WFP yatahadharisha kuhusu ongezeko la njaa duniani
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeeleza kuwa kupunguzwa kwa misaada ya nchi wafadhili kutazidisha mgogoro wa njaa unaozidi kuongezeka kote ulimwenguni, na kuonya kwamba zaidi ya watu milioni 300 watakabiliwa…