Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Polisi wa Australia wamemfungulia mashtaka mshukiwa wa shambulio la Bondi Beach, Sydney, yakihusisha mauaji ya watu 15 / Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imelikataa tangazo la waasi wa M23 kwamba wanajiondoa kwenye mji wa Uvira ulioko Kivu Kusini.