Cristiano Ronaldo akosolewa vikali kwa kukutana na Trump White House katika dhifa ya chakula
Nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo anaandamwa na wimbi la ukosoaji mkali baada ya kushiriki kwenye dhifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa…