Wafungwa zaidi ya 400 wameachiwa Venezuela
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema watu zaidi ya 400 wameachiwa huru kama sehemu ya mpango wa kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema watu zaidi ya 400 wameachiwa huru kama sehemu ya mpango wa kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia. Hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais Donald Trump kuwafukuza watu wengi kutoka nchini Marekani.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran. Marekani imewataka raia wake waondoke Iran.
Iran yasema Marekani inatafuta 'kisingizio cha kuingilia kati kijeshi'. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akiri hali ni ngumu nchini Ukraine. Na viongozi wa Denmark na Greenland waungana kupinga wito wa…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kufuta mikutano yote na maafisa wa Iran huku akiahidi kuwatumia msaada waandamanaji nchini Iran / Shinikizo kutokana na hoja…
Idadi ya watumiaji wa usafiri wa ndege nchini Tanzania inazidi kuongezeka. Ripoti ya serikali ya mwaka 2023 inaonesha kuwa abiria waliotumia usafiri huo walifikia milioni 6.8 kutoka milioni 2.8 mwaka…
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran.
Mbunge wa Republican kutoka Florida amewasilisha mswada unaopendekeza kuiunganisha Greenland na kuifanya kuwa jimbo la 51 la Marekani.
Uganda imeagiza kuzimwa kwa mtandao wa intaneti siku mbili kabla ya uchaguzi, wakati Rais Yoweri Museveni akitafuta kuendeleza utawala wake wa takriban miaka 40.
Takriban watoto 100 wameuawa katika mashambulizi ya anga na operesheni za ardhini zilizofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa usitishaji mapigano miezi mitatu iliyopita.
Umoja wa Mataifa umetoa wito kukomesha vurugu dhidi ya waandamanaji huku Umoja wa Ulaya ukisema kuwa unatathmini hatua mpya za vikwazo kwa Jamhuri hiyo ya Kiislamu kutokana na ukandamizaji huo.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna watu wanafungwa magerezani bila ya hatia huku Jaji Mkuu akisema uhuru wa Mahakama uko hatarini kutokana na ukosefu wa uhakika wa…
Mkuu wa jeshi la India ameituhumu Pakistan kwa kurusha droni katika eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India, eneo ambalo mataifa hayo mawili yenye silaha za nyuklia yalipigana kwa siku nne…
Jumla ya wagombea urais wanane akiwemo rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni watapambana katika nafasi hiyo pamoja na kiongozi wa upinzani Robert Kyagulani maarufu Bobi Wine.Uchaguzi wa mwaka huu wapiga…
Shinikizo kutokana na hoja ya Marekani kutumia nguvu za kijeshi kuitwaa Greenland kijeshi, limeiweka Jumuiya ya Kujihami ya NATO mahala pabaya kwani mikakati na sera zake zinajikita katika kupambana na…
Tume ya uchaguzi na vyombo vya usalama nchini Uganda vimetoa masharti kwa wanahabari watakaoandika na kusambaza habari za uchaguzi. Miongoni mwa masharti hayo ni kutowahoji waangalizi na kutangaza matokeo yasiyo…
Kuna wanawake milioni 9 waliofikia umri wa kukoma hedhi katika nguvu kazi ya Ujerumani. Mabadiliko haya katika maisha yanaweza kuathari uchumi. Kuna mambo ambayo kampuni zinaweza kufanya ili kubaki na…
Real Madrid imeachana na kocha wake Xabi Alonso na kumteua aliyekuwa kocha wa timu ya vijana Álvaro Arbeloa kuchukua nafasi yake.
Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefanya ziara ya kidiplomasia nchini Togo, baada ya safari tatu mfululizo nchini Angola kama sehemu ya mkakati wake wa kushughulikia mgogoro…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo.
Watu wanne wameuawa na wengine sita wamejeruhiwa katika shambulio la anga la Urusi lililoulenga mji wa Kharkiv mashariki mwa Ukraine.
Marekani imesema mwanasiasa wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado, atakutana na Rais Donald Trump, wakati shinikizo likiongezeka kwa uongozi wa mpito mjini Caracas kuharakisha kuwaachilia wafungwa wa kisiasa.
Serikali ya Somalia imetangaza kubatilisha makubaliano yote na Umoja wa Falme za Kiarabu, yakiwemo makubaliano ya bandari na ushirikiano wa ulinzi na usalama, ikiituhumu UAE kwa kudhoofisha mamlaka ya taifa…
Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki kusitisha shughuli zao, siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu ambao Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imeutaja kuwa unafanyika katika…
Iran imelegeza baadhi ya vizuizi kwa raia wake na kwa mara ya kwanza baada ya siku kadhaa ya kuzima mawasiliano, wameweza kupiga simu za kwenda nje ya nchi.
