Frank Gogadi, mhitimu chuo kikuu amesema hajawahi kujipangia mshahara ambao atalipwa atakapoajiriwa baada ya kumaliza chuo
Frank Gogadi, mhitimu chuo kikuu amesema hajawahi kujipangia mshahara ambao atalipwa atakapoajiriwa baada ya kumaliza chuo. #sentroCloudstv #Clouds26Nyoosha
“Mtaa ni mgumu kama usipojituma usipokuwa na nidhamu na kuwa na maarifa ya kuweza kuchanganua ili kuweza kujikomboa kiuchumi baa…
"Mtaa ni mgumu kama usipojituma usipokuwa na nidhamu na kuwa na maarifa ya kuweza kuchanganua ili kuweza kujikomboa kiuchumi baada ya kumaliza chuo"-Frank Gogadi, Mhitimu chuo kikuu #SentroYaCloudstv
“Pale chuoni kwetu CBE tulikuwa tunafundishwa mambo ya entrepreneurship kutokana na uhalisia wa chuo chenyewe kinafundisha biash…
"Pale chuoni kwetu CBE tulikuwa tunafundishwa mambo ya entrepreneurship kutokana na uhalisia wa chuo chenyewe kinafundisha biashara, mbali na Kanda yetu ya TEHAMA pia tulikuwa tunafundishwa entrepreneurship ili tujiajiri kwa…
Hashmet anajifanya hasikii sauti ya Aziza 😅
Hashmet anajifanya hasikii sauti ya Aziza 😅
Huyu ndio Baba yake Mussa au kwa jina jingine Shaiza ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye misheni ngumu ya kusaka baadhi ya nyaraka…
Huyu ndio Baba yake Mussa au kwa jina jingine Shaiza ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye misheni ngumu ya kusaka baadhi ya nyaraka na kazi nyingine ya kujilinda asijulikane kwenye mpango…
Kuna jambo la kujifunza kwa hawa wawili, hadi sasa umejifunza nini?
Kuna jambo la kujifunza kwa hawa wawili, hadi sasa umejifunza nini? 👀
Ni kitu gani ambacho watu wanadhani unacho lakini huna!
Ni kitu gani ambacho watu wanadhani unacho lakini huna! Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 Hosted by @missloloh_ @djfantastic255 #TheSparkShow
Jitihada za kumuondoa Bisura kwenye kasri la Mzee Maega zinagonga mwamba…Ameweka wazi tena kwa macho makavu…Hatoki mtu hadi …
Jitihada za kumuondoa Bisura kwenye kasri la Mzee Maega zinagonga mwamba...Ameweka wazi tena kwa macho makavu...Hatoki mtu hadi kieleweke. Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa…
Katikati ya Jiji la Dar es salaam linapatikana Soko la Kisutu lenye Uwezo wa kubeba Wafanyabiashara zaidi ya 1500, kuelekea msim…
Katikati ya Jiji la Dar es salaam linapatikana Soko la Kisutu lenye Uwezo wa kubeba Wafanyabiashara zaidi ya 1500, kuelekea msimu huu wa Sikukuu hali ya Biashara Usiku katika Soko…
Jaafari Moshi, Mwanakikoba akielezea tatizo la wanandoa ambao hawaambiani ukweli wanapojiunga kwenye vikoba
Jaafari Moshi, Mwanakikoba akielezea tatizo la wanandoa ambao hawaambiani ukweli wanapojiunga kwenye vikoba. #clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
#PichaYangSeries Kutana na MBOTE: Kigogo wa Shirika la Kijasusi la AIA lililomuajiri Mussa kwenye kasri la Mzee Maega
#PichaYangSeries Kutana na MBOTE: Kigogo wa Shirika la Kijasusi la AIA lililomuajiri Mussa kwenye kasri la Mzee Maega. Ukiachana na kuwa muajiriwa wa serikali, Mbote ana mkataba pembeni na Bisura…
