Tume yakutana na mwakilishi UN
TUME ya Uchunguzi ya matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa…
TUME ya Uchunguzi ya matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa…
MWANZA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amesema wazo la kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia kuanzia shule za msingi hadi sekondari ni…
DAR ES SALAAM: VIJANA ambao wanamiliki kampuni changa wameshauriwa kuwasilisha mawazo yao ya ubunifu, ili kuendelea kujiimarisha kwenye uwekezaji. Akizungumza jana, Rodrique Msechu, mwanzilishi wa kampuni ya Serengeti Business Angels…
KAGERA: Ubalozi wa Uingereza nchini umeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mikakati na jitihada za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko hasa ugonjwa wa Marburg uliotokea mkoani Kagera kwa vipindi viwili tofauti.…
PWANI: Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wametakiwa kuzingatia uadilifu, uwazi na weledi katika kuwasilisha na kushughulikia changamoto za watumishi wanaowawakilisha, ili kuongeza…
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mtoto huyo alipewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini Nzega,…
MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amewataka wananchi kutokubali kutumika vibaya kwa kubeba ajenda za watu wasizozijua. Kihongosi ameeleza hayo leo…
FAINALI za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitafanyika mwaka 2027 kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Kutokana na hali hiyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)…
Dar es Salaam: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha…
Dar es Salaam: Uongozi wa Mastercard leo umeitembelea ofisi za Benki ya Exim jijini Dar es Salaam leo na kuikabidhi taasisi hiyo ya fedha tuzo mbili kutokana na ufanisi wake.…
Kongwa, Dodoma: Wajiriwa wanawake wanaofanya kazi Wizara ya Mifugo na Uvuvi waliungana na wenzao kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani katika maadhimisho yaliyofanyika wilayani Kongwa, mkoani Dodoma huku wakisisitiza ushiriki wa…
SIMIYU: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeahidi kuwa serikali itapeleka ndege nyuki (Drone) kwa ajili ya kufukuza Tembo ambao wamekuwa changamoto kwa wananchi wa jimbo la Bariadi Vijijini. Katibu wa NEC,…
DAR ES SALAAM: WADAU wa masuala ya amani na viongozi wa dini wameguswa na kile kinachoendelea kati ya Iran, Marekani na Israel na kuzihimiza nchi hizo zinazokinzana kukaa mezani na…
GEITA; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewafikisha katika mahakama ya Hakimu Mkazi Geita, wabunge wa majimbo ya Chato Kaskazini na Chato Kusini wakituhumiwa vitendo vya…
KIGOMA: WATAALAMU wa afya ya uzazi wamekutana mkoani Kigoma kufanya tathmini kufuatia changamoto mbalimbali zinazochangia kuendelea kwa vifo vya wajawazito na watoto. Kikao hicho kinafanyika ikiwa utekelezaji wa awamu ya…
SIMIYU: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza serikali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu kuhakikisha wafanyabishara waliopisha ujenzi wa Soko Kuu la Bariadi wapewe vipaumbele kabla kuruhusu watu wapya.…
MOROGORO: WANAWAKE 8,248 wa Mkoa wa Morogoro wamepata mipoko yenye thamani ya Sh bilioni 5.3 kupitia vikundi vyao kwa ajili ya kuwainua kiuchumi katika kipindi cha mwaka 2025 . Mwenyekiti…
SHINYANGA: KIKUNDI cha Mwanamke Chuma wilayani Kahama kimemkabidhi keki mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya wanawake wote katika kusherekea Siku ya Wanawake Duniani. Mkuu wa Mkoa Mhita amekabidhiwa…
SHINYANGA: Vikundi viwili vya wanawake halmashauri za wilaya ya Ushetu na Shinyanga vimekabidhiwa hundi yenye zaidi ya Sh bilioni 1.6 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya kujiwezesha kiuchumi. Hundi…
DAR ES SALAAM: WATAALAMU na washauri wa masuala ya fedha kutoka Brac Tanzania Limited wamewataka wanawake kuacha kutanguliza shida binafsi wanapohitaji mikopo, badala yake kuzingatia vigezo na masharti ya kisheria.…
GEITA: JUKWAA la Viongozi Wanawake (WLF) limetangaza kuja na mipango mikakati inayoazimia kuunganisha makundi yote ya wanawake pasipo kujali tofauti za kiitikadi za dini, siasa na elimu. Mwakilishi wa WLF,…
TILIMA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema CCM ndiyo baba wa demokrasia nchini kwani ndiyo chanzo cha kuzaliwa kwa vyama vingine…
SIMIYU: SERIKALI imetoa fedha kiasi cha Sh milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Mwamapalala iliyopo katika Kata ya Mwamapalala wilayani Itilima mkoani Simiyu. Lengo likiwa ni kuwezesha…
SIMIYU: KATIBU wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametoa siku saba kwa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuhakikisha umeme umefika katika bweni ya wasichana…
