Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema utawala wa sasa nchini Iran huenda ukawa unakaribia mwisho wake kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea nchini humo / Serikali ya Somalia imetangaza kubatilisha makubaliano yote na Umoja wa Falme za Kiarabu