Kesi ya kupinga ushindi wa Museveni yatupiliwa mbali, sababu.. gharama kubwa
Kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika uchaguzi mkuu wa Januari 15 imetupiliwa mbalii.
Kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika uchaguzi mkuu wa Januari 15 imetupiliwa mbalii.
Rais wa Marekani, Donald Trump, alizua hasira katika duru za kisiasa baada ya kurusha mkanda wa video kwenye jukwaa lake la "Truth Social" akitangaza nadharia za njama za uchaguzi ikiwa…
Kundi la kigaidi la Daesh limetangaza kuwa limehusika na shambulio lililolenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Khadijatul Kubra mjini Islamabad huko Pakistan na kuua makumi ya watu…
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Naibu kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anayesimamia masuala ya kisiasa amesema kuwa kuoneshwa hivi karibuni kwa kombora la kisasa la masafa marefu lenye…
Ufaransa na Uingereza zinaripotiwa kuhusika katika mauaji ya Saif al-Islam Gaddafi, mtoto maarufu wa Rais wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi, kwani alionekana kama mtu ambaye angeweza kuiunganisha tena…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi ya Sudan inayoshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe inakabiliwa na njaa kali.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Al-Dameer amekosoa vikali utaratibu wa sasa wa kivuko cha Rafah, akikiita "tasa na hatari" na kuonya kwamba utaratibu wa sasa umesababisha ongezeko…
Leo ni Jumamosi 18 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 7 Februari 2026 Miladia.
Karne ya ishirini Miladia haikushuhudia tu matukio ya kushangaza ya binadamu, bali pia ilibeba baadhi ya kurasa zenye giza kuu katika historia ya mwanadamu. Katika moyo wa bara la Afrika,…
Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya nje wa Iran amesema kuwa, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja na Marekani huko Muscat Oman yamekuwa na mwanzo mzuri, huku…
Wawakilishi wa Iran na Marekani leo wamefanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja mjini Muscat, Oman kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa Iran na kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi…
Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito wa kuifanya Renminbi (Yuan), sarafu ya taifa hilo, kuwa sarafu ya akiba ya dunia.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amezungumzia maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kubainisha kwamba: "katika kipindi hiki, zimefanyika kazi kubwa…
Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa kizayuni wa Israel Ehud Olmert amekiri kwamba polisi, jeshi na Shirika la Usalama wa Ndani la utawala huo (Shabak) wanahusika katika mashambulizi yaliyopangwa…
Mtaalamu wa tiba ya viungo Adam James, amezungumzia baadhi ya harakati na alama za kimwili za Donald Trump na kutahadharisha kwamba, huenda rais huyo wa Marekani asiishi zaidi ya miaka…
Rais wa Jamhuri ya Kongo (Brazzaville), Denis Sassou Nguesso, ametangaza kwamba atagombea tena urais wa nchi hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Machi, akiwa na lengo la kusalia…
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez amesema, nguvu ya serikali ipo kuzilinda demokrasia na "mashambulizi zinayopata" na kuwalinda watoto na vijana na "ulimwengu wenye madhara makubwa, usioadhibiwa" ambavyo ndivyo imekuwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Tehran inaingia katika duru mpya ya mazungmzo ya kidiplomasia na Marekani ikiwa hadhiri, makini kabisa na "kwa macho yaliyo…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediteranean Human Rights Monitor (Euro-Med Monitor) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limekosoa vikali msimamo wa Umoja wa Ulaya kwa kuweka masharti…
Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na nchi mbali mbali duniani sambamba na kutoa salamu za rambirambi, zimelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyoua watu wasiopungua 170 magharibi mwa Nigeria.
Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga pendekezo la Rais wa Russia, Vladimir Putin la kuongezwa kwa khiari muda wa Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia, ambao…
Ripoti mpya ya shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) inaonyesha kuwa, hali ya haki za binadamu nchini Kenya ilidorora mwaka uliopita, huku serikali ikikosolewa vikali…
Afisa mwandamizi wa Jeshi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeimarisha mifumo yake ya kujilinda kwa kuboresha makombora ya balestiki yaliyotengenezwa ndani ya nchi.
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani mashambulizi makubwa ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza yaliyouwa shahidi Wapalestina 23 tangu ustishaji vita wa Oktoba mwaka jana…
Watu wasiopungua 22 wakiwemo wahudumu 4 wa sekta ya afya wameuawa na wengine wawane kujeruhiwa baada ya wanangambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) jana kuishambulia hospitali ya jeshi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil, Mauro Vieira, amesisitiza haja ya kuanzishwa mfumo mpya wa kimataifa unaotegemea marekebisho ya mashirika ya kimataifa yaliyopo, ikiwa ni pamoja na Umoja wa…
Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu kile ulichokielezea kama ongezeko la vitishio vya kundi la Daesh (ISIS) tangu katikati ya mwaka jana, ukieleza kuwa kundi hilo limekuwa "tata zaidi".
Je, nini maana ya vita vya kieneo na ni vya aina gani?
Leo ni Ijumaa tarehe 17 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na Februari 6 mwaka 2026.
Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Kipindi chetu kinazungumzia…
Shirika la habari za afya la Willow limetangaza kuuwa, vidonda vya tumbo, uvutaji wa sigara, na matumizi ya pombe vinachangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa ugonjwa wa saratani nchini Kenya.
Vassily Nebenzya, mwakilishi wa kudumu Russia katika Umoja wa Mataifa amesem kuwa, Moscow inatumai kwamba Marekani itatumia akili na busara kuhusiana na kadhia ya Iran.
Rais Recep Tayyip Erdogani wa Uturuki amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupuuza mamlaka ya kujitawala Somalia kwa kutambua jimbo lililojitenga na Somalia la Somaliland kama…
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Israel unafanya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza, Palestina.
Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeonya kuhusiana na mgogoro wa kutisha wa kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kamandi ya Marekani barani Afrika (AFRICOM) imetangaza kupeleka kikosi kidogo cha kijeshi cha Marekani nchini Nigeria na hivyo kwa mara ya kwanza kukiri rasmi kutumwa wanajeshi wa Marekani katika nchi…
Nchi wanachama wa Kundi la Marafiki Watetezi wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ambayo imelaani hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu…
Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani mpango wa tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC) wa kuchoma na kuteketeza nyaraka za Uchaguzi wa Oktoba 2025, uliofanyika visiwani humo.
Watu wenye silaha wamewaua karibu watu 200 magharibi na kaskazini mwa Nigeria. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na wakazi wa maeneo hayo huku manusura wakiwazika wenzao waliouawa na askari…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa, Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia kwa madola mawili makubwa zaidi duniani yanayomiliki silaha hizo, yaani nchi…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho…
Waziri wa Usalama wa Iran, Esmail Khatib, ameonya kuwa nchi za Magharibi zitakumbana na madhara ya hatua yao ya kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa eti…
Kundi la wasomi, wanafalsafa na wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali za dunia limetangaza kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, pamoja na juhudi zake za ujasiri na…
Harakati za zama za sasa za kutumia mashine kwenye sekta ya kilimo barani Afrika lazima zitofautiane na harakati za zamani ili hatua hizo ziwe endelevu. Hayo yamesemwa na Beth Bechdol,…
Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi…
Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na Februari 5 mwaka 2026.
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…