🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’?
🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’? A. 4 B. 7 C. 14 ✍Chagua Jibu Sahihi! #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
🧠 Kisanyansi… binadamu anaweza kukaa siku ngapi bila ‘kwenda haja’? A. 4 B. 7 C. 14 ✍Chagua Jibu Sahihi! #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Serikali imedhamiria kuimarisha huduma za tiba utalii ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha na kuimarisha sekta ya afya nchini kwa kushirikisha sekta binafsi. Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa…
Usingizi bora hauji kwa bahati nasibu, bali ni matokeo ya nidhamu na maandalizi sahihi ya mwili na akili. Watu wengi hujaribu kulala wakiwa bado wamechochewa na mwanga wa simu, mawazo…
Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza mikopo ya halmashauri kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu, kutoka asilimia 10 hadi 15, utakapoanza mwaka ujao wa fedha 2026/27.…
Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025. Uamuzi huo unafuatia maombi ya zuio yaliyowasilishwa mahamani hapo na wagombea 17 wa Chama ACT Wazalendo.…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango. Aidha, Rais Samia amemteua Dkt Fred…
Aliyekuwa Msaidizi wa Karibu wa Rais, Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara. Waziiri ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi alikuwa msaidizi wa…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewasilisha ujumbe maalum kwa Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, jijini Geneva, Uswisi, ikiwa ni hatua ya Tanzania kuendeleza…
Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka pembeni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatuma Mwassa na kumteua Kanali Yahaya Ramadhani Kido kushika nafasi hiyo. Uteuzi huo umetangazwa usiku huu kupitia taarifa ya…
Mradi wa 'Mabasi Yaendayo Haraka' mkoani Dar es Salaam umeendelea kuwa sehemu ya mataifa mbalimbali kujifunza namna bora ya uendeshaji wake. Hii leo viongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Kwa wasafiri wengi wanaopita Singida kwenda mikoa mbalimbali wamekuwa wakisalia na simulizi moja inayofanana na kuhamasisha 'Utamu wa Kuku wa Singida'. Hivi umewahi kujiuliza ni kwa nini simulizi hiyo imeendelea…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 06/2/2026
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI 06 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imewataka wadau na wafanyabiashara kutoka taasisi mbalimbali kuweka kipaumbele katika kukuza na kutangaza bidhaa zinazotengenezwa nchini, ili kuimarisha uchumi na kuinua viwanda…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mheshimiwa Ado Shaibu Ado amesema kwamba Tanzania inapaswa kurejesha utamaduni wa siasa safi ambapo wanasiasa wa itikadi tofauti wanaweza kupingana bila kuumizana na kukosoana bila…
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa njombe kwa Tiketi ya CCM Rebecca Sanga Nsemwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge Sports Club. Rebeca amepata kura 158 dhidi ya mshindani wake Mh.Abbas…
Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kushirikiana na Zimbabwe na Chuo Kikuu cha Uingereza (OXFORD) wamezindua mradi wa utafiti wa kupunguza ajali za barabarani kwa watoto…
Baraza la Mazingira nchini (NEMC) limesema linaendelea kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa ajili ya upangaji mzuri wa na utambuzi wa maeneo kwa lengo la kutunza…
Mkuu wa wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuph amevitaka vikundi 24 vilivyopokea mikopo ya asilimia 10 kutoka halmashauri kutumia fedha za mkopo katika kujikwamua biashara zao na shughuli za ujasiriamali sambamba…
Kampuni 408 za Tanzania zimepata usajili wa mamlaka kuu ya forodha ya Jamhuri ya Watu wa China na kuruhusiwa kusafirisha mazao ya kilimo kwenda nchini humo, ikiwa ni sehemu ya…
Wakulima wengi nchini Tanzania wanakabiliana na changamoto ya kutumia teknolojia ya kisasa katika kilimo, jambo linalosababisha uzalishaji mdogo na kupoteza fursa za kibiashara. Mkurugenzi wa TUKUTECH Company anasema changamoto hii…
Mtaalamu wa kilimo kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Kilimo (SUA), Dkt. Richard Madege, amesema teknolojia ya kisasa haiwezi kuepukika kwa wale wanaotaka kilimo kuwa biashara, kwani hurahisisha shughuli za…
Jamii imehimizwa kuendelea kupinga vikali ukatili wa kijinsia ambao bado umeendelea kusababisha matokeo hasi katika jamii na kutatiza ndoto za wengi kutokana na athari za matukio hayo. Wito huo umetolewa…
Wawakilishi wa Marekani hii leo wanatarajiwa kufanya mazungumzo na wenzao wa Iran jijini Muscat, nchini Oman kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
Wananchi wanaosumbuliwa na ugonjwa wa mabusha mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kwenye kambi ya upasuaji wa mabusha inayotarajiwa kutolewa na madaktari bingwa kuanzia Februari 9 - 25 mwaka huu katika Hospitali…
Serikali imekiri uwepo wa masharti magumu ya benki zinazotumika kutoa mikopo ya asilimia kumi na kufanya kuwa miongoni mwa sababu zinazokwamisha vikundi kupata huduma hiyo, jambo ambalo bado linaendelea kuzua…
Mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ibrahim Rahbi amedai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amejikuta akiingia kwenye migogoro na washirika wake wa kisiasa kutokana na kwenda kinyume na sera ya…
Maafisa na askari wa Jeshi la Polisi Tanzania waliomaliza muda wao wa kuhudumu katika operesheni ya kulinda amani nchini Sudan Kusini wamevishwa nishani katika gwaride maalum, ikiwa ni kutambua mchango…
Huyu ni Abdulkarim Mahadhi, kijana aliyebuni mashine ya mazoezi isiyotumia umeme. Amesema ubunifu wake wa kutengeneza mashine hiyo umetokana na changamoto alizoziona katika matumizi ya mashine za kisasa, hususan gharama…
Rais wa Jamuhuri ya Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili nchini kwa ziara ya siku moja ya kikazi. Rais Museveni atawasili keaho Jumamosi Januari 7,2026 na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake,…
Mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #CAFCL #AzamTVSports
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 6, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
BENKI YA USHIRIKA TANZANIA COOP KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA ZANA ZA KILIMO SHAMBANI Kupitia kongamano la kwanza la kimataifa linaloangazia matumizi ya teknolojia endelevu ya zana za kilimo, Benki ya ushirika…
IITA YADHAMIRIA KUWA UNGANISHA WAKULIMA WENGI ZAIDI NA TAASISI ZA MIKOPO Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo cha Kitropiki (IITA) Inaonesha nia yake ya kuwa unganisha wakulima wengi zaidi na Taasisi…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe. Joel Nanauka, hundi ya Sh200 bilioni ambazo ni ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewataka wananchi kuendelea kulinda amani na kufanya shughuli za maendeleo bila kuangalia tofauti ya vyama vyao. Akizungumza kwenye sherehe za…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mafuriko, maporomoko ya ardhi, uharibifu wa miundombinu na mazingira, milipuko ya magonjwa pamoja na upotevu wa mali na maisha katika…
Tanzania imeingia katika nchini zenye ushawishi mkubwa wa rasilimali za madini ya kimkakati na adimu duniani ikishika nafasi ya nne kwa wingi wa madini hayo ardhini na ya ikishika nafasi…
Wadau wa utalii visiwani Zanzibar wameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serkali ya Oman kukamilisha ujenzi wa nyumba ya "Baitul Ajaib" ambayo ni kielelezo cha utawala wa kale na sehemu…
#HABARI: Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) kwa namna ya kipekee kupitia Shindano la Royal Love Challenge. Katika shindano hilo, wapendanao wanatakiwa kupakia picha zao kwenye…
#HABARI: Baraza Kuu la Waislamu wa Kenya limeonya kwamba hali ya ukame inayoshudiwa kwa sasa katika Kaunti 23 nchini Kenya imefikia hali mbaya huku likiitaja kama dharura kamili ya kibinadamu,…
TAARIFA YAHABARI SAA MBILI FEBRUARI05 2026 SPIKA WA BUNGE AKANUSHA BAADHI YA WABUNGE KUITWA TAKURURU (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBLI USIKU - 05/02/2026
#HABARI: Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulidi, amewataka wananchi kupuuza chokochoko za watu wanaoishi nje ya nchi wanaolenga kuvuruga amani na utulivu uliopo nchini. Akizungumza katika…
Katibu wa Kamati ya Uhusiano na Uenezi wa Shirikisho la Wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA), Mess Chengula, amesema mpango wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wa kuuza sehemu ya akiba…
Klabu ya Simba imetoa onyo kali kwa watu waliotumia nembo za wadhamini wake bila ruhusa katika mkutano binafsi ambao haukutambuliwa rasmi na klabu. Uongozi wa Simba umeeleza kusikitishwa na hatua…
Wajuzi wa masuala ya maendeleo binafsi wanashauri kuwa ili kufanikisha malengo yako, ni muhimu kuwa na watu watakaokusaidia kusonga mbele katika maisha. Vijana wengi wanaita hilo “connection,” yaani mtandao wa…
Watu wanaodaiwa kuwa majambazi wamemjeruhi kwa kumpiga risasi mkazi wa Sogea mjini Tunduma, wilayani Momba, Yengo Mwapina, na kumpora kiasi cha Shilingi milioni 54 akiwa njiani kutokea benki. Kwa mujibu…