Afrika Kusini yawafukuza Wakenya wanaofanya kazi bila vibali
Serikali ya Afrika Kusini imewakamata na kuwafukuza raia saba wa Kenya wanaotuhumiwa kufanya kazi nchini humo kinyume na sheria, bila ya kuwa na nyaraka sahihi.
Serikali ya Afrika Kusini imewakamata na kuwafukuza raia saba wa Kenya wanaotuhumiwa kufanya kazi nchini humo kinyume na sheria, bila ya kuwa na nyaraka sahihi.
Wakenya wengi wanakabiliwa na changamoto za usafiri msimu huu wa sikukuu ya Krismasi, huku magari yakiwa machache na wasafiri wakiwa wengi kwenye vituo vya usafiri.
Kenya, Uganda, Ethiopia na Sudan Kusini zimeunda baraza la viongozi kushughulikia migogoro ya mipakani na wizi wa mifugo miongoni mwa jamii ya Ateker, ili kuimarisha amani na ushirikiano katika eneo…
Wanasiasa wa Ujerumani wameikosoa Urusi baada ya kulipiga marufuku shirika la utangazaji la umma la Deutsche Welle. Wizara ya Sheria ya Urusi imeiongeza rasmi DW kwenye orodha ya mashirika yasiyotakiwa…
Polisi wa Australia wamemfungulia mashtaka mshukiwa wa shambulio la Bondi Beach, Sydney, yakihusisha mauaji ya watu 15, kufanya ugaidi na majaribio 40 ya mauaji, wakati wa sherehe za Hanukkah.
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen, amesema Ulaya inapaswa kuwajibika yenyewe katika masuala yake ya usalama.
Marekani imetangaza masharti makali zaidi ya kuingia nchi hiyo na kuongeza orodha ya mataifa ambayo raia wake wamepigwa marufuku kuingia nchi hiyo.
Mwanaume anayetuhumiwa kufanya mashambulizi katika ufukwe wa Bondi mjini Sydney, Australia ameshtakiwa kwa makosa 59 yakiwemo mashtaka 15 ya mauaji.
Katibu mtendaji wa chama cha PPRD cha rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, Emmanuel Ramazani Shadary amekamatwa jijini Kinshasa.
Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza orodha ya marufuku ya kusafiri na kuzuia watu kutoka nchi saba zaidi, ikiwemo Syria, pamoja na wamiliki wa pasi za kusafiria za Mamlaka ya…
Maafisa wa Afrika Kusini wamewakamata raia saba wa Kenya wanaotuhumiwa kufanya kazi bila kuwa na nyaraka sahihi za ajira.
Baada ya mikutano mbalimbali kati, wajumbe wa Marekani na Ukraine wanatarajiwa kukutana tena mwishoni mwa wiki ijayo kabla ya mapendekezo hayo kuwasilishwa Moscow.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imelikataa tangazo la waasi wa M23 kwamba wanajiondoa kwenye mji wa Uvira ulioko Kivu Kusini.
Ousmane Dembélé na Aitana Bonmatí wametajwa kuwa wachezaji bora wa dunia wa mwaka 2025 katika tuzo za FIFA zilizotolewa Jumanne mjini Doha, Qatar.
Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ametowa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha vita nchini Ukraine wakati huu Marekani ikiendelea na juhudi za kidiplomasia kuhusu mzozo huo uliodumu kwa miaka…
Imefahamika kuwa kujiondowa kwa kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka mji muhimu wa Uvira kumetokana na agizo la Washington.
Venezuela imetuma malalamiko yake rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kile inachokiita "wizi" wa Marekani iliyoiteka meli yake ya mafuta kwenye Bahari ya Karibiani wiki…
Baraza la Ulaya, shirika linaloongoza kwa masuala ya haki za binaadamu barani humu, limepiga hatua muhimu kuelekea ulipaji wa fidia za kivita kwa watu wa Ukraine.
Mahakama ya Uhalifu wa Kiuchumi na Ugaidi nchini Benin imewashitaki watu wapatao 30, wengi wao wakiwa wanajeshi, kwa jaribio la mapinduzi lililoshindwa mapema mwezi juu.
Licha ya kumalizika kwa mkutano wa pande tatu baina ya Ukraine, Marekani na Ulaya mjini Berlin juu ya uwezekano wa mkataba wa kumaliza vita vya miaka minne vya Urusi, bado…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Polisi wa Australia wamemfungulia mashtaka mshukiwa wa shambulio la Bondi Beach, Sydney, yakihusisha mauaji ya watu 15 / Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo…
Jitihada za Ulaya kuisadia Ukraine katika kuikabili Urusi zimeshika kasi, baraza la Ulaya linasisitiza kwamba Urusi inapaswa kubeba mzigo wa gharama ya uharibifu uliofanyika nchini Ukraine kufuatia uchokozi wake.
