Naibu Waziri wa Maji Mhe
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), amesema serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 9.167 kulipa fidia kwa wananchi wa eneo la Mindu, Manispaa ya Morogoro, waliopisha ujenzi…
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb), amesema serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 9.167 kulipa fidia kwa wananchi wa eneo la Mindu, Manispaa ya Morogoro, waliopisha ujenzi…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeawaahidi wakazi wa mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi wilayani Ubungo kupata huduma ya uhakika wa maji safi kuanzia…
Takribani watu 200 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia mashambulio ya watu wenye silaha katika maeneo ya kati na kaskazini mwa nchi ya Nigeria. Shambulio kubwa zaidi limeripotiwa kutokea katika Jimbo la…
Shirikisho la Vyama vya Mahujaji Tanzania (TAHAFE) limelalamikia idadi ndogo ya Waislamu waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili ya ibada ya hija nchini Saudi Arabia. Hadi sasa, mahujaji 1,300 pekee ndio wamejiandikisha,…
Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto Geofrey Malate (11), aliyefariki dunia baada ya kuzama katika Mto…
Wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazao ya chakula waliyofanikiwa kuvuna katika msimu wa kilimo, kufuatia kutokuwepo kwa mvua za uhakika katika maeneo mbalimbali ya…
Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ameweka wazi kuwa ofisi yake haijapokea barua yoyote wala kutoa kibali kwa mbunge yeyote kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).…
Miongoni mwa nyenzo muhimu unazoweza kuzitumia kujiajiri na kukuza biashara yako ni mikopo. Je, unafahamu kwa kina taratibu za kupata mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake…
🌻 INAKUJA HIVI KARIBUNI… 🌻 Kitu safi, cha dhahabu na cha hali ya juu kinakuja sokoni. Mafuta ya Alizeti ya MERRIN FARM ✨ Daraja la Kwanza · Kukamua na Kukamua…
Je, ni nyoka gani anayetajwa kuwa hatari zaidi duniani kwa binadamu? 🐍💀 a. King Cobra b. Kifutu c. Black Mamba 👉 Tupatie jibu sahihi kwenye comment 👇 #AzamTVUpdates ✍John Mbalamwezi
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 5, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Wataalamu wa elimu nchini wameshauri kuzingatiwa kwa stadi zote za msingi za kujifunza lugha hususani kuzungumza na kusikiliza ili kuongeza na kuimarisha ufaulu wa wanafunzi katika masomo hayo. Taarifa ifuatayo…
Sanaa na ubunifu inaendelea kukua nchini huku ubunifu wa mavazi kwa kutumia vitu vilivyotupwa ukianza kushika asi. Mwenzetu Esterbella Malisa amewatembelea wasanii na wabunifu wa mavazi yatokanayo na maboksi na…
Serikali imeagiza Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva na makondakta wa daladala watakaobainika kuwanyanyasa wanafunzi huku wazazi na walezi wakipongeza hatua hiyo. Tumie…
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kimeweka mkazo mkubwa katika suala la elimu na uwajibikaji wa viongozi kama nguzo kuu za maendeleo ya jamii, wakati wa maadhimisho…
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa…
Taasisi za fedha nchini zimehimizwa kufanya uwekezaji kwa wajasiriamali na wabunifu wa bicha za kidijitali ambao wamejikita katika biashara ya nishati safi ya kupikia ili kuchangia katika ufikiwaji wa ajenda…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameungana na mamia ya wakazi wa Tabora katika maziko ya aliyekuwa Mbunge mstaafu wa Viti Maalumu mkoani kupitia…
Wakala wa Huduma za Misitu Shamba la Miti Geita - Lwamgasa wameteketeza shamba lililolimwa bangi kwa kuchanganywa na mahindi.�Uteketezaji huo umefanywa kwa ushirikiano na Kamati ya ulinzi na Usalama wilaya…
#LIVE:TARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 04/2/2026
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Geita imefyeka ekari tatu za bangi zilizokuwa zimepandwa kwa siri ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Geita-Lwamgasa. Watu wasiofahamika walivamia hifadhi…
#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakazi wa eneo la Neema kuingia katika barabara kuu inayounganisha…
Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari la kubebea wagonjwa la Hospitali ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Gari hiyo…
Serikali imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sekta ya ardhi na kuhakikisha inatoa hati kwa wananchi kwa wakati ili kuepukana na migogoro ya ardhi. Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la…
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Matibabu ya Mionzi Tanzania (RAOTA), Dkt. Fredrick Ludovick amesema miongoni mwa njia rahisi za kupambana na saratani ni pamoja na uchunguzi wa awali. Amewashauri…
