TRA yahimiza kulipa kodi kwa hiari
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewahimiza wananchi kuwa waadilifu na kulipa kodi kwa hiari, ikieleza kuwa ulipaji kodi unaweza pia kuzingatiwa kama sehemu ya ibada. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewahimiza wananchi kuwa waadilifu na kulipa kodi kwa hiari, ikieleza kuwa ulipaji kodi unaweza pia kuzingatiwa kama sehemu ya ibada. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph…
UONGOZI wa Soko Kuu la Kariakoo umesema takribani asilimia 70 ya wafanyabiashara waliopangiwa vizimba na maduka katika soko jipya tayari wameanza kufanya biashara zao. Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko…
MTWARA; WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wameshauri wakulima kuanza kuandaa mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu ili kuleta tija kwenye uzalishaji wa zao hilo. Akizungumza na waandishi wa…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeelekeza Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji kuhakikisha Kongani Maalumu ya Uwekezaji ya Buzwagi (BSEZ) inakabidhiwa kwa Mamlaka ya…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya kazi ya uimarishaji wa mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Kenya. Mwenyekiti wa kamati…
ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillan Iraghye ameutaka Umoja wa Washereheshaji Mkoa wa Arusha (UWAA) kuchangamkia fursa za utalii zilizopo mkoani. Pia ameutaka umoja huo kuacha kujikita katika kusherehesha…
ARUSHA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Cecilia Paresso, ametoa mchango wa mbao zenye thamani ya Sh milioni 2.5…
GEITA: Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wameridhishwa na kushangazwa na kasi ya teknolojia inayotumika katika Kituo cha Mfano cha Uchenjuaji Dhahabu cha Katente, kilichopo…
MTWARA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Kanda ya Kusini imezalisha miche zaidi ya 2,000,000 na kugawa kwa jamii, taasisi za umma, Shule za msingi na sekondari na…
MTWARA: SHULE ya Sekondari Shangani iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara- Mikindani imetajwa ni miongoni mwa vinara katika suala la utunzaji wa mazingira na upandaji miti ya mbao na…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza dhamira ya Serikali ni kuhakikisha Watanzania hususan vijana, wanapata makazi bora na ya gharama nafuu kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa…
Pwani; Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita za umeme zinahakikiwa kikamilifu kabla ya kufungwa kwa ajili ya matumizi,…
KIGOMA; MKUU wa Mkoa Kigoma, Balozi Simon Sirro ameongoza viongozi wa serikali na mamia ya wananchi wa Mkoa Kigoma kuaga miili ya watumishi 7 wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma waliofariki…
DAR ES SALAAM: SHEIKH Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Shia nchini, Hemed Jalala, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote kuimarisha umoja ili kusimamia haki za watu, akisisitiza kuwa mshikamano…
DAR ES SALAAM: WANDAAJI wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager wametoa taarifa kuhusu kufungwa kwa barabara zitakazotumika siku ya mbio hizo ambazo zimebaki wiki moja kabla ya kufanyika. Taarifa iliyotolewa…
TANGA: MKUU wa Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga, Salum Nyamwese, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kudumisha mshikamano na utamaduni wa kusaidiana, huku akiongoza harambee maalum ya kuchangia makundi yenye uhitaji…
TANGA: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Serikali kuharakisha utatuzi wa changamoto za miundombinu wezeshi katika Bandari ya Tanga, ili kuendana na kasi ya ongezeko la meli kubwa…
TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Handeni kutumia fursa ya mvua zinazoendelea kunyesha kufanya shughuli za kilimo ili kuongeza uzalishaji wa chakula…
DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ameshiriki Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission – JPC) kati…
Dar es Salaam: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi asilia, Dk James Mataragio amekutana na menejiment ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa…
DAR ES SALAAM; Ucheshi! Mdau ametuandikia ujumbe akielezea kisa kilichomtokea na wenzake maeneo ya Sinza, Dar es Salaam walipoenda kujinafasi kwenye Baa moja huku yeye akiwa ndiye ‘tajiri’ wao. “Ulipaji…
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewaonya viongozi wa mashirikisho ya michezo nchini wanaoshindwa kutekeleza ahadi walizozitoa kwa wanachama wao kuwa wako hatarini kung’olewa…
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuiuzia mahindi Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kusaidia nchi hiyo kukabiliana na uhaba wa chakula. The post Tanzania kuuza mahindi DRC first…
KIGOMA; WATUMISHI sita wa Idara ya Afya halmashauri ya Wilaya Kigoma mkoani Kigoma wamekufa, baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka Kigoma Mjini kuelekea Kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya Wilaya Kigoma…
