2025 pekee imepokea zaidi ya watoto njiti 200 ambao wamepatiwa matibabu na wengine wakiendelea kupata huduma katika hospitali…
BAADA ya kiungo mkabaji, Baraka Majogoro kurejea nchini na kujiunga na kikosi cha KMC alichowahi kukitumikia hapo awali, nyota huyo amesema haikuwa rahisi kuzikataa ofa mbalimbali za timu kutoka ndani…
Shangwe, furaha na vifijo vimetawala katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mtaa wa Mambi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah, amewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora zinazokidhi viwango vya kimataifa. Wito huo umetolewa ili kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa nchini…
Viongozi mbalimbali duniani, wamekuwa wakitoa salamu zao za pole kwa wananchi wa Kenya, kufuatia kifo cha Raila Odinga. Imechapishwa: 15/10/2025 – 14:47Imehaririwa: 15/10/2025 – 14:49 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Mjadala kwa sasa ni iwapo Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) inaweza kuakisi imani ya wadau wa...
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma ya maji safi, ambapo awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma…
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanasiasa mashuhuri na...
Huenda Afrika ikawa na wawakilishi 10 katika mashindano yajayo ya Kombe la Dunia huko Marekani, Canada na Mexico yatakayofanyika kati ya Juni 11 na Julai 19 mwaka 2026.
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuongeza uzalishaji wa miche ya kahawa na kutoa matrekta kwa wakulima wa Kagera kwa gharama…
Kenya imekumbwa na msiba mzito, kufuatia kifo cha kiongozi mashuhuru wa upinzani na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, aliyefariki dunia Jumatano asubuhi akiwa na umri 80 baada kupata mshtuko wa…
Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewataka watendaji wa Serikali wanaosimamia na kutekeleza...
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa umeme. Visima hivyo vinatarajiwa kuongeza uwezo wa uchimbaji…
Abiria zaidi ya 700 wa treni inayofanya safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma kupitia reli ya kati wamekwama kwa zaidi ya saa 15 katika stesheni ya Dodoma. Meneja wa…