Mwenge kukagua miradi ya Sh bilioni 2 Mikindani
MTWARA: MIRADI ya maendeleo 7 yenye thamani ya Sh bilioni 2 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2026. Mwenge huo umepokelewa leo Mei 3, 2026…
MTWARA: MIRADI ya maendeleo 7 yenye thamani ya Sh bilioni 2 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2026. Mwenge huo umepokelewa leo Mei 3, 2026…
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu, ikinukuu taarifa ya…
GEITA: MKUU wa mkoa wa Geita, Martine Shigela amekemea tabia ya waajiri hususani maofisa utumishi wa ofisi za umma kukwamisha watumishi kubadilisha kada na kupandishwa madaraja. Shigela ametoa kauli hiyo…
NJOMBE: BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema utalii wa michezo umeendelea kuwa nguzo muhimu ya kuongeza mapato kwa jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa, huku wananchi wa maeneo hayo wakinufaika kupitia…
GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella ameagiza waajiri ikiwemo wakurugenzi wa halmashauri kugharamia huduma ya intaneti kwa watumishi ili kufanikisha utendaji bora pasipo kuhusisha gharama binafsi za watumishi.…
DAR ES SALAAM: MKATABA wa PPP wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 116 umesainiwa kati ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi na kampuni binafsi kwa ajili…
IRINGA: Ripoti ya Tume iliyoongozwa na Jaji Mohamed Chande Othman imeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini, huku mchambuzi wa masuala ya uongozi, uchumi na siasa Tanzania, Dk Netho Ndilito (PhD), akiitaja…
KILIMANJARO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),unaendelea na utaratibu wa kutumia mifumo ya teknolojia za kisasa zikiwemo za ndege zisizo na rubani (drones),kwa ajili kulinda misitu hatua ambayo inayosaidia…
TAIFA letu Tanzania limezaliwa takribani miaka 61 iliyopita. Kwa hiyo wote wenye umri wa kuzaliwa chini ya hapo hakika ni watoto wa Tanzania. Mimi hushangaa sana ninapowasikia hao watoto wa…
SERIKALI imeagiza vyombo vya habari viweke mikakati itakayowezesha nchi kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ya kuwa na uchumi wa dola za Marekani trilioni moja ifikapo…
DAR ES SALAAM: Puma Energy Tanzania imetunukiwa tuzo mbili kubwa za heshima ndani ya wiki moja, hatua inayodhihirisha nafasi yake kama mdau mkuu katika sekta ya nishati na usambazaji nchini…
KILIMANJARO: WANAMICHEZO na wapenzi wa utalii ikolojia zaidi ya 350 wakiwemo wazee wenye umri mkubwa wamejitokeza kujisajili ili kushiriki mashindano West Kili Forest Tour Challenge 2026,. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na…
MOROGORO: TAASISI ya Kumbukumbu ya Celina Kombani iliyopo mkoani Morogoro imeazisha mradi kufundisha ujasiliamali mdogo kwa wanafunzi wa kike unaolenga kuongeza chachu ya kuwatoa watoto wa kike kuwa tegenezi kwa…
KIGOMA; SERIKALI ya Tanzani imeifunga rasmi kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo mkoani Kigoma, iliyokuwa ikihifadhi wakimbizi wa Burundi. Hatua ya kufunga kambi hiyo imekuja baada ya wakimbizi…
DAR ES SALAAM; Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP), kupitia Mpango wa Ubunifu wa FUNGUO, limehitimisha kwa mafanikio hafla ya utoaji wa Tuzo za YouthIgnite Awamu…
GEITA; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewafikisha mahakamani watumishi sita wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh milioni…
DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Malinyi, Dk. Mecktridis Mdaku, ameiomba Serikali kuchukua hatua za makusudi za kuboresha Sekta ya kilimo wilayani humo, akisisitiza kuwa maboresho ya miundombinu na upatikanaji wa…
DAR ES SALAAM: BENKI ya Ushirika (Coop Bank) imeendelea kuimarisha mkakati wake wa kukuza uchumi jumuishi kwa kuongeza kiwango cha utoaji mikopo kwa sekta ya kilimo, hatua inayolenga kuongeza tija…
DODOMA: Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo, kwa lengo la kuinua vipaji, uwezo, na ari yao katika…
MISRI; NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa Nishati wa Ukanda wa Mashariki mwa Afrika, uliofanyika Aprili 29, 2026 jijini…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, ametoa onyo kali kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara wilayani humo, akiwataka kuzingatia…
ZANZIBAR; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, ameipongeza klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano baada ya kuifunga Yanga bao 1-0 katika mchezo wa fainali jana…
ZANZIBAR; SIMBA jana iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano uliochezwa usiku Uwanja wa New Amaan Complex Unguja. Bao hilo…
IRINGA: Maelezo ya kina yaliyotolewa na wakili wa kampuni ya Iringa Food and Beverages Ltd (IFB), Innocent Boniface yametoa mwelekeo katika mgogoro wa umiliki wa Shamba Na. 1135 lililopo Kijiji…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Belarus zimesaini mkataba wa kuanzisha mkakati maalum utakaoratibu ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya mataifa hayo mawili, ikiwa ni hatua ya kuimarisha…
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa katika jitihada za kuongeza wigo wa makusanyo ya kodi, kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ya kimfumo na kiusimamizi pamoja na…
DAR ES SALAAM; Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti mwenendo wa bei za mafuta nchini, ikiwa ni jitihada za kulinda uchumi wa wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea…
DODOMA: Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutekeleza mageuzi makubwa ya elimu nchini, timu ya Benki ya Exim ikiongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha,…
ARUSHA: Serikali imesema haina mpango wa kusimamisha au kuzuia shughuli za uwindaji wa kitalii na badala yake inaendelea kuandaa na kuboresha sera, sharia na miongozo ili kuzingatia uhifadhi wa wanyamapori,…
GEITA; SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeidhinisha, kuthibitisha na kutoa vyeti vya ubora kwa viwanda 139 vilivyopo mikoa ya kanda ya ziwa magharibi ambayo ni Geita, Shinyanga na Kagera. Meneja…
MTWARA; WANANCHI wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wametakiwa kutoa mapema taarifa za majanga ya moto yanapojitokeza kwenye maeneo yao. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 29, 2026 na Mkuu wa Jeshi la…
DAR ES SALAAM: TEKNOLOJIA ya kisasa ya upasuaji wa matundu madogo imeanza kuleta mapinduzi katika matibabu ya matatizo ya uzazi nchini, huku ikisaidia kuziba pengo kati ya mahitaji ya huduma…
DAR ES SALAAM; CRDB Bank Plc imeendelea kuthibitisha ubora wake katika sekta ya benki baada ya kuongoza kwa faida katika robo ya kwanza ya mwaka 2026, ikirekodi faida ya Shilingi…
GEITAL WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) Mkoa wa Geita imebaini dosari na udanganyifu wa vipimo katika baadhi ya bidhaa zenye vifungashio kwenye maduka ya jumla na rejareja. Meneja wa WMA…
DODOMA: SERIKALI na Benki ya Exim zinakusudia kufadhili masomo ya wanafunzi wa elimu ya juu wa Sayansi Data na Akili Unde. Hatua hiyo inatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa benki…
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la My Legacy limekutana na asasi za kiraia zinazoshughulika na masuala ya wanawake, watoto na makundi maalumu kwa lengo la kuutambulisha mradi wa Mialo ya Kijani…
KILIMANJARO: SERIKALI imeanza kunufaika na mapato ya zao jipya linalotokana na mti aina ya msindano kisayansi ukijulikana jina la “ Pinus patula au pine tree” yanayofikia Sh bilioni 1 kutokana…
DAR ES SALAAM:SHIRIKISHO la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limesaini rasmi Hati ya Makubaliano (MoU) na Kituo cha Taifa cha Kukuza Mauzo ya Nje (NEPC) cha Jamhuri ya Belarus, ikiwa ni…
ZIMBABWE: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji leo Aprili 28, 2026 amewasili nchini Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Pili wa Kikanda wa Shirika la Utalii Duniani. Mkutano huo unalenga…
IRINGA: Zaidi ya wakimbiaji 1,200 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kushiriki Great Ruaha Marathon Season Five itakayofanyika Julai 3 na 4 mwaka huu mkoani Iringa, huku Mwigulu Nchemba…
DAR ES SALAAM : Kukithiri kwa ukatili na ndoa za utotoni ni hatua inayotokana na sera na sheria kutofanyiwa kazi katika jamii, wazazi kutokuwa na uelewa mzuri, mila kandamizi na…
DODOMA: Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini kote, ikiwemo sekta za kilimo, ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi wa samaki,…
DAR ES SALAAM: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeibua mjadala kuhusu gharama anayoibeba mlipa kodi kutokana na Sheria ya Utumishi wa Umma, ikidai…
DAR ES SALAAM: IMEELEZWA kuwa mfumo wa utoaji zaka katika dini ya Kiislamu ni nyenzo muhimu katika kupambana na umaskini, hususan miongoni mwa wajane. Hayo yameelezwa katika hafla ya ugawaji…
DAR ES SALAAM: Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia unaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu, kukuza uchumi na kuimarisha utawala bora ndani ya jamii na taifa kwa ujumla. Kauli…
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kitaadhimisha wiki ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho kuanzia Aprili 29, 2026 na kuhitimishwa Mei 5, 2026 katika Jimbo la Kilwa…
DODOMA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema mwenendo wa biashara ya madini ya Tanzanite duniani umeendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa masoko ya uhakika, hali inayochangiwa na vikwazo vya…
DODOMA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kuwa katika kipindi cha Julai 2025 hadi Machi 2026, wizara yake kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali imefanikiwa kukamata madini ya aina…
DODOMA: Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa rai kwa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini nchini kuzingatia sheria zilizowekwa ili kuhakikisha sekta hiyo inaendeshwa kwa uadilifu na manufaa kwa taifa. Akiwasilisha…
DAR ES SALAAM: Benki ya Exim Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Toyota wenye lengo la kufanya umiliki wa magari kuwa rahisi zaidi na nafuu kwa Watanzania. Kupitia ushirikiano…