Rais wa Nigeria atangaza hali ya hatari kufuatia wimbi la utekaji nyara
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya hatari ya kiusalama nchini humo baada ya mauaji na utekaji nyara kuongezeka kwa kasi.
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya hatari ya kiusalama nchini humo baada ya mauaji na utekaji nyara kuongezeka kwa kasi.
Viongozi wa ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika (AU), Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) pamoja na Jukwaa la Wazee wa Afrika Magharibi (WAEF)…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa onyo kali kwa mahasimu wa Jamhuri ya Kiislamu akiwataka waache mwenendo wa mabavu na mashinikizo ya kupita kiasi dhidi ya…
Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (Hamas) imelaani vikali mauaji ya makusudi na mateso ya Wapalestina walioko katika magereza ya kuogofya ya utawala haramu wa Israel, ikiyataja kama…
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda…
Marekani imeingiwa na kiwewe kikubwa cha kudukuliwa kombora lake la GBU-39B lililopatikana nchini Lebanon na kuziruhusu nchi zisizo rafiki kwake hasa Iran na Russia kupata teknolojia iliyotumika kwenye kombora hilo…
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza katika mkutano na wasomi wa Pakistan kwamba vita vya siku 12 ilivyolazimishwa Iran kupigana ni matokeo ya njama kubwa…
Jeshi la Israel limeamua kuwapiga marufuku makamanda wake kutumia simu za Android kutokana na usalama mdogo uliomo kwenye simu zinazotumia mifumo hiyo.
Wakimbizi 115 wa Burundi, ambao wengi wao walikuwa wamekimbilia Rwanda mwaka huu wa 2015 kutokana na machafuko ya kisiasa nchini mwao, wamerudishwa kwa hiari nchini Burundi. Hayo ni kwa mujibu…
Rais Kais Saied wa Tunisia amemwita Giuseppe Perrone, balozi wa Umoja wa Ulaya nchini humo na kumtaka ajieleze kwa kufanya uchochezi na kutoheshimu itifaki za kidiplomasia. Hayo yametangazwa na Ikulu…
Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa anafuatilia matukio ya Guinea Bissau kwa wasiwasi mkubwa baada ya baada ya jeshi la nchi hiyo jana Jumatano kumuondoa madarakani…
Shirika la OXFAM limetangaza kuwa, takriban watu milioni sita wanakabiliwa na baa la njaa kali Sudan Kusini, idadi ambayo ni sawa na nusu ya raia wote nchini humo.
Mataifa ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika yamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa karibu mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili katika mji mkuu wa Angola, Luanda.
Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, juhudi za kimataifa za kupambana na ukimwi zimepitia hali ngumu kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili kimataifa.
Ingawa karne moja iliyopita, ni asilimia 0.25 tu ya fedha za uchaguzi wa Marekani ndizo zilizotoka mifukoni mwa watu 100 matajiri zaidi wa nchi hiyo, lakini leo, dola moja kati…
Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 27 Novemba 2025.
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasili Islamabad na kukutana na kushauriana na maafisa wa Pakistan katika ziara rasmi ya…
"Sera za waziri mkuu Benjamin Netanyahu zimepelekea kushindwa Israel katika pande zote za kidiplomasia, kijeshi, na kimkakati, hususan dhidi ya Iran". Hayo ni kwa mujibu wa Haaretz, gazeti la Israel…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutoa Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza ingali ni ya majanga licha ya kusitishwa…
Duru zenye taarifa zimedokeza kuwa, mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman uliofanyika wiki iliyopita katika Ikulu wa White House ulishuhudia…
Gavana wa Jimbo la Darfur nchini Sudan, Minni Arko Minnawi, ameviambia vyombo vya habari kuwa, katika kipindi cha siku tatu tu Wasudan 27,000 waliuliwa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka…
Mahakama ya juu zaidi ya Umoja wa Ulaya imetoa hukumu kwamba Poland inalazimika kuzitambua ndoa za jinsia moja zilizosajiliwa katika nchi zingine wanachama wa umoja huo japokuwa mahusiano kama hayo…
Wizara ya Uchukuzi ya Iran imesema kuwa karibu vijiji tisa kati ya kumi hapa nchini vimeunganishwa kwa barabara za lami; hatua inayoashiria panuzi mkubwa wa miundombinu ya vijijini nchini Iran.
Umoja wa Mataifa umekaribisha kwa tahadhari tangazo la kibinadamu la kusitisha mapigano lililotolewa jana na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF), ukisema kuwa linawakilisha kupiga hatua lakini linahitaji…
Wanafunzi wa kike 24 waliokuwa wametekwa nyara kutoka katika shule yao ya bweni wiki iliyopita kaskazini magharibi mwa Nigeria wameachiwa huru. Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya…
Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa nchi hiyo ipo tayari kusaidia na kuung amkono juhudu za nigeria za kupambana na ugaidi. Bi Zakharova…
Bruno Rodriguez Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amesema kuwa Marekani inatumia uzushi kuhalalisha operesheni zake za kijeshi dhidi ya Venezuela, kwa lengo la kuiangusha serikali ya nchi hiyo…
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran (SNSC) Ali Larijani ameishukuru Pakistan kwa kuiunga mkono Tehran wakati wa "vita visivyo vya haki" vya mwezi Juni 2025 vilivyoanzishwa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela ametumia lugha kali kujibu tuhuma za waziri wa mambo ya nje wa utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Caracas, kwa kumwita waziri…
Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeikosoa serikali ya utawala wa kizayuni wa Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu, likionya kwamba utawala huo unaelekea kuporomoka kwa ndani huku Netanyahu akifanya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa onyo kali katika hotuba yake kwa Mkutano wa Saba wa Pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unaofanyika mjini…
Msemaji wa serikali ya muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban Zabihullah Mujahid, amesema watoto tisa na mwanamke mmoja wameuawa baada ya vikosi vya jeshi la Pakistan kushambulia nyumba moja katika…
Msemaji wa serikali ya muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban Zabihullah Mujahid, amesema watoto tisa na mwanamke mmoja wameuawa baada ya vikosi vya jeshi la Pakistan kushambulia nyumba moja katika…
Ujerumani inataka kuweka sheria kali zaidi dhidi ya wakimbizi na wahamiaji, na inapanga kufukuza nchini humo idadi kubwa ya wakimbizi.
Leo ni Jumatano 5 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 26 Novemba 2025 Milaadia.
Kwa kutia saini amri ya utendaji dhidi ya Ikhwanul Muslimeen au kwa jina jingine Muslim Brotherhood, Rais Donald Trump wa Marekani ameweka baadhi ya matawi ya kundi hilo la Kiislamu…
Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa Lebanon dhidi ya uvamizi na uchokozi wa mara kwa mara wa utawala…
Mwanachama mmoja wa ngazi za juu katika Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama italipiza kisasi cha mashahidi wake na kwamba irada yake kamwe haitadhoofishwa.
Msomi na mwanafikra mashuhuri raia wa Uganda, Mahmood Mamdani, ambaye ni baba wa Muislamu wa kwanza kushinda nafasi ya umeya wa New York huko Marekani, Zohran Kwame Mamdani, ameishutumu Israel…
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC), amesema ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyanja mbalimbali unaimarisha amani na utulivu wa kieneo, na…
Hitilafu za kisiasa na kiusalama kati ya utawala ghasibu wa Israel na Misri zimechukua zimefikia katika uga wa kiuchumi, na sasa zimefikisha mkataba mkubwa zaidi wa gesi kati ya Tel…
Ramiz Alakbarov, Naibu Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa Mchakato wa Amani wa Mashariki ya Kati, ameonya kwamba hali katika Ukanda wa Gaza "inaendelea kuwa mbaya," na kusema kuwa…
Maafisa wa jeshi la Nigeria wametangaza kuwa kumepigwa harua nzuri za maenedelea katika jitihada za kukomboa mamia ya wanafunzi wa kike na walimu wao kadhaa waliotekwa nyara na kundi la…
Kamanda wa waasi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), Mohamed Hamdan Dagalo “Hemedti”, ametangaza kusitisha mapigano ya ndani kwa kipindi cha miezi mitatu kwa "sababu za kibinadamu", ambako kunajumuisha…
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa jana Jumatatu ilisema kwamba karibu wanawake 50,000 waliuawa na jamaa zao mwaka wa 2024, kwa kiwango cha mwanamke mmoja kila baada ya dakika 10,…
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), imewataka wanasiasa kuelekeza nguvu zao katika kuhimiza amani na utulivu, badala ya kutoa matamshi yanayoweza kuchochea taharuki miongoni mwa wananchi.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema kuwa mauaji ya kikatili yaliyofanywa na Israel dhidi ya kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya…
Kura ya maoni iliyofanywa na CBS News ikishirikiana na kampuni ya utafiti ya YouGov imeonyesha kuwa Wamarekani wengi wanapinga hatua zozote za kijeshi dhidi ya Venezuela.
Familia za wanafunzi waliotekwa nyara nchini Nigeria zimenasa kati ya matumaini na kukatishwa tamaa kutokana na vitendo vya kukaririwa vya utekaji nyara wanafunzi wakiwa mashuleni.