SK2 / S02S16 Desemba 2025

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira / Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha ya waangalizi wa kimataifa wa migogoro ya kibinadamu iliyotolewa na Shirika la Kimataifa la Misaada ya Kiutu la International Rescue Committee (IRC).

https://p.dw.com/p/55RsH

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *