#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 13/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 13/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 13/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 13, 2026
#HABARI: Watu wanne wanaotuhumiwa kuhusika na wizi wa gari la wagonjwa namba 7830 STM mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kisha kulibadilishia matumizi na kuwa gari la biashara…
Mdau wa Soka, Coach, Veteran wa Arusha All Stars Mhandisi Matokeo Manyeta ameelezea Fursa kuhusu @kibudenis_prosper kuondoka @simbasctanzania Nini Maoni yako 👇? 📸@fikratunduizi1 (Feed generated with FetchRSS)
Muingiliano wa watu katika nyanja mbalimbali za maendeleo unawalazimisha watu kuwasiliana ili kutimiza malengo ya muingiliano huo hali inayohimiza uelewa wa lugha zaidi ya moja kwa ajili ya kupata mafanikio.…
Wakazi wa kisiwa cha Ijinga kata ya Kahangara wilaya ya Magu mkoani Mwanza wameanza Ujenzi wa Shule kunusuru wanafunzi Wanyama wakali wakiwemo kiboko wanaotishia usalama wa wanafunzi Mwenyekiti wa kijiji…
"Kuna pato kubwa serikali inapoteza, kwa walio nje ya soko kwa sababu, hawana leseni inamaana hawalipii leseni, lakini kwa mujibu wa mamlaka ya mapato ni kwamba walipaswa wawe na 'tin'…
#MALUMBANO:"Wenye maduka wanaumia na wanapata hasara kubwa sana, kwa sababu meza zilizoko nje kwenye maduka, zimezidi maduka yaliyoko kwenye fremu" Hamis Omari - Mhiriki Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴NINI KIFANYIKE MPANGILIO WA SOKO JIPYA KARIAKOO LIWE LA FURSA KWA WOTE? : FEBRUARI 11, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, ameielekeza Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kutoa adhabu zinazolingana na athari anazozipata mtu pale picha au taarifa zake za faragha zinapovujishwa…
Mkutano wa mwaka wa mawakala wakubwa wa Azam TV kutoka mikoa mbalimbali nchini unaendelea kufanyika jijini Tanga, ukiwaleta pamoja wadau wakuu wa huduma hiyo kwa lengo la kujadili mwelekeo wa…
Takribani watu 23,000, wengi wao wakiwa ni kaya zisizo na uwezo katika Wilaya ya Sumbawanga, hususan vijijini, wanatarajiwa kupatiwa bima za afya za bure ili waweze kupata huduma za matibabu,…
Zoezi la uandikishaji wa bima ya afya kwa wote kwa kaya masikini limeanza rasmi katika kata ya Genge Halmashauri ya wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, likiongozwa na Mkuu wa Wilaya…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 11, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amewahimiza wafanyabiashara nchini kuitumia Bandari ya Mtwara kutokana na fursa kubwa iliyonayo ikilinganishwa na Bandari ya Dar es Salaam. Akiwa katika ziara…
#HABARI: Vilio vya furaha vimetawala katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Singida huku baadhi ya wananchi wakipoteza fahamu kwa hisia, kufuatia kutatuliwa kwa kero sugu za dhuluma ya nyumba,…
Mmiliki wa kampuni ya Matondo Breweries Investment Limited, Matondo Kilugala Malanda iliyopo wilayani Bukombe, amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Mkoa wa Geita kujibu mashtaka manane ikiwamo kugushi stampu za Mamlaka…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 11, 2026- MAHAKAMA YAAMURU KIZIMBA CHA MASHAHIDI KIBADILISHWE (Feed generated with FetchRSS)
Benki ya Equity Tanzania imeweka lengo la kukusanya shilingi bilioni 200 kupitia akaunti mpya ya akiba ya muda maalum iitwayo Wezesha Akaunti, fedha zitakazotumika kuongeza uwezo wa benki kutoa mikopo,…
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekutana na Rais Donald Trump wa Marekani kwa lengo la kujadiliana kuhusu mipango ya nyuklia ya Iran. Kwa sasa Israel inashinikiza Iran idhibitiwe katika…
Ufaulu kwa wanafunzi wa elimu ya sekondari na elimu ya sekondari ya juu mkoani Kigoma umeongezeka hali iliyofanya viongozi wa mkoa huo kujivunia na kusema kuwa mafanikio hayo ni matokeo…
Jumatatu ya Februari 16, kuanzia saa 8:30 mchana, chaneli ya CGTN itakuletea 2026 The CMG Festival Gala. CGTN ni chaneli namba 238 kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. #CMGFestivalGala #CGTN #AzamTV…
