Qalibaf: Iran Kamwe Haitasalimu Amri
Katika hafla ya kuwaenzi mashahidi wa Iran huko Khorasan Kaskazini, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf, ametamka kwa msisitizo kwamba, “Iran kamwe haitasalimu amri.”
Katika hafla ya kuwaenzi mashahidi wa Iran huko Khorasan Kaskazini, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf, ametamka kwa msisitizo kwamba, “Iran kamwe haitasalimu amri.”
Ndege ya Simorgh iliyotengenezwa Iran imeanza rasmi safari zake za majaribio huku ikijiandaa kujiunga na sekta ya usafirishaji mizigo hapa nchini.
Picha, inayoripotiwa kuchukuliwa na kuchapishwa na mwanajeshi wa Israel, imesababisha mshtuko mkubwa katika mitandao ya kijamii, ikithibitisha ripoti za jinsi utawala huo vamizi unavyowatumia wazee wa Palestina kama ngao za…
Ajenti wa Shirikisho la Marekani alijaribu kumsajili rubani binafsi wa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Jenerali Bitner Villegas, katika mpango wa siri, ili kuipeleka ndege ya rais huyo huko Marekani.…
Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na 30 Oktoba 2025.
Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.
Shughuli za upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa Tanaznia zimeendelea vizuri na kwa amani kwa kikasi kikubwa licha ya ghasia na machafuko madogo yanayoripotiwa huku na kule.
Mashambulizi yaliyofanywa leo na Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza yameua Wapalestina wasiopungua 100, wakiwemo watoto 35, ukiwa ni ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano…
Kadri mgogoro wa kifedha unavyoendelea Marekani, watu milioni 42 wa nchi hii wanahofia kuhusu upatikanaji wa chakula chao.
Katika kile kinachoibua maswali mazito kuhusu usafirishaji wa silaha na ushawishi wa mataifa ya nje katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, ripoti mpya imefichua kuwa Umoja wa Falme…
Uchumi wa Kenya umeendelea kusuasua ikilinganishwa na ule wa Tanzania katika eneo la Afrika Mashariki, hasa kutokana na utegemezi mkubwa wa mauzo ya bidhaa ghafi nje ya nchi jambo linalokwamisha…
Ripoti rasmi inaonyesha kuweko ongezeko la majaribio ya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.
Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewafahamisha wajumbe wa Baraza Kuu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna serikali zaidi ya…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ameeleza kuwa Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amefanya ziara nchini Afghanistan ili kujadili masuala kadhaa ambayo…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi…
Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ameeleza kuwa mchakato wa amani umepiga hatuua kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosainiwa mwezi…
Serikali ya Madagascar inayoongozwa na jeshi leo imetangaza baraza la mawaziri linalojumuisha idadi kubwa ya mawaziri wa kiraia.
"Tuna uhakika kwamba ikiwa maadui wana chembe ya sababu hawatathubutu kupanga shambulio jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran," amesema Jumanne hii Muhammad -Reza Aref Makamu wa Rais wa…
Wizara ya Mambo ya Nje imeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, na kulaani mauaji ya raia na uharibifu wa miundombinu katika mji…
Watanzania waliotimiza masharti ya kupiga kuraa leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kuura kwa ajili ya kumchagua Rais, Wabunge na madiwani katika uchaguzi uliosusiwa na chaama kikuu cha upinzani cha…
Leo ni Jumatano tarehe 07 Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na Oktoba 29 mwaka 2025.
Matukio chanya yametokea katika wiki za hivi karibuni katika suala la kuongeza uhusiano wa kibiashara na mawasiliano kati ya Iran na Pakistan.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani uchochezi wa kijeshi wa Marekani kandokando ya Venezuela ikisema ni tishio kwa amani na usalama katika eneo la Karibi na Amerika Kusini.
Mwandishi wa Saudi Arabia na mchambuzi wa masuala ya kisiasa amejibu matamshi ya dharau yaliyotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel Bezalel Smotrich akisema, "Ngamia wetu wana asili, lakini nyingi…
Adnan Abu Hasna, mshauri wa vyombo vya habari wa Shirika la Misaada na Kazi la Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA), amesema kwamba taarifa za hivi karibuni za…
Wanaakiolojia nchini Senegal wamegundua ushahidi mpya wa mauaji ya kikoloni ya Ufaransa yaliyotokea mwaka 1944, kama sehemu ya juhudi zinazoongozwa na serikali za kufichua ukweli kuhusu mauaji yaliyofanywa na vikosi…
Mshauri mkuu wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametaja "vita vya korido" vinavyoibuka kuwa ni uwanja muhimu katika uhusiano wa kimataifa, na uwanja mpya…
Waziri wa Afya katika jimbo la Darfur, Babiker Hamdeen amesema kwamba maelfu ya raia wameuawa katika mji wa El Fasher katika siku mbili zilizopita, huku Umoja wa Afrika ukilaani "ukatili"…
Wimbi jipya la uungaji mkono kwa Wapalestina barani Afrika limekwenda sambamba na kulaani vitendo vya kijinai vya utawala haramu wa Israel.
Watu 12, wakiwemo watalii, wanahofiwa kufariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la Vyungwani, Matuga, Kaunti ya Kwale, mapema leo Jumanne.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya ECO kuanzisha na kutekeleza mfumo thabiti wa usalama, unaounda utulivu, wa ndani, na unaozingatia maendeleo.
Maeneo mbalimbali ya Cameroon yameendelea kushuhhudia maandamano ya watu wenye hasira wanaopinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi rais kizee zaidi duniani yaani Paul Biya mwenye umri wa miaka 92.
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR imesema imepokea taarifa za kutisha kuwa waasi wa RSF wanafanya ukatili wa kutisha nchini Sudan.
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, amesisitiza kuwa ulimwengu mzima unafahamu kuwa mabepari wanaotawala Marekani wanataka kupora mafuta, gesi na dhahabu ya nchi yake.
Leo, visiwa vya Zanzibar vimeingia katika hatua muhimu ya mchakato wa uchaguzi kwa kuanza rasmi zoezi la kupiga kura ya mapema, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa…
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwaka huu, akijihakikishia muhula wa nne madarakani kwa ushindi mkubwa wa asilimia 89.77% ya kura zote.
Waziri wa Urithi wa Kitamaduni, Utalii na Sanaa za Mikono wa Iran, Seyyed Reza Salehi Amiri, amesema kuwa utalii 'Halal' ni jukwaa muhimu katika kukuza mwingiliano wa kitamaduni na kuwavutia…
Kikao cha maafisa wa ngazi za juu wa mpaka kati ya Iran na Afghanistan kimefanyika kwa kuhudhuriwa ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran.
Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza imefikia 68,527.
Rais Masoud Pezeshkian amesisitiza historia ya muda mrefu na yenye upendo ya uhusiano kati ya Iran na Oman na kusema: "Mawasiliano na maingiliano kati yao yamekuwa yakiegemezwa katika misingi ya…
Balozi wa China nchini Iran amesema kuwa nchi yake haitosita kuchukua hatua za kukabiliana na vikwazo dhidi ya Iran ikiwa vikwazo hivyo vitaathiri maslahi yake na kukwamisha shughuli na uhusiano…
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza unaweza kuwa "fursa muhimu" ya kulinda maisha, utu na mahitaji muhimu ya watoto milioni…
Umoja wa Mataifa umezitolea mwito pande zinazopigana nchini Sudan kuhakikisha raia waliokwama katika mji wa el-Fasher wanapatiwa njia salama ya kuondoka, baada ya wapiganaji wa kundi la Rapid Support Forces…
Baraza la katiba la Cameroon limemtangaza Rais aliyeko madarakani Paul Biya kuwa mshindi wa kiti cha urais kwa karibu asilimia 54% ya kura.
Mashambulizi ya jeshi la Israel kwa kushirikiana na Marekani dhidi ya Lebanon yameingia katika awamu mpya.
Leo ni Jumanne tarehe 06 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na Oktoba 28 mwaka 2025 Milaadia.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka Umoja wa Mataifa kuwakilisha kwa dhati haki za mataifa yote, huku akilaani uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran…
Waziri wa zamani wa biashara wa Ivory Coast, Jean-Louis Billon, amekubali kushindwa na Rais aliyepo madarakani, Alassane Ouattara, katika uchaguzi wa urais wa taifa hilo, kufuatia matokeo ya awali yanayoonyesha…
Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.