Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya ‘ushetani’ ya watu muhimu wa Magharibi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…