Baada ya shangwe za kuhitimu na picha za joho, maisha halisi huanza
Baada ya shangwe za kuhitimu na picha za joho, maisha halisi huanza. Joho la Mtaa ni mjadala unaochambua safari ya wahitimu wa vyuo vikuu wanapokutana na uhalisia wa maisha nje…
Kobisi atakiwa kuigiza kama mume wa Shida kwa mara ya mwisho ili waokote kwenye shughuli 😎
Kobisi atakiwa kuigiza kama mume wa Shida kwa mara ya mwisho ili waokote kwenye shughuli 😎 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
“Kwa sababu Mimi kama mama nitakwenda kukopa Kausha damu na kila siku lazima urejeshe kitu
"Kwa sababu Mimi kama mama nitakwenda kukopa Kausha damu na kila siku lazima urejeshe kitu. Haijalishi unazalisha au la. Lazima inaathiri familia nzima. Sisi kama vikoba nawashauri sana tuepukane sana…
Bado siku tatu kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza
Bado siku tatu kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho wawasili Abasia ya Mtakatifu Benedikto Peramiho, misa ya kumuombea yafanyika
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho wawasili Abasia ya Mtakatifu Benedikto Peramiho, misa ya kumuombea yafanyika Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama, umewasili katika Kanisa…
“Kwenye vikoba vyetu tuna Idara ya miradi
"Kwenye vikoba vyetu tuna Idara ya miradi. Kwa mwanachama yoyote ambaye anataka kuanzisha mradi wowote aliyekuwa na elimu na huo mradi anaiona Idara ya miradi ili wamsaidie lile wazo la…
“Kwenye Kikoba, sisi wanawake tunakusanyana pamoja na kupeana elimu ya uwekezaji mdogo wa kuwekeza pesa yetu kidogo kidogo ili b…
"Kwenye Kikoba, sisi wanawake tunakusanyana pamoja na kupeana elimu ya uwekezaji mdogo wa kuwekeza pesa yetu kidogo kidogo ili baadae tujikwamue kiuchumi sisi na jamii zetu na familia zetu. Kwa…
“Kila wiki siku ya Jumatano tunakutana Kikoba kwahiyo kila mwanamke lazima ajifunze kuweka akiba, asipoweka akiba anapigwa faini
"Kila wiki siku ya Jumatano tunakutana Kikoba kwahiyo kila mwanamke lazima ajifunze kuweka akiba, asipoweka akiba anapigwa faini. Kwa hiyo lazima ajishungulishe, auze mboga mboga, matunda, maji au afanye shughuli…
“Mikopo ya Kausha damu inaua wanawake na wanaume pia
"Mikopo ya Kausha damu inaua wanawake na wanaume pia. Kwa sababu Mimi kama mama nitakwenda kukopa Kausha damu na kila siku lazima urejeshe kitu. Haijalishi unazalisha au la. Lazima inaathiri…
Orhan atangaza ndoa kwa binti Tekfur
Orhan atangaza ndoa kwa binti Tekfur. Hehehe mambo yananoga. Wasaliti wameitenda familia ya Osman Bey 🥹 Usikose OTTOMAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Bado Maryam anaendelea na uamuzi wake wa kuwa mkweli na kuhakikisha anasema kila kitu
Bado Maryam anaendelea na uamuzi wake wa kuwa mkweli na kuhakikisha anasema kila kitu. Leo amewaambia Razan na mwenzake kuwa sio ndugu yao wa damu. Usikose kutazama UMMY leo saa…
Unadhani nini kifanyike?
