Kupinga Wabunge wa Marekani sera za Trump za kupiga ngoma ya vita dhidi ya Iran
Wimbi la upinzani limeibuka miongoni mwa Wabunge wa Marekani dhidi ya sera za Rais Donald Trump zinazochochea vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Wimbi la upinzani limeibuka miongoni mwa Wabunge wa Marekani dhidi ya sera za Rais Donald Trump zinazochochea vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Leo ni Jumamosi 3 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 21 Februari 2026 Miladia.
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya…
Mauaji ya Thiaroye ni mojawapo ya jinai na uhalifu mkubwa zaidi wa umwagaji damu na uliofichika zaidi, ambao ulifanywa na Ufaransa wakati wa utawala wake wa kikoloni nchini Senegal.
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, "Vyombo vya kidiplomasia (vya Iran) lazima vichore ramani yake ya mazungumzo kwa njia sahihi, ya uwazi na ufasaha,…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu haitaanzisha vita, lakini itatoa jibu zito kwa kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali kufanyika mkutano wa kile kinachoitwa 'Bodi ya Amani ya Gaza' huko nchini Marekani.
Serikali ya Senegal imeidhinisha muswada ambao kama utapasishwa na kuwa sheria, hatua hiyo itapelekea kupigwa marufuku vitendo vichafu vya mapenzi ya watu wa jinsia moja.
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa ushirikiano kati ya vikosi vya majini vya Iran na vile vya Afrika Kusini na Sri Lanka…
Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran ametangaza ongezeko kubwa la mauzo ya nje ya kilimo hapa nchini hadi dola bilioni nane na kutangaza kwamba asilimia 85 ya usalama wa…
Russia imekanusha madai kwamba inawaajiri Wakenya kupigana vitani nchini Ukraine, kufuatia ripoti za Huduma ya Kijasusi ya Kitaifa ya Kenya kwamba zaidi ya Wakenya 1,000 kwa sasa wanapigana upande wa…
Klabu ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina na Kiarabu wanashikiliwa katika magereza ya utawala ghasibu wa Israel na wamekuwa wakikabiliwa na sera…
Wawakilishi kutoka nchi 30 na Tume ya Umoja wa Ulaya wametoa wito wa kukomeshwa mara moja uhasama nchini Sudan, wakielezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuendelea mashambulizi ya mauti dhidi ya raia…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amehudhuria kikao cha kiroho cha Qur'ani katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, akijumuika na maqarii na wasomaji…
Ujumbe wa kutafuta ukweli wa Umoja wa Mataifa umesema ukatili uliofanywa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF wakati wa kuutwaa mji wa El-Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan mwezi…
Kwa akali watu 34 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo wa Lakurawa kwenye vijiji kadhaa katika jimbo la Kebbi, kaskazini magharibi mwa Nigeria, ripoti ya usalama iliyoonekana na Reuters ilisema Alkhamisi.
Mahakama ya Korea Kusini jana Alkhamisi ilimhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo, Yoon Suk Yeol kifungo cha maisha jela kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 2024, na kumtia…
Zaidi ya raia 640 wa Uholanzi wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Gaza na kwneye mashambulizi dhidi…
Leo ni Ijumaa tarehe Pili Ramadhani 1447 Hijria sawa na Februari 20 mwaka 2026.
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Saudi Arabia wamefanya mazungumzo na kujadili uhusiano wa pande mbili na mchakato wa mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba, mipango ya utawala ghasibu wa Israel ya kuimarisha udhibiti wa sehemu za Ukingo wa Magharibi inakwenda sambamba na…
Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imetangaza kuwa, waandishi habari wa Kipalestina waliofungwa katika magereza ya utawala ghasibu wa Israel kuanzia Oktoba 2023 hadi Januari 2026 wamepitia…
Vyombo vya habari vya utawala wa kibaguzi wa Israel vimeelezea wasiwasi kwamba, matukio katika eneo la Pembe ya Afrika mpaka Februari mwaka huu (2026) yanaonyesha ongezeko kubwa la mvutano kati…
Zaidi ya Wakenya 1,000 wamekwenda kupigana upande wa jeshi la Russia nchini Ukraine. Ripoti ya kijasusi iliyowasilishwa katika bunge la Kenya, imesema kuwa, wengi wa raia hao walidanganywa ili kusaini…
Waziri wa Nishati wa Marekani amesema, nchi hiyo itaanza tena kurutubisha madini ya urani
Shinikizo la kisiasa la vyama vikuu vyenye mielekeo ya Kiislamu nchini Pakistan kwa serikali ya nchi hiyo la kuitaka ijiondoe katika kile kiitwacho 'Bodi ya Amani' ya Trump limeongezeka.
