Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran lawatunuku washindi 17 wa medali za Olimpiadi za Sayansi
Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran (INEF) limeandaa hafla maalum ya kuwatunuku wanafunzi 17 wenye vipaji na vijana waliotwaa medali za dhahabu, fedha na shaba katika mashindano ya kimataifa…