Unadhani nini kifanyike? #LiveonClouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
Usipange kukosa uhondo wa JUANA leo saa 1:00 usiku
Usipange kukosa uhondo wa JUANA leo saa 1:00 usiku. Unadhani Camila ataondoka nyumbani kwa Gaby? Tukutane #AzamONE
Bisura anajaribu kuweka sawa na watoto wake
Bisura anajaribu kuweka sawa na watoto wake. Sheiza ampeleka Shakei kwa kina Hamida 😅 Baba Mussa amuwakia James bila shaka ni kuhusu mtoto wake kutojulikana yupo wapi. Usikose kutazama #PichaYanguSeries…
Hashmet yamemkuta huku 😅😅 Aziza ameshuhudia upande wake mweusi
Hashmet yamemkuta huku 😅😅 Aziza ameshuhudia upande wake mweusi. Ohoo Zeliha ameiona bangili ya marehemu mama yao ikiwa kwenye vito vya bibi yake Yusuf. Usikose kutazama 6 of Us leo…
Aziza amepata kazi lakini ni kama anazongwa na ugonjwa asioufahamu 🥹
Aziza amepata kazi lakini ni kama anazongwa na ugonjwa asioufahamu 🥹
Dah eti Bonge la Dada wa #Mbosso ndio shoga yake Mwana 😅😆
Dah eti Bonge la Dada wa #Mbosso ndio shoga yake Mwana 😅😆 #NomaSeries
Chama cha Waigizaji wa Filamu Mkoa wa Iringa (TDFAA) kimetoa tuzo ya heshima kwa kampuni ya Azam Media Limited kupitia chaneli y…
Chama cha Waigizaji wa Filamu Mkoa wa Iringa (TDFAA) kimetoa tuzo ya heshima kwa kampuni ya Azam Media Limited kupitia chaneli ya Sinema Zetu HD, ikiwa ni kutambua mchango wa…
Shughuli imewachanga wana Kikala nyumba haikaliki 😅
Shughuli imewachanga wana Kikala nyumba haikaliki 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Tunaendelea tulipoishia 😅🙌 #NomaSeries
Tunaendelea tulipoishia 😅🙌 #NomaSeries
Leo saa 4:00 usiku katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO ni kitu cha Bade Mivan Chote Mivan
Leo saa 4:00 usiku katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO ni kitu cha Bade Mivan Chote Mivan. Mzigo huu umetafsiriwa kwa Kiswahili.. Mpenzi wa movie za kihindi hii si ya…
Shughuli ya Shida Masamba kwenye ubora wake
Shughuli ya Shida Masamba kwenye ubora wake... #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Bado siku nne kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza
Bado siku nne kufika Desemba 18, siku ambayo tamthilia ya Mrs Garcia itaanza. #MrsGarcia #AzamONE
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho Mhe
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Mhagama umewasili Mjini Songea mkoani Ruvuma, wananchi wamejitokeza kumpokea. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama, umewasili mkoani…
Ohooo Mashavu ndoa haina hata usiku mmoja…Kobisi nini hiki jamani?
Ohooo Mashavu ndoa haina hata usiku mmoja...Kobisi nini hiki jamani? Mambo ni mengi leo kwenye #KombolelaSeries usikose kuanzia saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Mzee mzima Nawanda ameulizwa kikao kiliendaje na shemeji yake Wendy, kachagua kukaa kimya 🙌
Mzee mzima Nawanda ameulizwa kikao kiliendaje na shemeji yake Wendy, kachagua kukaa kimya 🙌 #NomaSeries
Kwanini unakunywa dawa chumbani kwa mama
Kwanini unakunywa dawa chumbani kwa mama Swali ameulizwa Adam sijui atajibuje? Haya Side kakutana na Zuuh bonge la dada, shoga yake Mwana 😅 Usipange kukosa uhondo wote saa 1:00 usiku…
Jevdet amkingia kifua Jemo wakati akiomba kazi
Jevdet amkingia kifua Jemo wakati akiomba kazi. Vijana wa Yavuz bado wako mtaani kuwasaka kina Aziza. Usikose kutazama 6 of Us leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Maryam ameamua kuwa mkweli tu
Maryam ameamua kuwa mkweli tu. Siham amepata kazi Riyadh lakini mtihani ni mkubwa. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO pekee.
Huko kwa Shida Masamba bado kunawaka, ni burudani tu…Eeeeh Bi harusi mbona mapema hivyo…Mtu mzima Kobisi hata punje ya aibu …
Huko kwa Shida Masamba bado kunawaka, ni burudani tu...Eeeeh Bi harusi mbona mapema hivyo...Mtu mzima Kobisi hata punje ya aibu hana...😳 Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya…
Kwanini Jevdet amejitenga na ndugu zake?
Kwanini Jevdet amejitenga na ndugu zake? Kwanini yuko tofuati na wenzake? Kwanini majirani wanampenda zaidi kuliko kina Hashmet na Nejra wala mama yao?
Mawazo amfanyia unyama Yasinta 🥹
Mawazo amfanyia unyama Yasinta 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Chichi sio wa kinyonge amezama kwenye usiku wa talaka ngija ngija aliofanyiwa na Mwana 😅
Chichi sio wa kinyonge amezama kwenye usiku wa talaka ngija ngija aliofanyiwa na Mwana 😅 #NomaSeries
Aaaah leo Madina ni wa kumkimbia Degwa
Aaaah leo Madina ni wa kumkimbia Degwa 😆 Acha aombe msaada wa mimoshi #KombolelaSeries #KombolelaSeason2