Ikulu ya Kremlin imethibitisha tena msimamo wake wa kukataa usitishaji wa vita nchini Ukraine baada ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz kumtaka Rais wa Urusi Vladimir Putin kusitisha mapigano wakati…
Benin imewatupa korokoroni takriban watu 30, wengi wao wanajeshi, wanaotuhumiwa kuhusika na jaribio la mapinduzi lililotibuka mwezi huu.
Kiongozi wa Kijeshi nchini Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, yuko tayari kufanya kazi na Rais wa Marekani Donald Trump kutatua mzozo unaoigawanya nchi yake. Haya yamesemwa leo na wizara ya…
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa WFP limesema leo kuwa kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miongo kadhaa linashindwa kutoa msaada kwa mamilioni ya Waafghani wanaokabiliwa…
Aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Roger Lumbala amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya ukatili aliofanya miongo miwili iliyopita wakati wa Vita vya…
Mahakama ya Paris inayohusika na masuala ya ajira imeamua kwamba Paris Saint-Germain lazima imlipe Kylian Mbappé zaidi ya euro milioni 60 (dola milioni 70).
Majonzi na simanzi vimetawala mkoani Kwilu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya watu 30 kupoteza maisha kwenye mkasa wa kuzama kwa boti ndani ya Mto Kwango mwishoni mwa…
Maafisa wa Ufilipino wamethibitisha kuwa washukiwa wawili wa shambulizi lililofanywa kwenye Ufukwe wa Bondi nchini Australia waliingia nchini humo mwezi mmoja kabla ya shambulizi hilo na walikaa huko mwezi wa…
Jeshi la Marekani lilishambulia vyombo vitatu vya majini katika Bahari ya Pasifiki ya mashariki, likidai kuwa vilikuwa boti za dawa za kulevya. Inaripotiwa kuwa wanaume wanane wamefariki katika tukio hilo.
Kesi dhidi ya Farhad N., mwanaume wa Afghanistan mwenye umri wa miaka 25 anayetuhumiwa kuvurumisha gari kwenye umati wa watu mjini Munich mwezi Februari, imeanza katika Mahakama Kuu ya Kikanda…
Kundi la waasi la M23 limetangaza leo kuwa limekubali ombi la Marekani la kujiondoa kutoka mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Ryabkov amesema nchi yake bado haina ufahamu kuhusu makubaliano yaliyofikiwa na Marekani, Ukraine na Umoja wa Ulaya mjini Berlin.
Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha ya waangalizi wa kimataifa wa migogoro ya kibinadamu iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Misaada ya Kiutu la International Rescue Committee (IRC).
Bunge la Zambia limepitisha jana kwa wingi wa kura mswaada wa kurekebisha vifungu vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambavyo upinzani unadai vitamsaidia Rais Hakainde Hichilema katika uchaguzi wa mwaka ujao.
Thailand imesema leo kuwa Cambodia lazima iwe ya kwanza kutangaza kusitisha mapigano kati ya mataifa hayo mawili baada ya zaidi ya wiki moja ya mapigano makali katika mzozo uliozuka upya…
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira kwa masharti kwamba mji huo utabaki bila askari na utalindwa na kikosi kisichoegemea…
Upinzani walalamikia hatua ya bunge kupitisha muswaada wa kubadili vipengee 13 vya katiba kumpendelea rais Hichilema katika uchaguzi wa rais mwaka ujao
Faharasa ya Shirika la kimataifa la uokoaji - International Rescue Committee (IRC), kwa mara nyingine limeitaja Sudan kuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa yaliyo na mizozo mibaya zaidi ya kibinadamu…
Marekani imekubali kuipatia Ukraine hakikisho la usalama kama sehemu ya mpango wa kukomesha vita vya takribani miaka minne vya Urusi dhidi yake.
Jimmy Lai, bilionea aliyekuwa akimiliki yombo vya habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa China, ametiwa hatiani kwenye kesi ya aina yake kuhusiana na usalama wa taifa, hukumu ambayo inampeleka…
Rais Donald Trump wa Marekani amefunguwa kesi mahakamani akidai fidia ya dola bilioni 10 kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, akilituhumu kumchafulia jina.
Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau, Umar Sissoco Embalo, ametiwa nguvuni nchini Ureno akiwa na fedha taslimu euro milioni tano.
Marekani imeipa Ukraine hakikisho la ulinzi sawa na lile walilonalo wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa NATO, licha ya ukweli kwamba suala la Kiev kusalimisha sehemu ya ardhi zake kwa…
Ikulu ya Kremlin yakataa kusitisha vita nchini Ukraine msimu wa Krismasi // Kiongozi wa jeshi Sudan asema yuko tayari kuzungumza na Trump kufikia amani // Takriban watu 30 wafungwa jela…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira / Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na wajumbe wa rais wa Marekani Donald Trump wameendelea na mazungumzo mjini Berlin Ujerumani yanayolenga kumaliza vita na Urusi.
Wajumbe wa Marekani wamekutana na wenzao wa Ulaya katika mji mkuu wa Ujerumani - Berlin siku ya Jumatatu kuujadili mpango wa amani unaolenga kuvimaliza vita vya Urusi nchini Ukraine.
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.