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa…
MOROGORO: Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuongeza juhudi katika kulinda haki za watoto pamoja na kuimarika kwa usajili wa vizazi na mifumo ya ulinzi wa mtoto. Pongezi hizo zimetolewa na Shirika…
MOROGORO: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga jengo la taaluma katika makao makuu…
SERIKALI ya Tanzania imeeleza nia ya kuanzisha Mpango wa Kitaifa wa Maridhiano ili kuponya mipasuko ya kijamii na kuimarisha majadiliano miongoni mwa wananchi. Pendekezo hilo liliwasilishwa na Beatrice Mpembo, Mkurugenzi…
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) inakamilisha mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya ukanda wa Nyasa, baadhi vikiwa ndani ya Ziwa Nyasa. Vitongoji hivyo viko Ludewa, mkoani Njombe, na vingine…
TUME ya Rais ya Kutathmini Matumizi ya Ardhi katika Wilaya ya Ngorongoro imebaini ongezeko la watu, mifugo na makazi ndani ya hifadhi, jambo linaloongeza shinikizo kwenye ardhi na kuathiri mfumo…
TUME ya Rais ya Kutathmini Uhamaji wa Hiari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro imesema uamuzi wa serikali wa kuhamisha wananchi kwa hiari ulikuwa sahihi, ingawa utekelezaji wake haukufikia matarajio kutokana…
RAIS Samia Suluhu Hassan amehimiza Watanzania washirikiane kulinda na kuhifadhi Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa manufaa ya taifa na dunia. Kauli hiyo aliitoa jana Ikulu ya Chamwino, Dodoma, baada…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea na kukagua mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa nguzo za zege (TCPM) kilichopo mkoani Tabora kwa lengo la kujiridhisha na…
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa maelekezo kwa hospitali zote nchini kufuata miongozo ya Bunge katika kuimarisha programu za afya ya mama na mtoto.…
NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidhi Ameir ametoa wito kwa wadau wa elimu, wazazi na jamii kwa ujumla kushirikiana na Serikali kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula bora na…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari ya…
DAR ES SALAAM; Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, ameeleza kuridhishwa kwake na hatua ya ujenzi wa jengo la kisasa la…
MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema atahakikisha mgawanyo wa walimu unazingatia Shule ya Sekondari Kahasa ili kuhakikisha wanafunzi wanapata walimu…
DAR ES SALAAM : Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeadhimisha siku ya Figo Duniani inayofanyika Alhamisi ya pili ya mwezi Machi kila mwaka na kueleza uwepo wa ongezeko kubwa…
ARUSHA; WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuzindua rasmi Mfuko wenye jumla ya Sh Bilioni 50 kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini. Akizungumza…
DAR ES SALAAM; KATIKA jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kukuza maendeleo ya pamoja ukanda wa Afrika Mashariki, serikali za Tanzania na Uganda zimeanza majadiliano ya pamoja yanayolenga kuimarisha…
DAR ES SALAAM: SHEREHE za Sikukuu ya Eid el-Fitri zinatarajiwa kuwa Machi 20 au 21. 2026 kutegemea mwandamo wa mwezi. Taarifa iliyotolewa leo Machi 12, 2026 na Katibu Mkuu wa…
DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri wa Afya,Dk Florence Simizi, amesema serikali imeanza hatua ya utekelezaji wa ujenzi wodi mpya 35 za watoto wachanga nchini, ambapo 15 zitakuwa katika hospitali za…
DAR ES SALAAM; TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Sahara Ventures, imezindua rasmi programu ya kitaifa ya kuharakisha ukuaji wa biashara changa na kuimarisha mfumo…
GEITA; MTANDAO wa Polisi Wanawake (PFT-NET) mkoa wa Geita, umeeleza kuridhishwa na kuunga mkono programu ya ustadi, uwezo na maarifa inayotolewa na Jeshi la Magereza wilayani Chato kwa wafungwa. Programu…
DAR ES SALAAMM; Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Zan Securities Limited, Raphael Masumbuko, amesema uwekezaji wa pamoja umeanza kuwa chachu ya kuwainua kiuchumi Watanzania wengi. Amesema hatua hiyo inatokana na…
SERIKALI imesema sekta binafsi inatarajiwa kuchangia Sh trilioni 60.1 katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2026/2027 ambazo ni sawa na asilimia 69.6 ya kiasi kitakachotumika. Waziri wa Nchi,…
SERIKALI imetaja vipaumbele vitano katika mapendekezo ya mfumo na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2026/2027. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema hayo wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya Mfumo…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kulinda amani, umoja wa kitaifa na utulivu wa kisiasa. Alisema hayo alipopokea salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres…
TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza mkakati maalum wa kuwafikia watu wenye mahitaji maalum kwa kuwapa elimu ya faragha na kuelimisha kuhusu haki zao wanapokuwa kwenye mitandao ya…