Somalia imefuta jana makubaliano yake yote na Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, huku kukiwa na mvutano kuhusu hatua ya Israel ya kuitambua Somaliland.
Baada ya Marekani kuivamia kijeshi Venezuela na kumkamata Nicolás Maduro, uongozi wa Iran unaogopa hatua kama hiyo. Tehran inaonya kuhusu ukiukwaji wa sheria za kimataifa na inajiona kama shabaha ya…
Rais Donald Trump wa Marekani amesema nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa asilimia 25. Ni kufuatia hatua ya Iran kuyakandamiza kwa nguvu kubwa maandamano ya kupinga ugumu…
Watu wawili wameuliwa katika shambulizi la Urusi lililofanywa katika mji wa Kharkiv, mashariki mwa Ukraine.
Serikali ya Somalia imefuta makubaliano yote iliyotia saini na Umoja wa Falme za Kiarabu kuhusiana na mvutano juu ya hatua ya Israel kuitambua Somaliland kama nchi huru.
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel amesema mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote ya kutafuta makubaliano na Marekani yanayoendelea kufuatia vitisho vilivyotolewa na rais wa Marekani Donald Trump.
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado atakutana na rais wa Marekani Donald wiki hii. Mkutano huo utafanyika wakati Venezuela ikikabiliwa na shinikizo kuhusu kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa.
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza ushuru kwa nchi itakayofanya biashara na Iran kufuatia ukandamaziaji unaofanywa na serikali ya mjini Tehran dhidi ya waandamanaji wanaopinga ugumu wa maisha.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo / Serikali ya…
Rais Donald Trump wa Marekani atangaza ushuru kwa washirika wa kibiashara wa Iran. Watu wawili wauwawa kufuatia shambulizi la Urusi mjini Kharkiv. Na Somalia yafuta makubaliano na Umoja wa Falme…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza ushuru kwa nchi itakayofanya biashara na Iran kufuatia ukandamaziaji unaofanywa na serikali ya mjini Tehran dhidi ya waandamanaji wanaopinga…
Museveni ameiongoza Uganda kwa karibu miaka 40, akitoka kusifiwa kama kiongozi wa mfano hadi kukosolewa kwa kukandamiza upinzani. Akiwa na miaka 81, bado anatafuta muhula mwingine akisema analinda mafanikio yake…
Ripoti mpya kuhusu machafuko ya wakati wa uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania imesema vikosi vya usalama viliwafyatulia risasi waandamanaji waliokuwa wakikimbia na kufanya "mauaji ya kiholela."
Unyanyasaji wa kingono unaohusiana na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka huku msaada kwa walionusurika ukipungua kwa kiasi kikubwa.
Myanmar ilifanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya kwa lengo la kuiangamiza jamii hiyo, Gambia yasema.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema nchi yake imejiandaa kwa 'vita na vilevile mazungumzo' na Marekani.
Bobi Wine, ameliambia shirika la Habari la AFP kwamba ataitisha maandamano ikiwa Rais Yoweri Museveni ataupora uchaguzi
Tume ya uchaguzi ya Uganda imewagiza waangalizi kutowasilisha ripoti zao za uchunguzi kuhusu uchaguzi kwa vyombo vya habari wala kwa umma kabla ya kuziwasilisha kwa tume hiyo.
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Haki, ICJ, imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar kuhusu ukandamizaji wa watu wa kabila la Rohingya.
Manchester United iko katika hatua za mwisho za kumteua Michael Carrick kuwa kocha wa muda - hatua inayokuja baada ya majuma kadhaa ya sintofahamu na mabadiliko ya benchi la ufundi.
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF limesema Jumatatu kwamba limeanzisha uchunguzi na kuonya juu ya uwezekano wa hatua za kinidhamu kufuatia "tabia zisizokubalika", baada ya wachezaji kupigana uwanjani.
Maelfu ya Wairan wameandamana Jumatatu kuiunga mkono serikali, baada ya wiki mbili za maandamano ya kuipinga serikali yaliyochochewa na kudorora kwa uchumi.
Rais Donald Trump amesema Marekani itaichukua Greenland "kwa namna moja ama nyingine" na kuonya kwamba Urusi na China wangelidhibiti eneo hilo, kama Marekani isingechukua hatua.
Ujerumani na India zinalenga kuupanua ushirikiano wao katika sekta ya ulinzi, na wizara za ulinzi za nchi hizo mbili zimetiliana saini kuhusiana na nia hiyo katika mkutano uliofanyika kwenye jimbo…