Iran yapinga “uongo mkubwa” wa Marekani kuhusu kadhia ya nyuklia
Iran imepinga vikali madai mapya ya Marekani kuhusu shughuli zake za nyuklia na makombora, pamoja na takwimu za waliouawa katika machafuko ya hivi karibuni, ikiyataja kuwa ni “msururu wa uongo…