Ufugaji wa samaki wa vizimba nchini umeendelea kufungua fursa kwa vijana wengi nchini huku wataalamu wakiendelea kutafuta namna za kuifanya nyanja hiyo kuwa na tija zaidi huku bajeti ya uzalishaji…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI 11/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
#INTERTAINMENTUPDATE Bad Bunny alipanda jukwaani kwenye Super Bowl LX 2026 kwa onyesho la halftime ambalo liliibua mijadala mikubwa duniani kote. Wengine waliliona kama hatua ya kihistoria kwa muziki wa Kilatini,…
#goodmorning Wataalamu wa afya wanasema mood yako ya asubuhi ina mchango mkubwa kwenye jinsi siku yako itakavyokwenda. Ukianza na hali nzuri, unakuwa na nguvu, umakini na mawazo chanya — lakini…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 10, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watu wawili, akiwemo mmiliki wa Kampuni ya Salaaman Health Services Ltd, Abdi Hirsi, na Afisa Rasilimali Watu, Elia Makongwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ametoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya ya Kiteto wanaotuhumiwa kuchochea migogoro kati ya wakulima na…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mohamed Rashid Mumpa, mmiliki wa gari la abiria aina ya Hiace yenye namba T 234 BUM, kufuatia tukio la kutelekezwa kwa gari hilo…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 10/02/2026
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Evalist iliyopo kata ya Nyarugusu pamoja na Shule ya Sekondari Lwamudasa wilayani Geita wameondokana na adha ya kutembea kwa miguu zaidi ya kilometa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 10, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Simulizi ya Isrey Athuman, binti mwenye miaka 26 ambaye ameishi na kifafa kwa zaidi ya miaka 10. Takwimu zinaonyesha kuwa takriban watu milioni 50 duniani kote wanaishi na ugonjwa wa…
Wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Buyuni, iliyopo wilayani Chakechake, Pemba, wameiomba Wizara ya Elimu kuwabadilishia mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa madai kuwa hana ushirikiano na wazazi na…
#HABARI: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake. Akizungumza leo Februari…
Afrika Kusini imetangaza uamuzi mzito wa kisera na kiusalama, kuanza kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wakihudumu chini ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Tafiti zinaonyesha kuwa matokeo duni ya mwanafunzi ni dalili ya changamoto zilizoanza mapema, wakati wa kumjengea maarifa ya msingi. Ili taifa lipate mafanikio ya kweli, ni lazima kuwekeza sasa katika…
🔴#DAKIKA45 NA HASSAN SAID - MKURUGENZI MKUU REA .....FEBRUARI 09, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Ikiwa leo ni siku ya kwanza tangu kuzinduliwa kwa Soko la Kariakoo na Rais Samia Suluhu Hassan, wafanyabiashara wamekuwa na hekaheka za kujipanga kuingia na kufanya shughuli zao. Katika hatua…
Katika kuhakikisha kunakuwepo suluhu ya kudumu ya utatuzi wa changamoto ya vituo vya kujazia gesi, Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kupitia ubia kati…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA AHUHURI - 9/02/2026
Je, akili unde (AI) ni fursa au tishio? Usikose kufuatilia Morning Trumpet kwa mjadala wa kina kuhusu faida na hasara ya teknolojia hii. Jiunge nasi kesho kuanzia saa 12:00 asubuhi…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewataka watendaji wote aliowateuwa na kuwaapisha, kuhakikisha wanaifanya Tanzania iendelee na wasimamie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Dkt Samia ametoa…
Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kesho Februari 10, 2026 kwenye #MorningTrumpet ya #UTV
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema atachukua hatua za kumuondoa mtendaji yeyote kati ya wateule wake atakayeshindwa kuendana na kasi ya utendaji wake. Dkt Samia ameeleza hayo leo, Jumatatu Februari…
Kwenye #SheriaUpdates leo tunazungumzia muda halali wa talaka kutolewa baada ya kufunga ndoa.
Katika hatua inayolenga kuhakikisha miradi mikubwa inafanikiwa, huku sekta binafsi ikipata usaidizi wa kiufundi na kifedha, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeshauriwa kufungua milango ya uwekezaji katika mafunzo, teknolojia, na mitaji…