Jumatano, 18 Februari, 2026
Leo ni Jumatano 29 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 18 Februari 2026.
Leo ni Jumatano 29 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 18 Februari 2026.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema, wana wasiwasi mkubwa kuhusu madhara yanayoweza kuwapata waathirika waliotajwa katika nyaraka zinazojulikana kama "Mafaili ya Epstein" (Epstein Files), na kueleza…
Kiongozi wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus, ametangaza kujiuzulu katika hotuba ya kuaga kwa taifa aliyotoa kabla ya kukabidhi mamlaka kwa serikali iliyochaguliwa.
Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, kwa mujibu wa ziara za ukaguzi zilizofanywa na wanasheria wake na ushuhuda uliorekodiwa, utawala wa kizayuni wa Israel umeshadidisha udhalilishaji na ushinikizaji wa…
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani imemalizika mjini Geneva, Uswisi.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu vitisho vya mara kwa mara vya kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran, akisema kuwa silaha zenye uwezo wa kuzamisha manowari za Marekani ni…
Somalia inatarajiwa kuanza kutoa hati ya kusafiria ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa raia wake; ikiungana na nchi nyingine wanachama katika kutumia hati ya kusafiria ya kikanda.
Wairani leo wanashiriki katika hafla kubwa ya kitaifa mjini Tehran kuadhimisha siku ya arobaini tangu kuuawa kishahidi kwa watu waliopoteza maisha yao katika mashambulizi ya kigaidi ya Januari 8 na…
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia Kimbunga Gezani nchini Madagascar imeongezeka hadi 59, huku watu 804 wakijeruhiwa. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Ofisi ya…
Marekani inajaribu kudumisha nafasi yake barani Afrika kupitia matumizi ya mabavu na ghiliba za kisiasa, huku ikizingatia zaidi nishati na madini muhimu, tofauti na ushirikiano mpana wa kiuchumi wa China…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema ingawa zaidi ya mataifa 100 yamepata uhuru tangu mwaka 1945, mchakato wa kuondoa ukoloni bado haujakamilika. Ametoa kauli hiyo akifungua kikao…
Viongozi wa nchi za Afrika wametangaza mshikamano wao na watu wa Palestina na haki yao ya kujitawala.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa jamii ya kimataifa inawajibika kukabiliana na hatua za utawala wa Israel za kuendelea kukiuka pakubwa sheria katika eneo la Asia Magharibi.
Rais wa Niger ametangaza kuanza kwa "mchakato mpya" kati ya nchi hiyo na Algeria.
Sheikh Naim Qassim Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama haitaki vita lakini imejiandaa kikamilifu kuilinda Lebanon na kutoa jibu kali kwa uchokozi…
Mawakili nchini Morocco wamehitimisha mgomo wa wiki moja baada ya serikali kusimamisha muswada wa kudhibiti sekta ya sheria na kuunda tume iliyopewa jukumu la kuanzisha mazungumzo.
Mradi wa Israel wa kilimo na makazi wa ekari 520 huko Solai, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya umezua mjadala mkali wa kitaifa. Wakenya wametumia mitandao ya kijamii kupinga mradi huo,…
Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, Iran inadumisha ufuatiliaji kamili wa kijasusi wa saa 24 katika…
Ismail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Tehran imeingia katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani kwa mtazamo wenye mwelekeo wa matokeo,…
Idara yaMaafa ya Majanga ya Kimaumbile ya Madagascar imetangaza kuwa hadi sasa watu 59 wamefariki dunia kutokana na kimbunga cha Gezani kilichoathiri maeneo ya pwani ya mashariki mwa nchi hiyo…
Mashambulizi wa ndege zisizo na rubani (droni) ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)yameuwa watu watatu na kuwajeruhi wengine saba katika Hospitali ya Al-Mazmoum katika jimbo la Sennar…
Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alisema kuwa nchi yake "haina nia ya kujitanua" na haina lengo la kuwatishia majirani zake. Amesema vipaumbele muhimu vya kitaifa ni kufikia njia ya baharini…
Makundi ya Wapalestina na nchi kadhaa za eneo zimetoa mjibizo kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuvamia na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo…
Leo ni Jumanne 28 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 17 Februari 2026.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi wamekutana katika jiji la Geneva nchini Uswisi,…
Wakati mivutano kati ya Iran na Marekani inazidi kuongezeka, Tehran imesisitiza kuwa, machaguo yake yote yako mezani, licha ya mazungumzo yanayoendelea baina yake na Washington.