MOROGORO; MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu Omari Mahita (kulia), akiwa na Diwani wa Kata ya Kariakoo Dar es Salaam na msemaji wa zamani wa klabu za Simba na…
MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaagiza watendaji wa mitaa, vijiji na kata za mkoa huo kushughulikia kikamilifu migogoro ya ardhi inayowakabili wanawake wanaponyang’anywa umiliki baada ya wanaume…
WAKATI wa maji kupwa katika ufukwe wa Zanzibar, wanawake huingia taratibu ndani ya maji ya joto ya Bahari ya Hindi, wakifunga vipande vidogo vya mwani kwenye kamba zilizofungwa kati ya…
BUKOBA: MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) imetoa msaada na vifaa vya shule katika kituo cha watoto wenye uhitaji cha Tumaini Children Center kilichopo mtaa wa Kyakairwabwa,…
MASWA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuisimamia na kusisitiza serikali kuhakikisha bei ya pamba inamnufaisha mkulima. Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi…
MASWA: WANANCHI wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kutumia fursa zinazopatikana kwatika mkoa huo ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwao binafsi na taifa kwa ujumla. Katibu wa NEC Itikadi,…
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kipindi cha mwaka mmoja katika mkutano wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi…
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa tuhuma za kumpiga mlinzi wa chuo hicho na kumng’oa meno…
GEITA: Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-NET) mkoa wa Geita umetembelea na kutoa zawadi kwa kina mama waliojifungua katika wodi ya wanawake iliyopo kituo cha afya Katoro wilayani Geita. Kamanda wa…
KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, wanawake wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao mapema, hususan kwa magonjwa yanayoathiri zaidi kundi hilo kama saratani ya mlango…
IRINGA: Wakati jitihada za kupinga ukatili wa kijinsia zikiendelea nchini, wadau wa maendeleo wanaendelea kuhamasisha jamii kuongeza uelewa na kuchukua hatua za kukomesha vitendo hivyo vinavyoathiri zaidi wanawake na wasichana.…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo unaomba kuidhinishiwa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2027 yenye jumla ya Sh bilioni 992 na…
LINDI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema Serikali itaanza ujenzi wa kituo kipya cha Polisi cha Mchinga kwa lengo la kuboresha mazingira ya kazi…
SHINYANGA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCMA), Kenani Kihongosi amewataka wananchi kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama, kwani wamekula kiapo cha kulilinda taifa hadi…
SERIKALI ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha Mkoa wa Shinyanga unakuwa kitovu cha uchumi katika Kanda ya Ziwa. Katibu wa NEC, Itikadi,…
DAR ES SALAAM: Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa maagizo matano kwa Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC)…
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Frelimo cha Msumbiji vimekubaliana kuwashirikisha vijana ili wafahamu uhusiano uliopo kati ya vyama hivyo na kuhakikisha wananchi wa mataifa hayo…
SINYANGA: MKANDARASI aliyepewa kazi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya Katunda mkoani shinyanga ameelekezwa kuongeza kasi ya utekelezaji ili mradi uweze kukamilika na kutoa…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Asha Dachi, amepongeza kuongezeka kwa ushiriki wa wanawake katika nafasi za uongozi na maendeleo ya taifa, akisema mchango…
MWANZA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahomud amewahimiza askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuongeza uwajibikaji katika utoaji huduma kwa kufika kwa wakati katika…
HANDENI, Tanga; Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza biashara na kujikwamua kiuchumi kupitia fursa mbalimbali…
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia umeme ili…
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema huduma za maudhui ya redio kidijiti (DSB) Tanzania zitaanza mikoa mitano. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dk Jabiri Bakari amesema kila mtoa huduma za urushaji…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wezi na wazembe. Dk Mwigulu alitoa onyo hilo aliposimama kusikiliza kero za wafanyabiashara katika Soko la Machinga jijini Dodoma. The post Mwigulu ang’ang’ana…
SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na taasisi za fedha kuiwezesha sekta ya fedha kupata mikopo yenye gharama nafuu ili kuisaidia jamii ya kipato cha chini kumiliki makazi bora. Naibu Waziri wa…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeeleza mikakati ya kuimarisha usafiri wa anga ikiwamo kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Pemba. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed…