Rais Embalo wa Guinea-Bissau apinduliwa na jeshi
Jeshi la Guinea-Bissau limeipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló Jumatano jioni na kutangaza kuchukua madaraka.
Jeshi la Guinea-Bissau limeipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló Jumatano jioni na kutangaza kuchukua madaraka.
Wabunge kadhaa wa chama cha Republican nchini Marekani, wameukosoa vikali mpango wa amani uliopendekezwa na Rais Donald Trump ili kumaliza vita vya Ukraine, wakisema mpango huo unaipendelea Urusi.
Watu 44 wamefariki na wengine zaidi ya 270 haijulikani walipo huko Hong Kong, kufuatia ajali mbaya ya moto iliyotokea kwenye majengo kadhaa ya ghorofa.
Kundi la Hamas limetoa wito kwa nchi wapatanishi katika mzozo huo wa Mashariki ya Kati, kuishinikiza Israel kuruhusu wapiganaji wake waliojificha kwenye mahandaki kusini mwa Gaza kuondoka eneo hilo kwa…
Urusi imesema kuwa majeshi yake yamefanya mashambulizi yaliyolenga miundombinu ya nishati na uchukuzi nchini Ukraine+++Mamlaka ya kupambana na ufisadi nchini Hong Kong imesema imeanzisha uchunguzi kuhusu ukarabati uliokuwa ukiendelea katika…
Jeshi nchini Guinea-Bissau latangaza kuipindua serikali ya rais Embalo. Wabunge wa Republican waukosoa mpango wa amani wa Trump unaolenga kuumaliza mzozo wa Ukraine. Watu 44 wafariki Hong Kong kufuatia ajali…
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
Maafisa kadhaa wa kijeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza Jumatano jioni kuipindua serikali ya rais Umaro Sissoco Embaló na kumtia mbaroni wakati matokeo ya uchaguzi wa rais yakisubiriwa kutangazwa Alhamisi.
Kundi la maafisa wa jeshi nchini Guinea Bissau wamesema wanashikilia Madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Taarifa iliyosomwa kupitia televisheni ya taifa maafisa hao wamesema wamemwondoa mamlakani Rais Embalo.
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amesema bajeti ya jeshi la Urusi inapaswa kudhibitiwa ili kuhakikisha mzozo unaoendelea nchini Ukraine unamalizika.
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameonya kuwa hakutakuwa na utulivu Lebanon kama Israel haitahakikishiwa usalama wake. Katz ameongeza pia kuwa Israel haitoruhusu vitisho dhidi ya wakaazi wake upande…
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ameonya kuwa hakutakuwa na utulivu Lebanon kama Israel haitahakikishiwa usalama wake.
Urusi imepokea vyema marekebisho kwenye vipengele vya mpango wa Marekani wa kukomesha vita vya Ukraine huku jumbe maalum wa Rais Donald Trump akitarajiwa kwenda Moscow kukutana na Rais Vladimir Putin…
Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan, ametoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump kusaidia kuvimaliza vita vinavyoendelea kupamba moto nchini mwake.
Ethiopia imetangaza kuwa wagonjwa 6 kati ya 11 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Marburg wamefariki dunia. Shirika la habari la taifa limesema watu wengine watano wanaendelea na matibabu.
Katika mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika uliofanyika Luanda, Angola, viongozi wa pande zote mbili wamesisitiza mshikamano wa karibu ili kuimarisha ushirikiano wa kimkakati.…
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, EACJ, imetupilia mbali kesi inayopinga mradi mkubwa wa mafuta wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies nchini Uganda na Tanzania.
Makumi kwa maelfu ya watu nchini Thailand na jirani yake Malaysia wameachwa bila makao kutokana na mafuriko makubwa.
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anaanza ziara ya siku tatu nchini Uhispania Jumatano.
Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye kilele cha mkutano wa siku mbili wa viongozi hao uliofanyika mjini Luanda, nchini Angola.
Ripoti ya kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Kongo MONUSCO inaonesha kuna ongezeko la ukiukaji wa haki za binadamu.
Nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika zimesisitiza umuhimu wa kuwa na ushirikiano wa karibu ili kufungua milango ya fursa zaidi kati yao.
Ikulu ya Urusi Kremlin, imethibitisha kuwa mwakilishi wa Marekani Steve Witkoff atakutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin wiki ijayo huku Marekani ikiendeleza juhudi za kupata makubaliano ya kuumaliza mzozo…
Jeshi la Israel limetangaza operesheni mpya lililoitaja kuwa y kupambana na ugaidi" kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja ya jeshi na Shirika la Ujasusi la…
Majeshi ya serikali ya Sudan yamedai kuwa yamezuia jaribio la wapiganaji wa RSF kufanya mashambulizi licha ya kundi hilo kutangaza kusitisha mapigano siku ya Jumatatu.