Wakati mivutano kati ya Iran na Marekani inazidi kuongezeka, Tehran imesisitiza kuwa, machaguo yake yote yako mezani, licha ya mazungumzo yanayoendelea baina yake na Washington.
Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuzamie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe tofauti za dunia.
Mkuu wa Shirika la Ulinzi wa Mimea la Iran ameeleza azma ya taifa hili ya kukuza ushirikiano na Tanzania katika uga wa karantini na kilimo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji wa Palestina, Varsen Aghabekian Shahin amesema kufikia amani na Israel "haiyumkiniki" madhali haki za Wapalestina zinakiukwa na utawala huo wa Kizayuni, akisisitiza kwamba…
Rais wa Ghana ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuunga mkono rasimu ya azimio lenye lengo la kutambua dhulma za kihistoria zilizosababishwa na biashara ya utumwa…
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas amepuuzilia mbali ukosoaji wa Washington kuhusu mbinyo wa kutoa maoni katika nchi wanachama wa umoja huo, akisisitiza kwamba nchi…
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, ametangaza kwamba nchi yake iko tayari kuwasilisha nyaraka, ushahidi na ushuhuda kwa vyombo vya kisheria vya Afrika ambavyo "vinathibitisha uhalifu mbaya" wa ukoloni wa Ufaransa…
Palestina imekaribisha matokeo ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, ambao umesisitiza tena upinzani wa bara hilo dhidi ya mipango ya kuwafukuza Wapalestina katika nchi yao…
Vyanzo vya usalama vimesema kwamba mashambulizi ya waasi wenye silaha yamewaua watu wasiopungua 10 kaskazini na mashariki mwa Burkina Faso.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amewasili katika miji wa Geneva nchini Uswisi kwa ajili ya duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na…
Msemaji wa serikali ya Afghanistan amesisitiza kwamba watu wa Afghanistan wataonyesha mshikamano na kutoa aina mbalimbali za misaada kwa Iran iwapo kutatokea uchokozi wowote dhidi ya nchi hiyo.
China sambamba na kuashiria kuidhinishwa kanuni mpya na baraza la mawaziri la usalama la Israel ili kuimarisha udhibiti wa Ukingo wa Magharibi, imeonya kuhusu matokeo mabaya ya hatua hiyo.
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Donald Trump anapaswa kufahamu kwamba kuingia katika mapambano ya kijeshi na Iran kutakuwa funzo lenye athari kubwa,…
Mamlaka ya Ndani ya Palestina, imetoa radiamali kwa uamuzi wa baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kutaifisha ardhi za Ukingo wa Magharibi na kuitaka jamii ya…
Leo ni Jumatatu 27 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 16 Februari 2026.
Taasisi ya Utafiti ya Royan Research ya Iran imezindua bidhaa sita mpya zilizotengenezwa ndani ya nchi katika nyanja ya tiba ya seli na uhandisi wa tishu, hatua inayoiweka Iran miongoni…
Kikao cha 39 cha kawaida cha Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kilichofanyika Jumapili jijini Addis Ababa kimepitisha “Azimio la Algiers” kuhusu uhalifu wa kikoloni barani…
Vikosi vya Israel vimewaua angalau Wapalestina 10 katika mashambulizi mapya yaliyofanywa katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji mwingine wa makubaliano ya usitishaji vita yaliyoratibiwa na Marekani na…
Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema kuwa, uchokozi wowote mpya dhidi ya Iran utapelekea kuwaka moto katika eneo lote la Asia Magharibi.
Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kumtusi Rais wa utawala wa kizayuni wa Israel akimuunga mkono waziri mkuu wa utawala huo yameongeza mvutano kati ya Netanyahu na Isaac…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbollah ya Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikiunga mkono Palestina na watu wanaokandamizwa duniani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema ni zamu ya Marekani kuonyesha azma ya kufikia makubaliano yanayolenga kutatua suala la nyuklia la Tehran.