Balozi wa Russia mjini Tehran amezikosoa vikali Marekani na Israel kwa kufuata “sera za uharibifu,” akionya kuwa uchokozi wowote dhidi ya Iran unaweza kusababisha “athari zisizotabirika na zenye maangamizi makubwa”…
Mjumbe mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameonya Jumatano kuwa kuongezeka kwa mgawanyiko ndani ya mfumo wa mahakama wa nchi hiyo, pamoja na kuzorota kwa hali ya uchumi, kunatishia…
Jua lilipotua juu ya Gaza siku ya Jumanne, safu za waumini zilisimama kuswali, si ndani ya misikiti, bali juu ya magofu yake.
Takribani raia 50 wameuawa wakati wa mapigano yaliyozuka mwezi Januari kati ya vikosi vinavyoiunga mkono serikali na waasi wenye silaha katika jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa njama na vitendo vya uharibifu vilivyotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya mpango wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri…
Wakati wa ukoloni wa Ufaransa nchini Algeria, moja ya sura nyeusi na ya uhalifu mkubwa zaidi ilikuwa majaribio ya nyuklia katika ardhi ya nchi hiyo na kwa watu wake.
Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Ramadhani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Februari, 2026.
Sheikh Sadiq al-Ghariani, Mufti wa Libya amesema kwamba kuikomboa Palestina na kuwasaidia wakazi wake ni wajibu wa kidini kwa Waislamu wote.
Nchi 24 za Magharibi zimeelezea wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya raia, uharibifu wa miundombinu na mashambulizi dhidi ya taasisi za misaada ya kibinadamu nchini Sudan, zikitoa wito…
Msemaji wa maneva ya kijeshi ya Iran na Russia, Admirali Hassan Maghsoudlou, amesema kuwa vikosi vya majini vya Iran na Russia leo Alkhamisi vitafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.
Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena Msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
Familia ya Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki dunia nchini Afrika Kusini mwezi Juni mwaka jana na bado hajazikwa, imekanusha madai kwamba Lungu aliwekewa sumu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya jinai kubwa zaidi kwa kupewa kinga kamili katika kipindi cha miongo minane iliyopita.
Rais Masoud Pezeshkian amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja inayofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yako chini uangalizi kamili wa Kiongozi wa Mapinduzi ya…
Mlowezi mmoja Muisraeli wa kizayuni mwenye misimamo ya chuki ameichoma moto nakala ya Kitabu kitakatifu cha Waislamu, Qur'ani, akiwa katika eneo ambalo halijafahamika katika mji wa Baitul-Muqaddas, siku chache kabla…
Vatican haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa iitwayo "Bodi ya Amani". Hayo yameelezwa na afisa mkuu wa kidiplomasia wa Vatican Kardinali Pietro Parolin, huku akisisitiza kwamba…
Serikali ya Gabon imepiga marufuku kwa muda matumizi ya mitandao ya kijamii, ikisema kuwa inahusika na kuchochea migogoro na migawanyiko ndani ya jamii.
Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico ameonya kwamba Umoja wa Ulaya (EU) sasa hivi unakabiliwa na hali mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia yake, huku matatizo ya kiuchumi yakizidishwa na…
Mwanadiplomasia wa Iran imeiomba serikali ya Kenya kuchukua hatua na kulipatia ufumbuzi sakata la chai la thamani ya Shilingi bilioni 2.6 za nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Zaidi ya nchi 80 wanachama wa Umoja wa Mataifa zimelaani mpango wa Israel wa kupora na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan…
Baadhi ya nchi za Waislamu na Kiarabu zimetangaza leo Jumatano kuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Ujerumani hapa mjini Tehran kulalamikia misimamo na hatua za hivi karibuni za uadui zilizochukuliwa na mamlaka za Ujerumani dhidi ya…
Afisa mwandamizi wa Ikulu ya Russia (Kremlin) ameonya kwamba, yumkini jeshi la wanamaji la nchi hiyo likatumwa kuzuia mataifa ya Magharibi kukamata meli za Urusi kama sehemu ya vikwazo dhidi…
Awamu ya kwanza ya mazoezi ya Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imefanyika katika visiwa vya Iran kwenye maji ya Ghuba ya Uajemi.