Takriban watu milioni sita wanakabiliwa na njaa kali Sudan Kusini, idadi sawa na nusu ya raia wote nchini humo. Kulingana na Shirika la kimataifa la kupambana na umasikini la Oxfam,…
Umoja wa Mataifa umezindua mchakato wa kumtafuta Katibu Mkuu mpya wa umoja huo.
Rais Donald Trump wa Marekani amesema Jumanne kwamba anamtuma mjumbe wake Steve Witkoff kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Moscow wiki ijayo, kama sehemu ya mpango wake wa…
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro jana Jumanne alianza kutumikia kifungo cha miaka 27 jela kwa kuongoza jaribio la mapinduzi.
Jeshi la Sudan limesema limezuia shambulizi la wanamgambo wa RSF kwenye mji muhimu kusini mwa nchi hiyo jana Jumanne, huku Marekani ikizihimiza pande zote mbili kukubali pendekezo la kusitisha mapigano.
Nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika zimesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa Angola.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litaitembelea Syria na Lebanon wiki ijayo, imesema Slovenia inayotarajiwa kuwa mwenyekiti wa baraza hilo kuanzia mwezi Disemba.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema mazungumzo kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano nchini Ukraine "yalikuwa kwenye mwelekeo mzuri" alipozungumza na viongozi wa washirika wa Ukraine barani Ulaya.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi imepokea vyema marekebisho kwenye vipengele vya mpango wa Marekani wa kukomesha vita vya Ukraine / Milio ya risasi imesikika mapema Jumatano karibu na Ikulu…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika wameahidi kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, biashara na kukabiliana na changamoto za uhamiaji usio wa…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema mazungumzo kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano nchini Ukraine "yalikuwa kwenye mwelekeo mzuri" alipozungumza na viongozi wa washirika wa…
Tarehe 25 Novemba ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake. Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mamia ya wanawake wa dhehebu la kikatoliki waliandamana Kivu Kusini kudai…
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza vimeharibu uchumi wa eneo la Palestina na vinatishia uhai wake.
Urusi ilirusha makombora 22 na zaidi ya droni 460 kuilenga Ukraine, mashambulizi hayo yamesababisha kukatika huduma za maji na umeme huku joto likiongezeka katika baadhi ya maeneo ya Kyiv.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumzia vurugu za Oktoba 29 na ameeleza kuwayaliyotokea, yalilenga kuhujumu Uchumi wa Tanzania.
Leo tarehe 25 Novemba, ulimwengu unasimama kwa sauti moja kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake. Ni siku ya kutafakari, ya kuhamasisha na ya kuungana kupinga ukatili…
Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 inaeleza kuwa takribani kila baada ya dakika 10 mwanamke au msichana mmoja aliuawa na mwenza wake au mwanafamilia.
Wabunge Ujerumani wiki hii wanatarajiwa kupiga kura ya mwisho kwa bajeti ya mwaka 2026.
Mjumbe wa Rais Donald Trump barani Afrika, Massad Boulos, ametoa mwito kwa pande zinazozozana Sudan kukubali pendekezo jipya la usitishwaji mapigano lililowasilishwa na Marekani, bila masharti yoyote.
Marekani na Ukraine zimeafikiana kuhusiana na hoja muhimu katika mpango uliowasilishwa na Marekani wa kusitisha vita nchini Ukraine.
Vita vya miaka miwili huko Gaza na vikwazo vya kiuchumi vimesababisha kuporomoka pakubwa kwa uchumi wa Palestina na kuondoa juhudi za miongo kadhaa za kuimarika kwake.
Winga wa timu ya taifa ya Ujerumani na Bayern Munich Serge Gnabry atashiriki mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya klabu yake itakapocheza na Arsenal Jumatano.
Mivutano kati ya Afghanstan na Pakistan imezidi huku utawala waTaliban ukivishutumu vikosi vya anga vya Pakistan kuhusika na mashambulizi mapya yaliyosababisha vifo vya watoto na wanawake.
Bonde la Congo, lipo katikati ya bara la Afrika. Ni muhimu kwa kuhifadhi mazingira kwani mbali na kunyonya tani milioni 600 za gesi ya ukaa kila mwaka, ni makazi ya…
Nigeria ilizindua Mpango wa Shule Salama SSI baada ya kutekwa wanafunzi wa Chibok zaidi ya miaka 10 iliyopita. Lakini hadi leo nchi hiyo bado inakabiliwa na changamoto ya kukomesha utekaji…