Mkurugenzi wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo amesema idadi ya wagonjwa wa saratani wanaotibiwa katika hospitali hiyo inaendelea kuongezeka, na kuwataka wananchi kujenga utamaduni wa kufanya uchunguzi wa…
Serikali imejipanga kuhakikisha wakulima nchini wanaondokana na kilimo cha mkono kupitia mpango wa kugawa matrekta 10,000 katika halmashauri zote nchini, ambayo utawawezesha wakulima kuyakodi kwa gharama nafuu. Mhariri | John…
Watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia petroli wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei kwa mwezi Februari, huku kwa watumiaji wa dizeli na mafuta ya taa hali ikiwa tofauti. Hali…
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Hamisa Kalombola ameliagiza Baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kufanya majadiliano ya kina kuhusu Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027, akisisitiza kuwa…
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kugawa vifaa vya kielimu na saidizi vya kidigital kwa walimu wenye ulemavu kutoka shule za awali, msingi na sekondari. Mhariri | John…
Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kimewataka vijana kuchangamkia mikopo inayotolewa na Serikali kwa ajili ya kuwawezesha kupata mitaji. Mwenyekiti wa TAMISA, Peter Kumalilwa amesena katika…
Ni kiungo gani katika mwili wa binadamu ambacho hakipati saratani? A. Moyo ❤️ B. Koo 🗣️ C. Mapafu 🌬️ Chagua jibu sahihi na utuandikie kwenye coment #AzamTVUpdates
Katika jitihada za kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kuwa salama, Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu imewawezesha wananchi wa Kijiji cha Msonge, mkoani Morogoro, kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki.…
Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua tahadhari za kiafya kwa kujikinga wakati wa kutoa huduma…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Riziki Shemdoe amekutana na uongozi wa NMB Bank kujadili maboresho ya mchakato wa utoaji…
Saratani si hukumu ya mwisho…ni mapambano yanayohitaji sauti zetu zote, hatua zetu zote na imani kwamba kwa pamoja, tunaweza kubadili simulizi ya hofu kuwa ya matumaini kwa kuimarisha dhamira ya…
NBC Premier League leo Jumatano Saa 10:00 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa nyumbani Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Namungo FC. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 4, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Kabongo Mkiramweni ambaye siku za karibuni alipewa usafiri na jeshi ilo kufuatia kupata ulemavu wa kudumu akiwa kazini kutokana na kupata…
Matumizi ya zana duni za kilimo imetajwa kuwa miongoni sababu zinazowaweka mbali vijana kujihusisha na kilimo katika mataifa mengi ya Afrika ikiwemo Tanzania. Hayo yamebainishwa katika Mkutano wa Kikanda wa…
Wafanyabiashara wa soko la Mkuyuni lililopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamelalamikia ugumu wa biashara katika soko hilo kufuatia kufungwa kwa barabara ya Mwanza - Shinyanga kwa zaidi ya mwaka…
TEKNOLOJIA YA MZURI PRO TIL YAPEWA NAFASI KUBWA KWENYE KILIMO HIFADHI Kupitia kongamano la Kilimo endelevu linalofanyika Februari 3 hadi 6 jijini Dar es salaam teknolojia za Kilimo hifadhi kama…
KICKSTART WAELEZA TEKNOLOJIA RAHISI YA UMWAGILIAJI KUSAIDIA WAKULIMA Wadau mbalimbali wa Kilimo wametumia kongamano la kilimo Endelevu linalofanyika mara ya kwanza barani Afrika kueleza teknolojia rahisi ambazo ni muhimu kwaajili…
AGRICOM WAJIPANGA KUFANYA KAZI NA WAKULIMA KUBORESHA KILIMO ENDELEVU Kongamano kubwa la kilimo Endelevu limeanza leo jijini Dar es salaam na wadau wa Kilimo wanatumia Fursa hiyo kueleza namna wamejipanga…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amekutana na Naibu Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Doto Biteko. Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu Nchemba bungeni jijini Dodoma leo Jumanne…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 03/02/2026
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeidhinisha rasmi zoezi la kuteketezwa kwa nyaraka zilizotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025 baada ya kukamilika kwa muda wa siku 90…
Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, wanasiasa na wananchi wa kawaida wamejitokeza katika maziko ya aliyewahi kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (M-NEC)…
#HABARI: Maafisa wa kitengo cha kukabiliana na Ugaidi nchini Kenya wamemwasilisha Mahakamani raia mmoja wa kutoka Uturuki kwa tuhuma za kufadhili ugaidi nchini Kenya. Hata hivyo Mahakama ikimwachia mshukiwa huyo…
Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila imesema imeandaa kambi maalumu ya kutengeneza na kurekebisha mishipa ya kuchuja damu (Arterio-Venous Fistula Creation) ili kuwasaidia wagonjwa wa figo nchini. Kambi hiyo inayotarajiwa…